Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Finland wapiga kelele za uwoga baada Ndege Vita za Russia kuingia kwenye anga yake [emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
Screenshot_20220818-193939.jpg
 
Kipigo cha leo kimeharibu ratiba za Zelensk mamia ya wanamgambo wa Ukraine wameuwawa baada ya kuchomwa na vitu vyenye ncha kali huko Kharkiv [emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji23][emoji23]
Screenshot_20220818-195155.jpg
Screenshot_20220818-195531.jpg
 
Kipigo cha leo kimeharibu ratiba za Zelensk mamia ya wanamgambo wa Ukraine wameuwawa baada ya kuchomwa na vitu vyenye ncha kali huko Kharkiv [emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji23][emoji23]View attachment 2327690View attachment 2327692
Lete habari inayoonesha idadi ya wanajeshi walio uwawa sio mnapiga makazi kuuwa raia wawili then mnakuja kupiga kelele huku
 
Europe news inaripoti kua Foreign Marcenaries 90 wameuwawa kwenye Base ya muda huko Kharkiv. [emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji91][emoji91][emoji91]View attachment 2327694
Sasa mmepiga makazi mkauwa watu 7 na kujeruhi 20 ila Russia defence ministry wao wanasema wameuwa 90 mercenaries huoni kuna mkanganyiko.
 
Siku hizi habari za Ukraine front line kwenye vyombo vya habari vya magharibi unatafuta kwa tochi.

Wakati hapo nyuma tulikuwa tunaletewa na kulazimishwa kuzisoma zikiwa zimepambwa kwa kila aina ya mapambo.

Inashangaza sana.
 
Back
Top Bottom