Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Namimi nakumbusha tu, hizo $40b alizotenga USA kama bajeti ya muda mrefu ya kukata upepo wa Russia kwenye operation yake, ni sawa na mauzo ya gas na mafuta ya Urusi kwa nchi za UE pekee kwa mwezi.
Mimi siongei sana, acha nikuwekee ushahidi kutoka kwa mabwana zenu wa [emoji304]

●Russia earned what is very likely a record 93 billion euros in revenue from exports of oil, gas and coal in the first 100 days of the country's invasion of Ukraine, according to data analyzed by the Center for Research on Energy and Clean Air, a research organization based in Helsinki, Finland.13 Jun 2022

●Russia Nearly Doubled Its Income From Energy Sales To The EU During Wartime, Study Shows.

Haya sasa naamini fuvu limefunguka sasa baada ya kusoma hizo tafiti hapo juu, naomba nikurudishe kwenye hiyo $1b iliyo kuchanganya wewe pengine kwasababu ya kuishi kwenye bara masikini na nchi masikini.

Hiyo $1b kwa Urusi ni mauzo ya mafuta kwa siku kwa bara la ulaya pekee (EU). Hii siyo kwa mjibu wangu mimi bali kwa mjibu wa mabwana zenu wa [emoji304] "EU foreign affairs chief Josep Borrell has estimated that oil exports provide Moscow with $1 billion a day".30 May 2022

NAOMBA NIKURUDISHE KWENYE UWANJA WA OPERATION AU VITA(kwa mjibu wa mabwana wa[emoji304]).
Ni mwenda wazimu au mjinga pekee ndo anaweza fikri kuwa msaada wa $1b utaidhoofisha Urusi kijeshi na anaefikri hivo atakuwa haijui urusi kijeshi na namna inavyoendeshwa.

Kwanini?, Hako ka $1b unako kaona kama mkombozi wa Ukraine dhidi ya kipigo cha Urusi, ndo matumizi ya jeshi la Urusi kwa siku kwenye operation yake nchini Ukraine. Hii nayo siyo kwa mjibu wangu bali nikwamjibu wa data na tafiti zilizofanyika kama hii, "Russia Spending an Estimated $900 Million a Day on Ukraine War"

Nilichogundua nikuwa, watu wanakuja hapa na akili za kimasikini kuchambua bajeti za ulaya kwa fikra za matumizi ya umasikini wa nchi zetu, ndo maana mtu kama kp kipanya44 anaiona $1b kama matrillion ya pesa, wakati kwa matumizi ya ulaya ni pesa ya kawaida sana, tena hasa katika bajeti za kivita.

Naomba kuwasilisha wakuu bila kuathili Msimamo wangu wa "I STAND WITH A MAN WHO IS SAVING THE WORLD VVP [emoji635][emoji635][emoji635]

PRO RUSSIA wanatoa facts mpaka unatabasamu wakati unasoma comrade agiza VODKA ntalipia.
 
[emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]
Screenshot_20220809-174130.jpg
 
Ndugu zetu Pro USA Huwa wanaamini kabisa kuwa USA ndio mbinguni,
Na Rais wa USA ndio Mungu.
Kuwabadilisha kwa Imani hiyo IPO kazi.

Hiyo habari ilitrend sana kipindi hicho na iliwatisha sana wamarekani.ukweli ndio huo.

Kitu kingine kidogo kilichowaumiza sana ni Ile ndege Yao waliokua wakijivunia sana kuwa haionekani kwenye rada ilikuja kuangushwa na Jeshi la Serbia baada ya kuonekana.
Waserbia kwa kuwadhihaki wakawaomba samahani kuwa, "mtusamehe sana kwani hatukujua kua haionekani".

Inasemekana kombora lililotumika kuiangusha ni kombora lililotengenezwa Enzi za USSR na Urusi ilishaacha kulitumia.
Serbia walilimodifai na likaangusha ndege ya Marekani isiyoonekana.
Vipi makombora mapya ya Urusi yatakuaje?
Kama la zamani TU limeangusha ndege ya kisasa?

Mkuu pia kumbuka US haohao walikwenda Ukraine kujifunza jinsi S-300 inavyofanya kazi kama sikosei walikua na Israel[emoji23][emoji23][emoji1316][emoji1316].

Unakumbuka US kumtisha Turkey asinunue airdefense S-400 ni nini anaogopa???
 
The Ukrainian embassy in Lebanon stated that the Lebanese customer refused Ukrainian grain due to a delay of 5 months Lebanon no longer needs the grain coming from Odessa on the Razoni dry cargo ship, the first ship to leave the Ukrainian port as part of a food deal, and now the carrier is looking for other buyers, RIAN reports. The UN tried to "smooth out" the situation, saying that there are cases when commercial ships change their destination for resale of cargo already during the voyage and that these are the decisions of private companies, "countries do not buy grain - it's all done through the commercial sector."
 
After the annexation of the Zaporozhye region to the Russian Federation, Russia will have a real, full-fledged, large and juicy casus belli - part of the country's territory, more importantly, together with the administrative center of the subject of the federation, will be under the occupation of another state. That is, yes, the logical conclusion from the successfully held Zaporozhye referendum is war. Flawlessly launched, according to all international standards
 
Porojo hizo, sisi tunamwamini M7 na si wewe kwa kauli yake ya Juzi - pamoja na ahadi lukuki alizopewa na Urusi pamoja na meli ya bure ya mafuta mbona KAGOMA kupokea.

Wewe ni nani ??
Mkuu naomba nikuambie kitu ambacho nadhani hujakijia.
Kauli ya kwanza ndio kauli halisi.
Museven alipokutana na Sergei Lavrov alimpa kauli halisi kabisa kua Afrika itasimama na Urusi kwa kuwa Afrika na Urusi zimetoka mbali,na mabeberu hawana uhalali wa kitichagulia rafiki,ama Adui wa mabeberu sio Adui wa Afrika.
Hii ndio kauli ya kwanza ya museven.
Kauli ya pili ya Museven sio halisi kwa sababu ametishiwa,au waafrika tumetishiwa na Marekani.
Kwa hiyo kwa unyonge wetu waafrika imebidi museven aongee kwa kuogopa vitisho vya Marekani.
Ni akili ndogo TU.
Je Kuna mtu atakataa mafuta ya Bei rahisi ya Urusi kwa sababu ya Ukraine?,halafu aende akanunue mafuta ya nchi nyingine kwa Bei ghali?
Ikiwa matajiri India na china wanachamgamkia mafuta ya Bei Chee ya Urusi,sisi Afrika ni nani?au Uganda ni nani?ana Nini?
Kama ukielewa andiko hili nadhani utajua kuwa, Museven kafunika kombe mwanaharamu Marekani apite.
Marekani imewahi kuzitisha hata India na china juu ya mafuta ya Urusi,lkn kwa vile India na china ni matajiri wamempuuza.sasa anaonea vidagaa.
 
Back
Top Bottom