kp kipanya44
JF-Expert Member
- Jun 23, 2022
- 13,151
- 15,384
Ina maana yale machuma chuma wanayoita sijui s-300'. S-400 S-500 yana kazi gani uko Russia?
Aibu naona Mimi jamani [emoji1787]
Aibu naona Mimi jamani [emoji1787]
Duh! [emoji848]Hii inaitwa SABOTAGE OPERATION hili eneo Belgorod liko ndani ya Russia ndipo walipokuwa wanarusha makombora kuja Kharkiv. Himars imepiga hii kambi kitu kizito tusubiri statement kutoka kwa watasemaja.
Hizi defence system za kisasa walisifia sana kumbe ni mapipa tu ukiyaona wameyatega mahali utahisi hapiti inzi kumbe mafamba yanashindwa kuzuia kombora la miaka ya 1980.Ndani ya siku saba kambi zaidi ya tano zimepigwa kubwa sasa unajilinda vipIna maana yale machuma chuma wanayoita sijui s-300'. S-400 S-500 yana kazi gani uko Russia?
Aibu naona Mimi jamani [emoji1787]
Kwan kuna chombo cha habari ambacho hakipo youtubeMkuu, hii Thread haitaki video za uongo za Youtube. Hizi ka post kule kwenye uzi wenu wa mapambio.
Hii lete video zenye source kama The Sun, Reuters, nk. Una boa na video za uongo.
Naona unatafuta views Kwa nguvu kubwa kijana fanya kazi utalala njaaTazama msafara wa military equipment mrusi analeta Crimea wanavuka daraja la Crimea aisee huyu jamaa hasikii kama kenge.Ila acha alete tumuoneshe
Kwan marekani aliingia vita Syria, au unaropoka tu kama kawaida yakoHizo Tomhawk zilizoshindwa Syria [emoji16][emoji16][emoji16]
Kuna watu wameingia humu na hawatumii akili kubwa kwenye kujenga, kutetea na kuibua hoja hivyo nendeni nao kwa uelewa wao na mbinu zao wanashambulia bila kutumia akili.
Nadhani hawa ni alien waliovamia jamii forum.
N.B Kuna zoezi la stories of change ambalo JF wanatumia kujitangaza na kuongeza member.
Hivyo Facebook, Instagram na TikTok wameingia humu.
Ata HIMARS ni za kizaman na zinaenyesha PutinBlack hawk unaijua lakini Ni helicopter ya kizamani kabisa naona unaiongelea Hapa Kama silaha ya upekee Sana.
Hiyo ndio moja ya zile zilidondondoshwa Mogadishu .
Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] supapawa wa mchongo katumia kila kitu, nambie ambacho hajatumia, yani mpaka meli inaangushwa[emoji23][emoji23][emoji23]Katumia kila kitu kakwambia nani?eti patia picha[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Hii ni Military operation bwana mdogo, hatupatii picha hapa, watu wanakufa. Wakuu humu Kuna utoto mwingi sana, pigeni ignore vitoto hivi.msiwaquote hawa. Hatupati taarifa za kutujenga ufahamu wa Mambo ila tumeingiliwa na watu wenye akili za kitoto. Wenye haya maarifa wameamua kupuuzia jukwaa.. Nisha ignore huyo vunjo, na huyu anakula yake muda si mrefu. *✓¢¥£^√•p..mbv kabisa.
Mbona Judgement day hatujaiona mpaka sasaSOURCE 1:Tayari huko Himars ishatua tena ndani ya Tusi Belgorod Region ammunition depoti nasema tutaelewana tu ngoma zinapigwa ndani ya Russia ni kipigo kwenda mbele.Nitaleta video source 3 semeni video game.
Unasemaje??! Lile shambulizi la hypersonic lililofanyika kwenye kambi ya mercenaries wa kigeni unakumbuka liliua watu wangapi? Alafu unasema halina madhara!?Ni ngum kuzuilika ila hayana impact, mlipuko ni mdogo sana due to foward kinetic energy
Ila ni strategic bombs, especially kwa ships na Carriers
Nimekupa like bossHizo Tomhawk zilizoshindwa Syria [emoji16][emoji16][emoji16]
Kuna watu wameingia humu na hawatumii akili kubwa kwenye kujenga, kutetea na kuibua hoja hivyo nendeni nao kwa uelewa wao na mbinu zao wanashambulia bila kutumia akili.
Nadhani hawa ni alien waliovamia jamii forum.
N.B Kuna zoezi la stories of change ambalo JF wanatumia kujitangaza na kuongeza member.
Hivyo Facebook, Instagram na TikTok wameingia humu.
Nishampiga pin vunjo naenda kwa watery[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Katumia kila kitu kakwambia nani?eti patia picha[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Hii ni Military operation bwana mdogo, hatupatii picha hapa, watu wanakufa. Wakuu humu Kuna utoto mwingi sana, pigeni ignore vitoto hivi.msiwaquote hawa. Hatupati taarifa za kutujenga ufahamu wa Mambo ila tumeingiliwa na watu wenye akili za kitoto. Wenye haya maarifa wameamua kupuuzia jukwaa.. Nisha ignore huyo vunjo, na huyu anakula yake muda si mrefu. *✓¢¥£^√•p..mbv kabisa.
Nifuatishe na Mimi[emoji41][emoji41]Nishampiga pin vunjo naenda kwa watery[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hiyo ilikuwa mikwara tu kama walivyokuwa wakitoa vitisho eti kikosi maalum Cha nyukria kiwe tayari [emoji12][emoji12]Mbona Judgement day hatujaiona mpaka sasa
Wenzio haoNifuatishe na Mimi[emoji41][emoji41]
Maana naona mnaumia sana jinsi super pawer wa mchongo anahenyeshwa, .,anapokea kichapo Cha mbwa Koko[emoji12]
Ko jamaa ni mtu wa mukwara, alisema ataemsaidia atapokea kichapo cha uhakika, uku akiweka sura ngum ya kijasusiHiyo ilikuwa mikwara tu kama walivyokuwa wakitoa vitisho eti kikosi maalum Cha nyukria kiwe tayari [emoji12][emoji12]
Sikuwahi kuwaza kama Yule fashsti dikiteta shetani wa urusi ana akili finyu kiasi hiki [emoji848]
Hakuishia hapo tu,alienda mbali na kuwataka wanajeshi wa Ukraine waweke siraha chini na kujisalimisha..,Ko jamaa ni mtu wa mukwara, alisema ataemsaidia atapokea kichapo cha uhakika, uku akiweka sura ngum ya kijasusi