Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

FB_IMG_16608319252674407.jpg

FB_IMG_16608319165115501.jpg

FB_IMG_16608319072775560.jpg

FB_IMG_16608319564702078.jpg

FB_IMG_16608319138406782.jpg

Wanajeshi WA Urusi wakiwa kwenye majukumu yao huko Ukraine
 
Kwa hiyo asikari wakiwa front line hawapati usingizi..,hawalali wao ni kupigana daily,sio??

Na kama wanapata mda wa kulala na kupumzika uwa wanapumzika wapi,[emoji848]
Mkuu huna idea na jeshi?


Basi nikwambie tuu hamna jeshi lolote achilia mbali al-shabaab na al-qaeda ambao utakuta wamelala zaidi ya watu 30 eneo moja
 
Huuu uzi unaharibu na hawa wanaleta malink ya YouTube ya channel zinazotafuta views picha za tangu mwezi May ndo zitatumika now. Tulete source za kuaminika sio tomato source. Kifupi YouTube in nothing more than kutafuta views. Let us be proffecial.
muekee kama hii
 
Huuu uzi unaharibu na hawa wanaleta malink ya YouTube ya channel zinazotafuta views picha za tangu mwezi May ndo zitatumika now. Tulete source za kuaminika sio tomato source. Kifupi YouTube in nothing more than kutafuta views. Let us be proffecial.
Professional kuleta articles za kubumba mbona morogoro mjini sasa hivi analeta picha kama unaumia pita kimya kimya FAMBA wewe.
 
Jamani nimepata video ya lile robot la mbwa mrusi kaweka kwenye maonesho ya silaha za hatari akalivalisha sweta kumbe kalinunua alibaba tazama hapo chini.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

 
Yule wanayemwita comedian anaweza kutembelea majeruhi hapo yupo Lviv Hospital je Putin anaweza kutoka Moscow kuja Crimea kuona majeruhi wa vita[emoji38][emoji38][emoji38]

Hii ndio video real. Source: Then Sun. Siyo ule uongo wako wa video za ma DJ wa Movie.
Sijui za ma DJ wa Ukraine [emoji1787][emoji1787][emoji1787]. Tumia hizi video.
 
Tayari huko Crimea dakika chache zilizopita more updates zinakuja cheki video mosh mweusi

Wewe jamaa bana..achana na hizo video games na habari za kupika na propaganda..yaani kiwake Crimea..vyombo vya magharibi vikae tu kimya halafu wewe ndo uzipate...??

Ni vizuri kuwa na upande..lkn pia lazima akili zifanyekazi kidogo
 
Silaha za western zimeshindwa huko Ukraine sasa ni muda wa West kujitafakari na silaha zao maana kwa Upande WA Urusi bado urusi inatumia Soviet made weapons
Urusi katumia kila kitu, patia picha US wangetuma tomahawk missiles je
Au akituma f22 apo si ndo ingesambalatisha, ingetumwa apo Blackhawk si ndo ingekuwa noma
 
Wanamgambo waUkraine wanaendelea kuchomoa miili kwenye vifusi baada Russia kupiga mabomu ya moto [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91] Kharkiv [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635] #Watalia na kusaga meno
Screenshot_20220818-192952.jpg
 
Nilishampiga igrone siku nyingi sana, nadhani kuna mmoja nae anaelekea kuwa ignored
maana naona kama utoto umekua mwingi.
Naomba unielekeze mkuu namna ya kumuweka mtu kwenye ignore list....kuna watu humu wanaandika comments kama tuko vijiweno...hawajui humu watu wanaingia na kusoma kujifunza na kupata uelewa na kushare baadhi ya mambo...wao wanaandika vitu vya kishabiki sana...
 
Back
Top Bottom