Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Brigedia Generali Oleksiy wa Ukraine anasikitika na kulalamika kuwa Urusi imeongeza dozi ya mashambulizi ya anga kwenye tageti za kijeshi za Ukraine, inashambulia maradufu ya mashambulizi iliyoyafanya wiki zilizopita.

SmartSelect_20220811-200528_Chrome.jpg
 
Cheki ushahidi uwo.hata moscava Russia walikanusha cheki jam hiyo warusi wakirudi bara mapemaView attachment 2320627View attachment 2320633
Sioni sababu ya kubishana na wewe kwenye hii ishu.
Kwanzia mabeberu, Ukraine wenyewe na Russia, wote wamesema siyo shambulio.

Yaani mpaka Ukraine wenyewe na kupenda sifa zooote, hili wamelikana kweupe.

Sasa sijui tuna bishana nini? Au kujipa moyo tu baada ya kulishwa matango pori kwenye group zenu za Pro NATO.

Mimi ushahidi wa link zote nimesha weka na nimemaliza.
 
Kuna watu hawastahili upendo kama hawa wanajeshi wa Ukraine. Ijapokuwa nchi yao ina mapambano motomoto ila maamuzi wanayoyachukua ni ya kishetani kabisa! Unashambulia kinu cha nuclear ili iweje?!

Hawa kweli ni Ma-NAZI.
kwahiyo Urus waliposhambulia kinu cha nyuklia cha ukraine , wao walikuwa wana akili sio ? mahaba yakizid mtaolewa kbs
 
Air defence system gani? Wewe lini uliwahi ona superpower inashambuliwa kienyeji hiviView attachment 2320639View attachment 2320638 Hapo unahesabu craters tatu zote direct hit na ndege kadhaa zilizopotezwa juzi pale Crimea. Air defence ya uhakika hata kwenye air base hakuna. Watakwambia ni ajari ya mishandling, ila si umeona foleni ya Warusi waliokuwa wanaondoka Crimea kuogopa 'mishandling'
Hizi zote ni ngonjera tu..tunahitaji UKRAINE irudishe maeneo yake....kama inashindwa mambo yote yanayofanyika ni ubatili tu
 
Upo wakati kulikuwa na mwenzetu humu anakuja na andiko au comment kwa kila hoja kuwa 'inasikitisha sana'....siku hizi simuoni humu inawezekana aliondolewa humu 'kistaarabu'.......

Lakini amejitokeza mwingine wa aina kama hiyo kwa comment yenye lugha mbovu ya 'jugement day'...mbaya zaidi anachukua jina la mwanahabari nguli wa kituo kimoja cha redion hapa nchini kp....bila shaka Mods watafanya yao ili upuuzi kama huu usafishwe humu....hili ni jukwaa la kuelimishana na siyo kuleta hoja za kipuuzi...
 
Kwani urusi kaenda kutalii huko Ukraine?? Kuna mdau mmoja aliwahi kusema kuwa ukitaka kumuua nyoka aliyekuingilia ndani kwako huna haja ya kujari chochote wakati unamuua,hata kama huyo nyoka kajichanganya kwenye flat - screen unayoipenda au chochote kingine Cha thamani wewe bonda tu, mengine yatajulikana mbele ya safari,
 
Sidhani kama kuna mtu mwenye akili timamu anayesapoti vita na kumwaga damu. Nchi pekee inayojulikana kufurahia na kuchochea vita kwa manufaa yake ni huyo self-styled kiranja wenu wa dunia.

You must understand that even the UN itself recognizes (even more openly) the validity of Russian SMO. Russia aliiwasilishia NATO concerns zake (kwa amani) kuhusu usalama wake unaotishiwa na harakati mbaya za Ukraine. Then, mkamwona mbwakoko na mwendawazimu.

Alitumia njia ya mapatano, mkamdharau na kumwona kabwela asiye na madhara. Sasa ameamua kuvua sura ya huruma na kuvaa mwonekano mnaoweza kuelewa lugha yake, kusudi apiganie haki na usalama wa raia wake.

Usidhani Putin anafurahia kupoteza rasilimali zake (vitu na watu) vitani. Mmemlazimisha wenyewe na hivyo hana option nyingineyo.

Funny enough, hata Ukraine inavyoendelea kumegwa deile, uongozi wa Ukraine unazidi kuomba upewe silaha zaidi ili vita viendelee, licha ya tahadhari za mara kwa mara za Russia dhidi ya hatua hiyo isiyo na manufaa. Sasa nani kichaa hapo?

Lastly, msisahau kwamba since 2014 Ukraine imekuwa ikifanya vitendo vya mauaji ya raia (Russians and Russian-oriented) wasio na hatia nchini mwake mwenyewe.

Kama hamtaki kashikashi, basi kubalini kujisalimisha na kuwa wastaarabu. Otherwise, endeleeni kumsikiliza Mmagharibi wenu na kuifurahia show nzito ya Putin.

#TukutaneWintani!
Jinsi USA wanavyojiona wanahaki na kila kitu..ni kama CCM inavojiona inahaki na Tz...
CCM oyee....haha
 
IMEKWISHA HIYO.
IMG_20220811_211219_108.jpg

From Medvedev on TG:
On Thursday, he visited the Lugansk People's Republic, where he met with the heads of the LPR Leonid Pasechnik and the DPR Denis Pushilin.

On behalf of the President of the Russian Federation, he held a meeting on priority measures to ensure the security of the republics of Donbass.

At the meeting, which was attended by Prosecutor General of the Russian Federation Igor Krasnov, First Deputy Head of the Presidential Administration of the Russian Federation Sergei Kiriyenko, Interior Minister Vladimir Kolokoltsev, Minister of Construction Irek Fayzullin, FSB Director Alexander Bortnikov, Head of the Investigative Committee Alexander Bastrykin, they also considered issues of promoting economic and social development of the LNR and DNR.
Particular attention was paid to the harmonization of the legislation of the LPR and DPR with the legislation of the Russian Federation, the restoration of infrastructure, the repair of hospitals and the preparation of schools for the start of the school year, the solution of social problems and the support of citizens.
The head of the Investigative Committee informed about the progress of the investigation of crimes committed by Ukrainian nationalists and the collection of evidence in the framework of the criminal cases.
 
Mambo ni motooooo

Russia has begun to implement a plan to connect the ZNPP (Zaporozhye Nuclear Power Plant) to the Russian energy system (reconnecting the ZNPP to the Crimea) and disconnect it from the Ukrainian one. This was announced by Energoatom President Petr Kotin.
 
WALETE WALET WALETE
IMG_20220811_211951_531.jpg

EU increased purchases of coal from Russia before the embargo

On the eve of the embargo on the import of Russian coal, the European Union increased its imports: in March-May of this year, European countries bought 28% more coal than in the same period last year.

According to Vedomosti, coal supplies from Russia to the EU states jumped almost fourfold — to $9.3 billion in monetary terms. The main importers were Germany, Poland, Spain, Italy and the Netherlands.

HIZO $9.3b ni sawa na Trillion 21.7 za kitanzania. Budget yetu kwa mwaka ni Tsh 38T.
 
This might be a bit of an unpopular opinion.

You often hear how Zelensky is “entitled” and speaks in a bossy matter to European countries and to the US and other NATO states, especially when it comes to getting money, weapons and other supplies.

The fact is that Zelensky is 100% entitled to do so and he knows it.

Zelensky’s original political platform was in fact built on making peace with Russia. That is how he was voted in by the people of Ukraine. The CIA swooped in and promised him utmost support and full backing in turn for allowing the US to militarize Ukraine and made Ukraine take a much tougher stance against Russia in negotiations and relations — all based on promising full support to Ukraine in any scenario with Russia & NATO membership as well as huge investments & personal funds / property in the US.

Every step Zelensky took since 2014 was under the guidance and false promises of the CIA. Zelensky was actually working for Russia before his political career and spoke exclusively in Russian.

Is Zelensky entitled to demand things from NATO and the US? 100%. He is, he knows it and they know it. That’s why they shut their mouths and follow course.
 
Kwani urusi kaenda kutalii huko Ukraine?? Kuna mdau mmoja aliwahi kusema kuwa ukitaka kumuua nyoka aliyekuingilia ndani kwako huna haja ya kujari chochote wakati unamuua,hata kama huyo nyoka kajichanganya kwenye flat - screen unayoipenda au chochote kingine Cha thamani wewe bonda tu, mengine yatajulikana mbele ya safari,
Athari hasi ya mfano ulioutoa hauendani na athari ya kilichofanywa na Ukraine. Haijalishi kama wanaonewa ama laa iwe sababu ya kuwashika mkono hatakama wamekosea.
 
Hawa warusi wanarusha mizinga toka kwenye hicho kinu cha nuclear halafu wanalaumu Ukraine ikijibu mashambulizi. Ni kichekesho Kwa kweli. Kwahiyo walitaka watumie nuclear plant kama ngao kwamba wao washambulie lakini wasishambuliwe kisa tu kuna nuclear
 
Back
Top Bottom