Baada ya himars kushindwa kuikomboa khersan sasa majeshi ya urusi yamesha ingia sehemu za mji WA mykolaiv kama huu mji ukitekwa hii litakuwa pigo takatifu Ukraine kupewa na urusi
Kosa walilofanya Wakirene ni kutangaza mpango vita wa kuirudisha Kherison.
Wakidhani think tank wa Moscow watapanic na kupunguza baadhi ya askari kule Donbas.
Kumbuka Donbas inapigwa kwa three different offensive zote kwa wakati mmoja.
Yaani Adviika, Pelsk na Bakhmut bila kusahau Seversk, kumbuka hii ni Moja ya maeneo yaliyo fortified kwa miaka 8.
Kitendo Cha hayo maeneo tajwa kuanguka, kitapelekea defence line eastern Ukraine kuanguka, hivyo mapigano tutarajie kupigwa Dnipro au Dniproprotervisk kwa kirusi.
Hivyo strategist wa Wakirene wakajaribu kubet ili Urusi aingie king kwa kupeleka moto south kwenye mji kama Kherison na Jimbo la Kherison ambalo ni pro Russia ili kumpanikisha Mrusi.
Madhala yake Urusi akapeleka askari wenye Umri kuanzia miaka 40 na kuendelea [emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
Na askari wa Majimbo kuongeza nguvu, hapa askari kutoka Buryat, Ingushetia, Tuva na kule visiwa vya Sakhalin.
Wakirene wakasema Mongol wamepelekwa hivyo Lile jeshi la watu Milioni Moja kutoka Ukirene likapotea kinamna.
Kinachoshangaza hatukutarajia Offensive ya Nikolaev kipindi hiki toka Urusi, hivyo kitendo cha Nikolaev kuanza kupigwa kitazidi kuichanganya Ukirene.
Hapa itabidi Ukirene ibeti kuamua kurudi nyuma toka Donbas na kuongeza nguvu South au Iache Warusi wagain maeneo South, huku wakikomaa na Donbas.
Kumbuka kukombolewa kwa Donbas ni achievement kubwa kwa Warusi kwa sababu ndio ilikuwa primary goal yao, na itabusti morali na kupelekea maeneo mengine kuanguka.
Kumbuka hii ni moja ya miji ambayo ipo fortified kwa kiwango Cha juu.
Inawezekana mpaka mwezi wa Tisa, majeshi ya kirusi yakawa yanapigana kwenye outskirts za Jiji la Odessa.
N.B Mpaka Sasa Warusi wameshaingia outskirts ya Pelsk, Seversk, Adviika na Bakhmut ipo kwenye hali mbaya.