Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Narudia tena ngoja nikuache
Kama taifa lenu la us halitambui uhuru wa taipei utakua wewe
Kwakukusaidia tu hakuna taifa linaitwa taiwan kama lipo nitajie balozi wake wakudumu pale un
Taipei nisehem halali ya UCHINA

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu umeamua kufuata lugha ya USA? Si ni kukubali ubeberu? Je katika falsafa yako msimamo wa wenyewe hauna maana? Pamoja na historia kwamba watu hao hawakuwahi chini ya serikali ya Jahuri ya Watu wa China hata siku ??
 
Gud nuz!!! Huon km watafanya kuongeza mizigo bila kizuiz
emoji41.png
emoji41.png
emoji41.png
US hataki akaguliwe same thing kama wanavyoiruka Israel, hivyo Russia akaona sio issue. Kaamua kujitoa, hiyo ni kwa mujibu wa wizara ya mambo ya nje kama muhtasari unavyosomeka hapa

Russia is forced to withdraw its facilities from inspections under the DSNV due to the actions of the United States, which in fact deprive the Russian Federation of the right to inspections in the State

This is stated in the statement of the Russian Foreign Ministry.
 
Au Wamasai wa Tanzania watake kujiunga na Kenya
Wakazi wengi w east Ukraine wana asili ya Russia,, ni sawa na mfano wajaluo na wakulya wa kenya waamue kupiga refrundum kujiunga Tanganyika[emoji1]
 
😎😎😎

🇺🇸 Blinken's trip to Africa may fail because of Lavrov.

The Wall Street Journal writes that the US Secretary of State's visit to the black continent is likely to end in nothing.

Blinken's task is to influence African leaders to join the anti-Russian sanctions.

However, it will be problematic to implement the plan after the tour of the Russian Foreign Minister.

Earlier, Lavrov's African trip had already spoiled the mood of the head of European diplomacy Borrel.
 
Mkuu umeamua kufuata lugha ya USA? Si ni kukubali ubeberu? Je katika falsafa yako msimamo wa wenyewe hauna maana? Pamoja na historia kwamba watu hao hawakuwahi chini ya serikali ya Jahuri ya Watu wa China hata siku ??
Wee jama unashida gani au mwanamkiei umekuja na jina jipya
Mie nimekwambia wewe kuhusiana na us kama unaongelea yaliipita kwenye leo pole MKUU
Nitajie mjumbe wakudumu wa taipei pale UN
Kama huna basi ujue taipei ni sehemu ya UCHINA utake usitake ukubali ukatae nahuo ndio ukweli

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji41][emoji41][emoji41]

[emoji631] Blinken's trip to Africa may fail because of Lavrov.

The Wall Street Journal writes that the US Secretary of State's visit to the black continent is likely to end in nothing.

Blinken's task is to influence African leaders to join the anti-Russian sanctions.

However, it will be problematic to implement the plan after the tour of the Russian Foreign Minister.

Earlier, Lavrov's African trip had already spoiled the mood of the head of European diplomacy Borrel.
visit to the black continent
Hii kauli tu inaonesha jamaa wamepanic UMBWA hao
US awe mpole mambo yamebadilika sanaaaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wee jama unashida gani au mwanamkiei umekuja na jina jipya
Mie nimekwambia wewe kuhusiana na us kama unaongelea yaliipita kwenye leo pole MKUU
Nitajie mjumbe wakudumu wa taipei pale UN
Kama huna basi ujue taipei ni sehemu ya UCHINA utake usitake ukubali ukatae nahuo ndio ukweli

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu unajua vema kwamba Taiwan inatumia jina rasmi "Jamhuri ya China" ikishika nafasi kama mwakilishi wa pekee wa China yote hadi mwaka 1971. Hata hivyo, nafasi hiyo ya serikali ya Taiwan haikuondoa kuwepo kwa Jamhuri ya Watu wa China (bara) kama nchi ya pekee. Vivyo hivyo hali ya kinyume tangu 1971 haiondoi kuwepo kwa nchi ya pekee nje ya China bara.
Pamoja na hayo, Taiwan inashiriki kama mwanachama wa kujitegemea katika taasisi na shirika nyingi za kimataifa; kwa majina tofauti kama vile "Chinese Taipei", "Republic of China", "Taiwan", "Taiwan (ROC)" na "Taipei, China".

Kati ya taasisi hizo ni WTO, IOC.
Menginevyo hatuwezi kuepukana na hali halisi kwamba serikali ya Jamhuri ya Watu wa China haikuwahi kuwa na mamlaka yoyote juu ya Taiwan.
 
Taratibu itabidi tuingie kwenye huu mjadala.............................................
 
Wazungu wa ulaya wameanza kuistukia Amerika

Restoring freedom and sovereignty should be a top priority for every European citizens, enough of US oppression, enough of leaders imposed by the US embassies, enough of degeneracy, every European nation should put its own interests above those of Washington/Davos psychopaths.
 
Tusishangae baada ya hii SMO, EU na mashirikisho mengine yote Ulaya yakasambaratishwa. The governments round the world are fast collapsing all because of one self-styled world prefect.
 
Taratiiibu watu uoga unawatoka na kuangalia masilahi yao.

Romania
and Bulgaria have increased purchases of hydrocarbons from the Russian Federation to 255 thousand barrels per day. Turkey has increased purchases to the maximum values in six weeksAll this testifies to the high risks of violating anti—Russian sanctions, Bloomberg believes. The total volume of Russian oil supplies to European consumers is now estimated at about 1.38 million barrels per day, which is the highest value in the last 5 weeks Mediterranean Buyers Return to the Market for Russian Crude
 
Taarifa ya siku Tatu ya SMO

❗️🇷🇺🇺🇦 Highlights of Russian Military Operation in Ukraine on August 6 — 8, 2022

▪️In Kurskg region, Ukrainian sabotage and reconnaissance group fired several mortars at the Khalino airfield and blew up a power transmission tower. The saboteurs were spotted and neutralized.

▪️North of Kharkiv Region, positional fighting is taking place near Dementiivka. Russian Armed Forces show offensive activity near Rus'ki Tyshky and Cherkas'ki Tyshky.

▪️Russian troops launched missile strikes against concentrations of Ukrainian Army manpower and equipment in Kharkiv and Chuhuiv.

▪️Near Sivers'k, positional fighting continues near Serebryanka, Ivano-Dar'ivka and Verhn'okam'yans'ke.

▪️On the southeastern outskirts of Soledar, LPR's 6th Cossack Regiment liberated part of the KNAUF Gips territory. All AFU counterattacks were repelled.

▪️Wagner’s PMC units fight on the eastern outskirts of Bakhmut (Artemivsk).

▪️South of Soledar, Allied Forces units are advancing on Kodema.

▪️In response to Allied Force's success in Donetsk direction, AFU shell Donetsk and its suburbs with artillery and MLRS.

▪️In Pisky, fighting continues on the northwestern outskirts of the settlement. Ukrainian formations prepare a new defence line Vodyane and Pervomais'ke.

▪️AFU Command is forced to redeploy reserves to Donetsk due to severe losses in Pisky, Mar'inka and Avdiivka.

▪️AFU once again struck Zaporizhzhia Nuclear Power Station and targeted the spent nuclear fuel storage facility.

▪️Shelling continues in Nova Kakhovka and Kherson. Ukrainian Command keeps attempting to destroy Antonivsʹkyy Bridge.

▪️In Mykolaiv, a curfew is imposed to catch people on suspicion of disloyalty to the Kyiv authorities.

▪️To the east of the regional capital, Russian Armed Forces launched an advancement on AFU's fortified stronghold in Pervomais'ke and are fighting for Blahodatne.

#digest #Russia #Ukraine #video
@rybar

*Support us: 0x4739352b67Da6F4064757627D92A08EaDd3fb6b6 (ETH) | 33i1BwMuzeYTAUNtiLa6CjvaHtTVYNJfnp (BTC)
 
Back
Top Bottom