Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Waliloligema watalinywa aliyewaambia wapigane na urusi nani. Style ya urusi nimeipenda hataki kujisifia saaana kwenye kipigo anachotoa ila mhangwa ndie unayeenda kusimulia matendo yake makuu

Sent from my LG-M200 using JamiiForums mobile app
Kipigo tulivu cha mahadhi ya Zouk 😂😂😂 kama Adeba ya Monica Seka
 
🇦🇹🇦🇹🇦🇹
Austria is not an EU or NATO vassal
Austrian Bundespresident candidate Gerald Grosz has published an open letter to Vladimir Putin promising to lift all sanctions and punish the government acting at the expense of the people. In addition, he does not consider the Russian-Ukrainian conflict as an Austrian problem.
"Dear President Putin, I am running for the post of federal president. If I am elected, I will appoint a new Government whose main goal will be the lifting of sanctions. Austria is not a vassal of the EU or NATO. We are an independent, neutral country that sees its future in the well-being of its citizens," Grosz announced in a letter. (News from R. Bentley)
Huyu ndo atakuwa Rais wa Austria 🇷🇺
 
Mkuu umeleta mengi na habari za nyakati tofauti.
Naomba nibaki kwenye mfano wako wa kwanza, yaani roketi za Kirusi huko Kuba.
Je, unakumbuka kwamba Urusi iliondoa roketi hizi haraka baada ya kuambiwa vile na Marekani?

Kuhusu mfano wako wa ndege ya U2 ya Marekani najua historia tofauti kidogo: ndege za Marekani zilipitapita mara nyingi juu ya Kuba, hasa siku za Oktoba 1961, ziliwahi kupiga na picha na kukusanya habari za wanajeshi na roketi za Kirusi kwenye kisiwa cha Kuba. Habari hizi zilijulikana, picha zilionyeshwa tayari hadharani katika mikutano ya Umoja wa Mataifa.

Majadiliano baina Urusi na Marekani yalianza. Hatimaye tarehe 27 Oktoba 1961 ndege moja ya U2 ilipigwa na kuangushwa. Rais Kennedy aliamuru kutojibu kijeshi kwa sababu mawasiliano na serikali ya Urusi yaliendelea. Tayari siku iliyofuata 28 Oktoba Urusi ilikubali kuondoa roketi zake. Marekani ilikubali kuondoa roketi zake huko Uturuki.
Halafu Marekani iliahidi kutovamia Kuba kijeshi.
Mimi naona makosa na madhambi mengi katika siasa ya Marekani duniani. Ila ninaona wametekeleza ahadi hii, hawakuvamia Kuba kijeshi. Walijaribu kila kitu kwenye uwanja wa uchumi, lakini hawakuvamia.

Ningetamani sana hata Urusi ingetekeleza ahadi zake na mikataba kama ile ya 1994 ambako Urusi iliahidi kulinda na kutetea uzima na umoja wa Ukraine , baada ya Ukraine kukabidhi silaha zake za nyuklia kwa Urusi.
Kwa bahati mbaya Urusi imevunja ahadi yake.
Na kwa bahati Mbaya Ukraine ilivunja ahadi yake kwa kutaka kujiunga NATO.

Ni sawa na mdogo wako wa damu umlee kwako toka mdogo kisha akishakuwa mtu mzima arubuniwe na jirani yako mwingine mwenye wivu na chuki zake juu yako avunje nyumba yako mnayoishi kwa kuwa amehaidiwa atasaidiwa kujenga kwake.

Kwenye kugundua hio njama unaamua kumtia kolokoloni kisha watu waje juu kuwa unamuonea mdogo wako.
 
😎😎😎

🇺🇸 Blinken's trip to Africa may fail because of Lavrov.

The Wall Street Journal writes that the US Secretary of State's visit to the black continent is likely to end in nothing.

Blinken's task is to influence African leaders to join the anti-Russian sanctions.

However, it will be problematic to implement the plan after the tour of the Russian Foreign Minister.

Earlier, Lavrov's African trip had already spoiled the mood of the head of European diplomacy Borrel.
Mbona ziara ya Lavrov tayari imeshafeli? Hapo hata ziara ya USA bado haijaanza.
Screenshot_20220809-114149.jpg
 
The buyer refused Ukrainian grain, which was on the Razoni vessel (first ship that left odessa) to the Lebanese port of Tripoli, the Ukrainian Embassy in Beirut reports. The refusal was justified by the delay of the cargo for a period of more than five months.

Now the ship's supplier is looking for a new buyer in Lebanon or any other country. Razoni is the first dry cargo ship with Ukrainian grain that left the port of Odessa as part of an agreement to unblock Ukrainian ports. There are 26,000 tons of corn on board.
 
[emoji1258][emoji1258] nakumbusha tu,kwamba kati billion dollars 40 tulizozitenga kwa ajili ya vita hivi, mpaka Sasa tumeshatumia dollar billion 8.8..,kwa hiyo kifurushi kilichobaki ni dollar billion 31.2

Mchakamchaka, taratibu mpaka mtu anaishiwa pumzi [emoji41][emoji41][emoji1258][emoji1258][emoji1258]

Tunataka fashisti dikiteta shetani wa urusi Aite maji mmaa [emoji1258][emoji1258][emoji1258][emoji1258][emoji41]
Namimi nakumbusha tu, hizo $40b alizotenga USA kama bajeti ya muda mrefu ya kukata upepo wa Russia kwenye operation yake, ni sawa na mauzo ya gas na mafuta ya Urusi kwa nchi za UE pekee kwa mwezi.
Mimi siongei sana, acha nikuwekee ushahidi kutoka kwa mabwana zenu wa [emoji304]

●Russia earned what is very likely a record 93 billion euros in revenue from exports of oil, gas and coal in the first 100 days of the country's invasion of Ukraine, according to data analyzed by the Center for Research on Energy and Clean Air, a research organization based in Helsinki, Finland.13 Jun 2022

●Russia Nearly Doubled Its Income From Energy Sales To The EU During Wartime, Study Shows.

Haya sasa naamini fuvu limefunguka sasa baada ya kusoma hizo tafiti hapo juu, naomba nikurudishe kwenye hiyo $1b iliyo kuchanganya wewe pengine kwasababu ya kuishi kwenye bara masikini na nchi masikini.

Hiyo $1b kwa Urusi ni mauzo ya mafuta kwa siku kwa bara la ulaya pekee (EU). Hii siyo kwa mjibu wangu mimi bali kwa mjibu wa mabwana zenu wa [emoji304] "EU foreign affairs chief Josep Borrell has estimated that oil exports provide Moscow with $1 billion a day".30 May 2022

NAOMBA NIKURUDISHE KWENYE UWANJA WA OPERATION AU VITA(kwa mjibu wa mabwana wa[emoji304]).
Ni mwenda wazimu au mjinga pekee ndo anaweza fikri kuwa msaada wa $1b utaidhoofisha Urusi kijeshi na anaefikri hivo atakuwa haijui urusi kijeshi na namna inavyoendeshwa.

Kwanini?, Hako ka $1b unako kaona kama mkombozi wa Ukraine dhidi ya kipigo cha Urusi, ndo matumizi ya jeshi la Urusi kwa siku kwenye operation yake nchini Ukraine. Hii nayo siyo kwa mjibu wangu bali nikwamjibu wa data na tafiti zilizofanyika kama hii, "Russia Spending an Estimated $900 Million a Day on Ukraine War"

Nilichogundua nikuwa, watu wanakuja hapa na akili za kimasikini kuchambua bajeti za ulaya kwa fikra za matumizi ya umasikini wa nchi zetu, ndo maana mtu kama kp kipanya44 anaiona $1b kama matrillion ya pesa, wakati kwa matumizi ya ulaya ni pesa ya kawaida sana, tena hasa katika bajeti za kivita.

Naomba kuwasilisha wakuu bila kuathili Msimamo wangu wa "I STAND WITH A MAN WHO IS SAVING THE WORLD VVP [emoji635][emoji635][emoji635]
 
BAADA YA KUKUPITISHA HUKO NAOMBA NIKUULIZE SASA HAYA MASWALI WEWE Pro-NATO kp kipanya44

1. Ukiwa na ugomvi na jirani yako, yeye bajeti yake yakupigana nawewe kwa siku ni $1b halafu wewe unategemea msaada ili uweze kupigana nae, na msaada unao pewa ni $1b baada ya miezi miwili au zaidi, unadhani utamudhoofisha au kutikisa hali ya mgomvi wako anae tumia hiyo $1b kwa siku na si kwa miezi miwili kama wewe?

2. Kwa mjibuwa wako ni kuwa "mpaka sasa tumeshatumia $8.8b" kp kipanya44 (bila shaka hapa ulijikuta treasure wa Washington DC), sasa basi ukiwa kama treasure wa Pentagon Taja mafanikio matano tu ya hizo $8.8b baada ya kuzipeleka Ukraine kama msaada wa kijeshi.

3. Kwa akili zako ulizozikusanya kusanya kwenye taasisi za elimu ulizopitia unadhani $40b inayotolewa kwa mchongo na kidogo kidogo inaweza kuidhohofisha kijeshi nchi iliyopigana vita ya dunia na ikashinda?
Je unajua kama Russia na USA ndo wamepigana Operation/Vita nyingi kuliko nchi yeyote ile duniani na bado nguvu zao kijeshi zinazidi kupanda kadiri wanavyo pigana?

Kama kweli kichwa chako si kwajili ya kufugia nywele na kuhifadhia meno na ulimi, hayo maswali utayaelewa na utayajibu ipasavyo ila kama akili zipo kiunoni basi nitahesabu kama nimepoteza muda wa kuuliza na Utanisamehe kwa kukupa hoja zilizo nje ya uwezo wa akili yako.

"USHINDI WA RUSSIA NDO USALAMA WA DUNIA MPYA, VIVA [emoji635][emoji635][emoji635])
 
[emoji682][emoji91][emoji91][emoji91]The People's Liberation Army of China announced the upcoming exercises. Their goal will be the encirclement and defense of the island of Taiwan
This is reported by the South China Morning Post[emoji91][emoji91][emoji91]
Hizi mbinu za encirclement watakuwa wamejifunza vizuri tokea kwa Jeshi la Russia. Russia Amry walikuwa hawaangaiki na Ukraine Nazis Army, zaidi ya kuwafanyia encirclement na kuwaacha wafe kwa njaa au wajisalimishe.
 
Namimi nakumbusha tu, hizo $40b alizotenga USA kama bajeti ya muda mrefu ya kukata upepo wa Russia kwenye operation yake, ni sawa na mauzo ya gas na mafuta ya Urusi kwa nchi za UE pekee kwa mwezi.
Mimi siongei sana, acha nikuwekee ushahidi kutoka kwa mabwana zenu wa [emoji304]

●Russia earned what is very likely a record 93 billion euros in revenue from exports of oil, gas and coal in the first 100 days of the country's invasion of Ukraine, according to data analyzed by the Center for Research on Energy and Clean Air, a research organization based in Helsinki, Finland.13 Jun 2022

●Russia Nearly Doubled Its Income From Energy Sales To The EU During Wartime, Study Shows.

Haya sasa naamini fuvu limefunguka sasa baada ya kusoma hizo tafiti hapo juu, naomba nikurudishe kwenye hiyo $1b iliyo kuchanganya wewe pengine kwasababu ya kuishi kwenye bara masikini na nchi masikini.

Hiyo $1b kwa Urusi ni mauzo ya mafuta kwa siku kwa bara la ulaya pekee (EU). Hii siyo kwa mjibu wangu mimi bali kwa mjibu wa mabwana zenu wa [emoji304] "EU foreign affairs chief Josep Borrell has estimated that oil exports provide Moscow with $1 billion a day".30 May 2022

NAOMBA NIKURUDISHE KWENYE UWANJA WA OPERATION AU VITA(kwa mjibu wa mabwana wa[emoji304]).
Ni mwenda wazimu au mjinga pekee ndo anaweza fikri kuwa msaada wa $1b utaidhoofisha Urusi kijeshi na anaefikri hivo atakuwa haijui urusi kijeshi na namna inavyoendeshwa.

Kwanini?, Hako ka $1b unako kaona kama mkombozi wa Ukraine dhidi ya kipigo cha Urusi, ndo matumizi ya jeshi la Urusi kwa siku kwenye operation yake nchini Ukraine. Hii nayo siyo kwa mjibu wangu bali nikwamjibu wa data na tafiti zilizofanyika kama hii, "Russia Spending an Estimated $900 Million a Day on Ukraine War"

Nilichogundua nikuwa, watu wanakuja hapa na akili za kimasikini kuchambua bajeti za ulaya kwa fikra za matumizi ya umasikini wa nchi zetu, ndo maana mtu kama kp kipanya44 anaiona $1b kama matrillion ya pesa, wakati kwa matumizi ya ulaya ni pesa ya kawaida sana, tena hasa katika bajeti za kivita.

Naomba kuwasilisha wakuu bila kuathili Msimamo wangu wa "I STAND WITH A MAN WHO IS SAVING THE WORLD VVP [emoji635][emoji635][emoji635]
Dah! Sina la kuongezea🙌
 
Wizara ya Ulinzi ya Russia imetoa report kamili ya idadi ya wapiganaji wa nje (Mercenaries) walioingia kupigana upande wa Ukraine.

Report inaonyesha kulingana na nchi idadi walioingia, waliouawa, waliokimbia na waliobaki.

Mfano: Kati ya wapiganaji 565 kutoka USA, 241 wameuawa, 243 wamekimbia na kubaki 81.

Hizo namba za kijani na nyekundu pembeni na chini ni mabadiliko kati ya tarehe 5 August na tarehe 7 August.

IMG_20220809_133632_945.jpg
 
Alafu kuna watu wanasema Ukraine ilikuwa na jeshi dhaifu,Acha kabisa [emoji116][emoji116]

Most importantly, as former Marine Colonel and UN Weapons Inspector Scott Ritter confirmed, Ukraine could militarily beat any nation in NATO except USA and Turkey.
Ilikuwa dhaifu sana,na imefika apo kwa sababu ya misaada na Russia kuwa dhaifu, ni mpuuzi pekee ataedhani Ukraine inaweza mpiga Germany au ata Wingereza, au Ufaransa pekee, kama we pia umeamini hyo, we ni mpuuzi pia
 
Wizara ya Ulinzi ya Russia imetoa report kamili ya idadi ya wapiganaji wa nje (Mercenaries) walioingia kupigana upande wa Ukraine.

Report inaonyesha kulingana na nchi idadi walioingia, waliouawa, waliokimbia na waliobaki.

Mfano: Kati ya wapiganaji 565 kutoka USA, 241 wameuawa, 243 wamekimbia na kubaki 81.

Hizo namba za kijani na nyekundu pembeni na chini ni mabadiliko kati ya tarehe 5 August na tarehe 7 August.

View attachment 2319031
Hizi ni Propaganda, haiwezi kuwajua ata angetaka kutoa
Wangekuwa ni waafrica yani ukiwaua unajua huyu sio Caucasian labda
 
[emoji1038][emoji1038][emoji1038]
Austria is not an EU or NATO vassal
Austrian Bundespresident candidate Gerald Grosz has published an open letter to Vladimir Putin promising to lift all sanctions and punish the government acting at the expense of the people. In addition, he does not consider the Russian-Ukrainian conflict as an Austrian problem.
"Dear President Putin, I am running for the post of federal president. If I am elected, I will appoint a new Government whose main goal will be the lifting of sanctions. Austria is not a vassal of the EU or NATO. We are an independent, neutral country that sees its future in the well-being of its citizens," Grosz announced in a letter. (News from R. Bentley)
USA anazd kupoteza ushawishi
 
Back
Top Bottom