Sikirimimimasikini
JF-Expert Member
- Dec 27, 2019
- 2,940
- 15,665
North Korea yakataa offa ya rais wa South Korea kuhusu kuacha nyuklia kisha ipewe misaada ya kiuchumi, yamwambia rais huyo afunge 'domo' lake!
North Korea imemwambia rais wa South Korea afunge domo lake kufuatia rais huyo kuiomba North Korea iache silaha zake za nyuklia kisha South Korea itaipatia misaada kedekede ya uchumi. Majibu hayo kuntu yametolewa na dada yake Kim Jong-Un aitwaye Kim Yo Jong ambapo pia akaongezea kuwa South Korea...