Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Hiyo dini ya kujilipua IPO kwenu ndio maana Rogo kaanzisha Mombasa Republic,Al Shabbab ambao wapo huko kwenu

Sijui huwa mnaaminishwa vipi huo uzombi, yaani ghafla mtu unawehuka na kujilipua....halafu hata wasomi pia wanaamini kwenye huo ujinga.
Iran ni watu wenye akili sana sijui waliingizwaje kwenye huo mkenge, kwa nyie waswahili nitaelewa...
 
Tulifanyiwa surprise, maeneo yetu yakachukuliwa, lengo letu sasa ni kurudisha maeneo yetu maana tayari tumepewa zana nzuri za kivita
Samahani,hivi pro NATO hua mna akili ngapi? Bora mkae kimya mwache kuonyesha mlivyo vilaza aise! Mmefanyiwa surprise gani? Urusi ilichukua Crimea 2014! Na maeneo ya kusini mwa Donbas, Ukraine imeshindwa kurudisha hayo maeneo all those years,irudishe overnight maeneo yalyotekwa mwaka huu? Alafu jiulize, Ukraine inafanya advancement ipi zaidi ya ku retreat?
 
Sijui huwa mnaaminishwa vipi huo uzombi, yaani ghafla mtu unawehuka na kujilipua....halafu hata wasomi pia wanaamini kwenye huo ujinga.
Iran ni watu wenye akili sana sijui waliingizwaje kwenye huo mkenge, kwa nyie waswahili nitaelewa...
Yaani nyinyi mnchinja watu huko kilifi,mpeketoni,Garissa eti mbapigania dini? Wajinga Sana.
 
Huyo jamaa sijui katoka wapi aisee.....yaani jinsi anavobishana kama mashindano vile.......yaani utafikiri yupo kwenye mashindano...uncivilized..

Nilishasema before hawa Pro NATO wengi ni watoto wa 2000s hawana uelewa na Geopolitics wanaamini Marekani ndo kila kitu hapa huwaambii kitu.

Hawana facts ila wapo kimashindano uzuri kwa watoto kama hawa “IGNORE BUTTON” inafanya kazi unamtupia huko akapate akili.
 
Mimi nachukizwa zaidi na uvamizi haramu wa Dikteta Putin kwa nchi ya kidemokrasia na kistaarabu iliyokuwa inatengeneza future yake nzuri kwa kusikiliza matakwa ya raia wake walio wengi. Siko interested sana na hizo tambo au Russia wanachokipata huko Ukraine kupitia mauaji, unyang'anyi, vurugu na uporaji wanaofanya.

Jambo lingine, Kama rasilimali lukuki walizo nazo Russia sasa kwenye nchi yao kubwa kuliko zote wameshindwa kuzitumia ipasavyo hadi linchi lao linapitwa kiuchumi kwa mbali sana na vi nchi vidogo kama U.K, Ufaransa, Japan na Italia vyenye rasilimali kidogo sana unafikiri Putini hata akiichukua Ukraine yote na dunia ikakubaliana naye kuna kitu kitabadilika kwenye uchumi wa Russia??

Ulishawai kuchukia uvamizi wa NATO kule Libya??
 
Himars ni mfumo wa makobola tu mkuu.Usi sahau zipo 12 tu lakin SI mnaoana majabu iyo fanya vipi wakiwa na mifumo kama hiyo 200

Nitajie jimbo hata3 waliyokomboa? Jana Washingpost imekiri Ukraine anazidi kupoteza maeneo muhimu ya uchumi. Russia anashikilia maeneo yenye thamani ya US$ 12 trillion. Hizo HIMARS haziwezi wasumbua Warussi ndomana wanasonga bila kikwazo, Ukraine sahv anafyatua mabomu hovyohovyo maana kashashindwa tayari


Western media wants you to believe in a lot of lies. Don't be a fool. Do some research before believing anything you read.
 
Air defence system gani? Wewe lini uliwahi ona superpower inashambuliwa kienyeji hivi




View attachment 2320639View attachment 2320638 Hapo unahesabu craters tatu zote direct hit na ndege kadhaa zilizopotezwa juzi pale Crimea. Air defence ya uhakika hata kwenye air base hakuna. Watakwambia ni ajari ya mishandling, ila si umeona foleni ya Warusi waliokuwa wanaondoka Crimea kuogopa 'mishandling'
Kila siku wapiganaji WA iraq wanazilipu c ram air defense za mare kazi kwenye ubalozi wake pale iraq huku makombora ya iran yakililipua base za marekani bila hata mfumo ya kuona yaan nilista ajabu kusikia hata satelite hazikuona drone za iran hua zinapiga picha manuwari za marekani zilizo jiza titi Mifumo ya ulinz kama uchafu

Mbali na hayo ule ustadi WA shambulizi la visima vya mafuta kule saudia hapo dunia ishangaa Iran ikiivua nguo technology ya marekani aisee
 
Ukraine bhana. Mmelipua Crimea ka eneo ka 1 tu na kafa 1 tu. Russia imetungua ndege 3 leo tu na zaidi ya Wanajeshi wa Ukraine 300 wamekufa.

Ila Pro-West mnasherekea Propaganda za West eti Air base[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sio propaganda Ukraine Wana onyesha na Ushahidi nyie maneno mengi.
ukraine_defence-20220811-0004.jpg
 
Nitajie jimbo hata3 waliyokomboa? Jana Washingpost imekiri Ukraine anazidi kupoteza maeneo muhimu ya uchumi. Russia anashikilia maeneo yenye thamani ya US$ 12 trillion. Hizo HIMARS haziwezi wasumbua Warussi ndomana wanasonga bila kikwazo, Ukraine sahv anafyatua mabomu hovyohovyo maana kashashindwa tayari


Western media wants you to believe in a lot of lies. Don't be a fool. Do some research before believing anything you read.
Ramani hiyo mwanzi wa vita hadi saiv.Rusia Kwa Ukraine wanahenya hivi je akikutana Finland au poland?
JamiiForums-158191147.jpg
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji12]Acha kulialia,Nani alikwambia uwe upande wa Mashoga [emoji304]

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ukiwa upande wa WEST jua Ushoga lazima utakuhusu[emoji2]
 
Sio propaganda Ukraine Wana onyesha na Ushahidi nyie maneno mengi.View attachment 2320687
Sisi kazi yetu sio kutangaza sisi tuna kazi ya kuwaua na kuvunja silaha zenu kimya kimya nyie ndio mtatangaza[emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
 
Ramani hiyo mwanzi wa vita hadi saiv.Rusia Kwa Ukraine wanahenya hivi je akikutana Finland au poland?View attachment 2320691

Ushahamia Finland na Poland. Toka Russia aseme Operation itakwenda mpaka Poland unaona sahv wanakipururuu??

Ukraine ndo nchi ya 2 kwa ukubwa Ulaya. Tumia ubongo huo kuleta hoja zenye tija kama huna hoja.
 
Back
Top Bottom