Katumia kila kitu kakwambia nani?eti patia picha🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Hii ni Military operation bwana mdogo, hatupatii picha hapa, watu wanakufa. Wakuu humu Kuna utoto mwingi sana, pigeni ignore vitoto hivi.msiwaquote hawa. Hatupati taarifa za kutujenga ufahamu wa Mambo ila tumeingiliwa na watu wenye akili za kitoto. Wenye haya maarifa wameamua kupuuzia jukwaa.. Nisha ignore huyo vunjo, na huyu anakula yake muda si mrefu. *✓¢¥£^√•p..mbv kabisa.Urusi katumia kila kitu, patia picha US wangetuma tomahawk missiles je
Au akituma f22 apo si ndo ingesambalatisha, ingetumwa apo Blackhawk si ndo ingekuwa noma