Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Najua humu Kuna wanajeshi. Tusaidie kwa hili. Mnaweza mkawa kwenye uwanja wa vita halafu mkaacha ndége yenye garama kubwa kiasi hicho idunguliwe kizembe kwa sababu mnazo nyingi. Hii inaingia akilin kweli. Au Ile meli iliyozamishwa Hadi Putin katoa machozi ambayo ilikua ni muhimu sana kwa Russia. Kwa sababu unazo nyingi uwe unaziacha kizembe hivyo.

Hapa ukweli ni kwamba unazidiwa kwenye uwanja wa vita ndo maana unatandikwa

Sent from my TECNO KG6 using JamiiForums mobile app
Wap source kwamba Urusi imeacha depot zilipuliwe MAKUSUDI? ,lete picha za
Putin akitoa machozi.
 
Gonga kweye username id kisha utaona neno ignore kwa chini hakika hutauona ujinga wa mtu uliyemuignore
Super pawer wenu wa mchongo anapewa kichapo Mpaka mnatafuta pa kukimbilia Panakosa.., urusi lazima achakazwe Ili asirudie Tena upumbavu

Hili like funzo kwake dikiteta shetani wa urusi

Niogezee kwenye hiyo ignore list[emoji106][emoji106]
 
Unapaswa kuwaelewa.

Jamaa wanatumia ile mbinu ya kufungwa twafungwa lkn vyenga twawala.

Na ndio maana ingawaje kila uchwao Zelenscky na waandamiz wake wanakir kuwa miji inachukuliwa, askar wanateketea kwa mamia kila siku na uchumi umeporomoka kias cha kushindwa kuzalisha hata robo ya matumiz yake lkn hawa wa Ukraine wa buhigwe wakisikia ghala limewaka wanakwambia tayar wao ndio washind.

Najiulizaga au Masau Bwire naye ni memba humu jamvin[emoji41][emoji41][emoji41]

Sent using Jamii Forums mobile app
Kichapo Cha mbwa Koko kwa dikiteta Putin na mafashist wenzake kinachoendelea [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
 
Naona Pro West mnabwata tu asee

Mpewa maji ya kunywa sasa mnapata nguvu ya kuongea....

Hakika mnaenda kuingia kwenye mtego wa manigga Putin na inakula kwenu.

Wanangu wa MOSCOW endeleni kula bata kwanza...

Wacha nisake hii Rand kwanza.
Dikiteta Putin anapewa za uso mpaka mmeanza kupoteana [emoji12][emoji12]
 
Tazama ndege ya kisasa ya kivita ya Russia ilivyotunguliwa jana Su-30SM huko Kharkiv ina thamani ya dola milioni 50.Ni mwendo wa kipigo.Nimeweka source mbili



Una kichwa kigumu kuskia. Duuhh.

Tumekwambia Video za Youtube za Channel za watu binafsi wa Promo hatutaki humu. Tuna hitaji reliable source. Duuhh. Mkuu hatukatai uki tungua ndege. Ila vyanzo vya habar zako isiwe Youtube channel za watu.

Au huna realiable source zingine kiongizi?[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Gonga kweye username id kisha utaona neno ignore kwa chini hakika hutauona ujinga wa mtu uliyemuignore
Mbona mlikuwa mnaleta habari zenu tulikuwa tunasoma bila kuwa ignore leo hii zetu hamtaki [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
NILIKUA NIKIINGIA KWENYE HUU UZI NAPATA DARASA LA UHAKIKA NIKIRUDI KITAA NAKUSANYA WAZEE NAANZA WAELEZEA VITU NIMETOA HUKU WENYEWE WANANIO BONGE LA KICHWA LAKINI SAIV UZI UMEJAA MIPASHO MPAKA UNAJIULIZA HAWA PRO NATO VICHWA VYAO VIMEWEKWA NINI AU NI MAKALIO YALIOOTA NYWELE
 
Una kichwa kigumu kuskia. Duuhh.

Tumekwambia Video za Youtube za Channel za watu binafsi wa Promo hatutaki humu. Tuna hitaji reliable source. Duuhh. Mkuu hatukatai uki tungua ndege. Ila vyanzo vya habar zako isiwe Youtube channel za watu.

Au huna realiable source zingine kiongizi?[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Well said, wana JF wengi hawajui kwamba video clips nyingi zinazo kuwa uploaded kwenye Utube channels za watu binafsi hazina ukweli wowote niza kutengeneza kwa kutumia CGI programs - kwa mtu ambae hajui vizuri taaluma hii, video zinaonekana ni real kabisa ie uwezi kuzitilia shaka hata kidogo - wapo watu mahususi wanalipwa na Serikali za magharibi na Serikali ya Zelensky kutengeneza na kusambaza video na habari za uongo/usanii kwenye mitandao, wako organized kweli kweli - masaa yote unaonyeshwa jinsi Warusi na zana zao za kivita zinavyo teketezwa na jeshi la Ukraine na jinsi inavyo karibia kushindwa vita, lakini hawatuonyeshi jinsi majeshi ya Ukraine na zana zao zinavyo teketezwa na jeshi la Urusi - katika hilo MSM za magharibi zipo kimya kabisa.
 
Una kichwa kigumu kuskia. Duuhh.

Tumekwambia Video za Youtube za Channel za watu binafsi wa Promo hatutaki humu. Tuna hitaji reliable source. Duuhh. Mkuu hatukatai uki tungua ndege. Ila vyanzo vya habar zako isiwe Youtube channel za watu.

Au huna realiable source zingine kiongizi?[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Huwa mnaulizwa ,Kuna chombo Cha habari hambacho hakipo YouTube??

Sidhani kama mmeshawai kujibu hili swali[emoji848]
 
Back
Top Bottom