Tulia buda,demu mtamu anamegwa mosmos,😁😁 demu wako alafu unakurupuka haraka, ya nini?Mrusi anakwama wapi? hii kitu sasa inachosha - Putin hebu maliza kazi basi tujue na lingine vita miezi 6 ? kweli ?
sijakuelewa...... ina maana demu kwa upande wako ni yupi ambaye unamla taratiibuuuuu ili utaam usikuishieeTulia buda,demu mtamu anamegwa mosmos,😁😁 demu wako alafu unakurupuka haraka, ya nisijni?
Jamani kuniiiiii kuniiiiii moto usipungue nguvu lete Kuni tuchocheee motoooo....🆕🔥🔥🔥The People's Liberation Army of China announced the upcoming exercises. Their goal will be the encirclement and defense of the island of Taiwan
This is reported by the South China Morning Post🔥🔥🔥
Mchina aachane na Taiwan, vita haiwezi !! ajenge uchumi wake, vitaa inaweza kukurudisha miaka 100 nyuma usipokuwa makini.Jamani kuniiiiii kuniiiiii moto usipungue nguvu lete Kuni tuchocheee motoooo....
Tanzania tupo vitani mwaka wa ngapi huu?Mchina aachane na Taiwan, vita haiwezi !! ajenge uchumi wake, vitaa inaweza kukurudisha miaka 100 nyuma usipokuwa makini.
lee van cliff x Google chrome taarifa yenu hii 😊😊😊These weapons include the use of microwave pulses as demonstrated by a Russian Su-24 Fencer, which used a microwave pulse to cripple an American destroyer, the USS Donald Cook, when it was patrolling on the Black Sea within close range of Russian forces.
Russia’s super weapons are impressive and they pose a serious threat to America’s military power.
Duh 😂😂😂Namimi nakumbusha tu, hizo $40b alizotenga USA kama bajeti ya muda mrefu ya kukata upepo wa Russia kwenye operation yake, ni sawa na mauzo ya gas na mafuta ya Urusi kwa nchi za UE pekee kwa mwezi.
Mimi siongei sana, acha nikuwekee ushahidi kutoka kwa mabwana zenu wa [emoji304]
●Russia earned what is very likely a record 93 billion euros in revenue from exports of oil, gas and coal in the first 100 days of the country's invasion of Ukraine, according to data analyzed by the Center for Research on Energy and Clean Air, a research organization based in Helsinki, Finland.13 Jun 2022
●Russia Nearly Doubled Its Income From Energy Sales To The EU During Wartime, Study Shows.
Haya sasa naamini fuvu limefunguka sasa baada ya kusoma hizo tafiti hapo juu, naomba nikurudishe kwenye hiyo $1b iliyo kuchanganya wewe pengine kwasababu ya kuishi kwenye bara masikini na nchi masikini.
Hiyo $1b kwa Urusi ni mauzo ya mafuta kwa siku kwa bara la ulaya pekee (EU). Hii siyo kwa mjibu wangu mimi bali kwa mjibu wa mabwana zenu wa [emoji304] "EU foreign affairs chief Josep Borrell has estimated that oil exports provide Moscow with $1 billion a day".30 May 2022
NAOMBA NIKURUDISHE KWENYE UWANJA WA OPERATION AU VITA(kwa mjibu wa mabwana wa[emoji304]).
Ni mwenda wazimu au mjinga pekee ndo anaweza fikri kuwa msaada wa $1b utaidhoofisha Urusi kijeshi na anaefikri hivo atakuwa haijui urusi kijeshi na namna inavyoendeshwa.
Kwanini?, Hako ka $1b unako kaona kama mkombozi wa Ukraine dhidi ya kipigo cha Urusi, ndo matumizi ya jeshi la Urusi kwa siku kwenye operation yake nchini Ukraine. Hii nayo siyo kwa mjibu wangu bali nikwamjibu wa data na tafiti zilizofanyika kama hii, "Russia Spending an Estimated $900 Million a Day on Ukraine War"
Nilichogundua nikuwa, watu wanakuja hapa na akili za kimasikini kuchambua bajeti za ulaya kwa fikra za matumizi ya umasikini wa nchi zetu, ndo maana mtu kama kp kipanya44 anaiona $1b kama matrillion ya pesa, wakati kwa matumizi ya ulaya ni pesa ya kawaida sana, tena hasa katika bajeti za kivita.
Naomba kuwasilisha wakuu bila kuathili Msimamo wangu wa "I STAND WITH A MAN WHO IS SAVING THE WORLD VVP [emoji635][emoji635][emoji635]
Uganda hanapesa ya kuifanya Russia ijute kukosa mteja Russia anapokea Billion of Rubles toka India China na nk Uganda mabaga fresh tuMbona ziara ya Lavrov tayari imeshafeli? Hapo hata ziara ya USA bado haijaanza.View attachment 2318974
Asingekuwa na jeshi ....... We unayeweza vita lete vita vyako ulivyopigana.Mchina aachane na Taiwan, vita haiwezi !! ajenge uchumi wake, vitaa inaweza kukurudisha miaka 100 nyuma usipokuwa makini.
Tutaendelea kuwauwa kila siku kama kukuWizara ya Ulinzi ya Russia imetoa report kamili ya idadi ya wapiganaji wa nje (Mercenaries) walioingia kupigana upande wa Ukraine.
Report inaonyesha kulingana na nchi idadi walioingia, waliouawa, waliokimbia na waliobaki.
Mfano: Kati ya wapiganaji 565 kutoka USA, 241 wameuawa, 243 wamekimbia na kubaki 81.
Hizo namba za kijani na nyekundu pembeni na chini ni mabadiliko kati ya tarehe 5 August na tarehe 7 August.
View attachment 2319031
Kwa sasa kipaumbele ni Taiwan uchumi utajengwa baada ya kuirudisha kundiniMchina aachane na Taiwan, vita haiwezi !! ajenge uchumi wake, vitaa inaweza kukurudisha miaka 100 nyuma usipokuwa makini.
lee van cliff x Google chrome taarifa yenu hii [emoji4][emoji4][emoji4]
Duh [emoji23][emoji23][emoji23]
Mchina hawezi, juzi bibi kizee katua Taiwan hajafanya loloteeKwa sasa kipaumbele ni Taiwan uchumi utajengwa baada ya kuirudisha kundini
Hivi USA na EU silaha yao ni sanctions tu
Uganda hanapesa ya kuifanya Russia ijute kukosa mteja Russia anapokea Billion of Rubles toka India China na nk Uganda mabaga fresh tu
kaka kama hujui ni hivi - Dunia hii tunayoishi inatawaliwa na watu wa Magharibi kwa kushirikiana na US. Yaani US ndiyo kiongozi wa hilo kundi.Hivi USA na EU silaha yao ni sanctions tu
Usipokubaliana nao unapigwa vikwazo
Siyo fair kabisaa
Hivi USA na EU silaha yao ni sanctions tu
Frankly under the current circumstances, I don't see why Lavrov should attend the UN session.After all what is the UN, it is just a US rubber stamp and a tool for the NWO depopulation and domination agenda.It is simply an anti-human organization.⚡️Russian President Vladimir Putin will not attend UN General Assembly in September and has no plans to speak at the event – Kremlin
FM Sergey Lavrov will head the Russian delegation, Kremlin spox Dmitry Peskov said.
Ndugu zetu Pro USA Huwa wanaamini kabisa kuwa USA ndio mbinguni,