Kipala
JF-Expert Member
- Jan 10, 2009
- 3,763
- 700
Mkuu jibu lako lingekuwa sahihi kabisa kama "beberu" ni matusi tu. Hapa ungekuwa huru kuitumia jinsi unavyopenda. Mimi najua ufafanuzi wa BAKITA unaosema "taifa linalopanua madaraka yake kupitia ukoloni kwa kutumia nguvu za kijeshi au njia nyingine". Kwa hiyo ni neno lenya maana yake kama tunapenda au tusipopenda. Linalingana na tabia za Urusi, zamani pia za Uingereza. Unafaa pia kwa Marekani.Da maswali mengine bana.
Haya nakujibu,
Kwa kua Mimi naiunga mkono Urusi kwa op hii nasema mabeberu ni USA na allies wake.
Na kwa kua wewe huipendi Urusi basi kwakon wewe beberu ni Urusi.
Nafikiri nimejibu sahihi.
Urusi iljenga himaya kubwa za koloni katika karne 5 zilizopita. Kutegemeana na namna ya kuhesabu ilishnda au kushindana hata na Uingereza. Tofauti na Uingereza inashika sehemu ya maeneo iliyotwaa kama koloni hadi leo katika Asia na sehemu za Ulaya. Sasa hivi inajaribu kurudisha ukoloni juu ya Ukraine.
Sijui nani beberu kuliko Urusi?