Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

tufunge macho tusali kidogo
MWENYEZI MUNGU MUUMBA WA MBINGU NA NCHI TUNASHUKURU KWA PUNZI NA UZIMA UTUPAO BURU EEH MUNGU TUNAWAKABIZI PRO-NATO WOTE MIKONONI MWAKO BABA UWAFANYE KICHWA NA WALA SI MKIA MANA NDUGU ZETU HAWA WANAZIDI ANGAMIA KWA KUKOSA MAARIFA NA UJUAJI MWINGI BABA LAINISHA MAFUVU YAO VICHWA VYAO WAVITUMIE IPASAVYO MANA WAMEVIGEUZA KAMA MAKABATI YA KUHIFADHI MENO BABA KAMA NI MAPEPO YASHINDWE NA YAWATOKE KWA UWEZO WAKO NA PIA MUNGU MUUMBA WA MBINGU NA ARDHI TUNAMKABIDHI PUTIN MIKONONI MWAKO UMPE MAISHA MAREFU NA NGUVU ZAIDI AWEZE SHINDA VITA HIVI TUNAVIKABIDHI MIKONONI MWAKO MANA WEWE NI BABA WA VITA NA KWAKO TUTASHINDA..wote tuseme AMEEN
 
Tungu Russia muanze kutungua hizo HIMARs zingekuwa zimeisha maana zipo 12 tu.
njia za kutungua ni mingi sana.
check this one
KILLNET has published the data of employees of the American corporation Lockheed Martin, which supplies MLRS HIMARS to Ukraine Russian hackers from the KILLNET group promised to publish the data of employees. The hackers kept their word - the list of names, phone numbers and other data is now in the public domain.
 
Ukraine ya endelea kupata kipigo cha mbwa mwizi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wameshushiwa Makombora 120
Screenshot_20220811-114931.jpg
 
Mimi nachukizwa zaidi na uvamizi haramu wa Dikteta Putin kwa nchi ya kidemokrasia na kistaarabu iliyokuwa inatengeneza future yake nzuri kwa kusikiliza matakwa ya raia wake walio wengi. Siko interested sana na hizo tambo au Russia wanachokipata huko Ukraine kupitia mauaji, unyang'anyi, vurugu na uporaji wanaofanya.

Jambo lingine, Kama rasilimali lukuki walizo nazo Russia sasa kwenye nchi yao kubwa kuliko zote wameshindwa kuzitumia ipasavyo hadi linchi lao linapitwa kiuchumi kwa mbali sana na vi nchi vidogo kama U.K, Ufaransa, Japan na Italia vyenye rasilimali kidogo sana unafikiri Putini hata akiichukua Ukraine yote na dunia ikakubaliana naye kuna kitu kitabadilika kwenye uchumi wa Russia??
Sidhani kama kuna mtu mwenye akili timamu anayesapoti vita na kumwaga damu. Nchi pekee inayojulikana kufurahia na kuchochea vita kwa manufaa yake ni huyo self-styled kiranja wenu wa dunia.

You must understand that even the UN itself recognizes (even more openly) the validity of Russian SMO. Russia aliiwasilishia NATO concerns zake (kwa amani) kuhusu usalama wake unaotishiwa na harakati mbaya za Ukraine. Then, mkamwona mbwakoko na mwendawazimu.

Alitumia njia ya mapatano, mkamdharau na kumwona kabwela asiye na madhara. Sasa ameamua kuvua sura ya huruma na kuvaa mwonekano mnaoweza kuelewa lugha yake, kusudi apiganie haki na usalama wa raia wake.

Usidhani Putin anafurahia kupoteza rasilimali zake (vitu na watu) vitani. Mmemlazimisha wenyewe na hivyo hana option nyingineyo.

Funny enough, hata Ukraine inavyoendelea kumegwa deile, uongozi wa Ukraine unazidi kuomba upewe silaha zaidi ili vita viendelee, licha ya tahadhari za mara kwa mara za Russia dhidi ya hatua hiyo isiyo na manufaa. Sasa nani kichaa hapo?

Lastly, msisahau kwamba since 2014 Ukraine imekuwa ikifanya vitendo vya mauaji ya raia (Russians and Russian-oriented) wasio na hatia nchini mwake mwenyewe.

Kama hamtaki kashikashi, basi kubalini kujisalimisha na kuwa wastaarabu. Otherwise, endeleeni kumsikiliza Mmagharibi wenu na kuifurahia show nzito ya Putin.

#TukutaneWintani!
 
Tim Rainbow wanasemaje kuhusu hii hbr?
Hawana la kuongea zaidi wanalalamika eti Russia hatumii kilainishi cha baby care anawapelekea mtarimbo mkavu hadi wamechubuka vinyeo..........kwa kweli ukiwaona machozi yanaweza kukutoka wanatembea kama mabaga freshemoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji91][emoji91][emoji91]
 
Nilishasema before hawa Pro NATO wengi ni watoto wa 2000s hawana uelewa na Geopolitics wanaamini Marekani ndo kila kitu hapa huwaambii kitu.

Hawana facts ila wapo kimashindano uzuri kwa watoto kama hawa “IGNORE BUTTON” inafanya kazi unamtupia huko akapate akili.
Hiyo ignore Burton ipo kwa wapi? I need it
 
Nimeamini hujuia kusoma, mkuu The 13 (ndiyo maana jina lako ni fupi na lenye tarakimu because you can't spell that much!).

1. Unafahamu kuhusu ^humanitarian corridors^ na ^humanitarian aids^ kwenye vita vya Ukraine?

2. Tuko almost nusu mwaka since vita vianze huko, unajua casualties (raia wenyewe mbali na wanajeshi wabishi wa Comedian) Ukraine ni wangapi?

3. Nani anayewatumia raia kama ngao? Nani aliwaua mamia wa wafungwa gerezani wa vita hivi majuzi? Nani amelipua juzi kati kile kituo cha nyuklia cha kufulia umeme?

Again, you would do a wonderful service to humanity if you go back to school, not to learn per see, but to unlearn all this deplorable garbage you have been long fed up!
 
Huwa mumezagaa kuanzia Mombasa kupitia Tanga hadi Pemba, na hayo ndio maeneo ambayo yanafahamika sana kwa ushoga, maana kwamba sio mabomu ya kujilipua ila pia na ubwabwa
Italians huja Mombasa kwa ajili ya kutafta mashoga wakenya,nashangaa wanaume wenzio huko Kenya wameolewa,ww hujapata mume mzungu😁,achia wazungu hicho kinyeo ww mama.
 
Back
Top Bottom