kp kipanya44
JF-Expert Member
- Jun 23, 2022
- 13,151
- 15,384
""jugement "".., unaelewa maana ya Alama za funga na fungua semi katika neno lolote?? .., tuanzie hapo kwanza [emoji848][emoji848]
Wenzako wote nikiwauliza hili swali wanaishia mitini
""jugement "".., unaelewa maana ya Alama za funga na fungua semi katika neno lolote?? .., tuanzie hapo kwanza [emoji848][emoji848]
😁😂🤣😂🤣😂Ignored (kilaza huyu anajaza server za jf)[emoji107][emoji107][emoji107]
Umeandika kinyesi, mavi!This is nature.., hakuna taifa lolote litaloshinda vita ya uonevu dhidi ya taifa lingine
Dikiteta Putin na wadhulumaji wenzake wajiadae kufungasha virago na kuliacha taifa la Ukraine salama salimimi[emoji120][emoji120]
Kunywa maji ya kutosha mkuu, hasira zitapungua.., najua Putin ametuvunja moyo sanaUmeandika kinyesi, mavi!
Na isomeke hivyoInshort Russia ana base tayr hapo Mali
Kelele nyingi mafanikio hamnaUkraine bhana. Mmelipua Crimea ka eneo ka 1 tu na kafa 1 tu. Russia imetungua ndege 3 leo tu na zaidi ya Wanajeshi wa Ukraine 300 wamekufa.
Ila Pro-West mnasherekea Propaganda za West eti Air base[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Furaha ya Pro NATO kwa Sasa ni hivi,viji counter attack ambavyo kwa kweli havibadilishi chochote.Duh....comment zako duh....maandunje.???!!!? By saying or rather shouting Andunje ..Maandunje will that change the fate of Ukraine?!?! I don't think so...Ukraine as a country, nation and state is doomed....
Umeongea kinyonge sana[emoji1787]Furaha ya Pro NATO kwa Sasa ni hivi,viji counter attack ambavyo kwa kweli havibadilishi chochote.
Ukiangalia mwenendo wa vita kwa Sasa Ukraine kwa kusaidiwa na USA wanachofanya Sasa hivi ni kirusha vikombora hovyohovyo bila malengo ili kuitia vijihasara TU Urusi,lakini lengo la kukomboa maeneo limekwisha yeyuka.
Nyinyi mlimfadhili Rogo huko Mombasa akaleta majambazi kule kibiti,mmeisha Acha,au mnaendelea?Yule Mpare wenu aliacha migomba Upareni akajiunga uislamu na kwenda kuua wanafunzi garissa, sema kawa mwoga alipotakiwa ajilipue bomu, ila hata hivyo alifanyiwa vituko gerezani mpaka kajifia humo.
Muone hapa alivyotupia kofia la bendera ya Tanzania, nahisi muda huu anagegeda mabikira
![]()
Kenya: Garissa attackers sentenced to long prison terms
Three found guilty of involvement in university siege given decades in jail after 2015 killing of 148 people by gunmen.www.aljazeera.com
![]()
Alafu seversk na soledar imekombolewa, pro Russia 🇷🇺 tuko kimya hatupigi kelele.Ukraine bhana. Mmelipua Crimea ka eneo ka 1 tu na kafa 1 tu. Russia imetungua ndege 3 leo tu na zaidi ya Wanajeshi wa Ukraine 300 wamekufa.
Ila Pro-West mnasherekea Propaganda za West eti Air base[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
KWANI MPAKA SAIVI KWENYE HII SMO NI NANI AMEFANIKIWA ZAIDI?Umeongea kinyonge sana[emoji1787]
Kiufupi ni kwamba; dikiteta Putin na wadhulumaji wenzake hawaondoki na chochote hapo Ukraine [emoji12]
Kama una akili timamu,hii statement alafu utafakariPoleni sana pro-Russia kwa msiba mzito uliowakuta .., kushambuliwa Kambi yenu huko crimea..,mola awape moyo wa uvumilivu katika kipindi hiki kigumu [emoji12][emoji12][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mpaka sasa nimegundua kitu kwenye huu uzi..aisee pro nato wengi ni vilaza mbaga..sasa tunahangaika ku urge na watu kama hawa ambao hata kuandika kingereza vizuri hawajui jamani! Sasa kusoma articles mbali mbali za uwanja wa vita zilizoandikwa kibeberu wataweza kweli! Si ndo wanaishia kushabikia mlipuko wa crimea na huku ukraine inakana kwamba sio wao...aisee we are wasting our time urguing with these kind of people! I think this thread should be only for Jesus mulokozi and others to give us war updates.""" jugement Day""[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Wana jifanya hamnazo, hivyo basi tuwa puuze tu watu kama hawaBaadhi ya wenzetu humu wamekusahihisha kuwa ni 'judgement' na siyo 'jugement'....uwe msikivu na mwenye heshima kwenye mijadala....haitoshi tu kuropoka sijui ' Andunje' Mara 'jugement' Mara sijui nini'...Leta Mambo ya maana ili wenzio nao waelemike kwa hoja zako....Don't shout, Argue...