Bugucha
JF-Expert Member
- Jan 3, 2020
- 3,621
- 14,714
Yes! Baadhi ni haya hapa,sijui HIMARS ziliishia wapi,yaani hazisikiki kabisaRussia wamechukua maeneo kibao leo

Россия идет вперед! ты знаешь этого приятеля?🇷🇺🇷🇺🔥Hii story nilisoma na nilishachangia miaka iliyopita, ukiimaliza story nionyeshe meli ya Marekani iliyozama vitani. Nami nakuonesha Moskva iliyopigwa na Ukrainian made missile, watu wazembe ambao hata kwenye top ten world arms industry hawapo. Hapo tutajua nani ana ulinzi imara wa meli zake.
After that nakuonyesha Sukhoi ikiwa na Khibiny yake na bado ikapigwa na outdated Buk missile. Ndege zina Khibiny ila zinaogopa hata MANPADS
Slava Russia 🇷🇺💪Porojo tu kutoka kwa random people. WP hawawezi post pumba vile, kwanza kwa mtu anayejua electronic warfare na silaha ukimwambia hiyo kauli atakusgangaa sana. Su-24 haina powerful radar, electronics wala power ya kuzima meli ya superpower. Fuatilia systems za EW zinakula sana umeme ili ziwe effective. Kwanza Khibiny mainly ni defensive kulinda ndege, na bado zinapigwa ikiwepo
Umeambiwa Zi TACTICAL 2000 kiongotzi🤣🤣hizo TACTICAL zimetuchosha
Drug dealer mama Ako[emoji52]We kijana..unajua mkataba wa minsk?? Kwa nn ukraine ilikiuka huo mkataba hasa baada ya huo drug dealer kuwa rais wao?
Kwani lini US aliwahi enda water territory za Russia.Wee noma sana, sasa em jishtukie kidogo mzee. Hakuna asiyejua hapa kama taarifa mbovu mfano huo kwa US huwa zinapewa phrase fupi tu kua ni "Unverified and Kremlin's propaganda". Ili aendelee kuficha aibu yake.
Kama hujaelewa nazungumza na wewe kwa style ipi ya mazungumzo utaweza kujua Intelligence ya taifa kama Russia? Walau ungejua hilo nadhani ungekoma na nahisi ungeacha kuni'qoute mda tu.
Smart people like mixx wameshashtuka toka dakika ya kwanza nilipokujibu kwamba naongea na wewe kwa style ipi.
Alichofanikiwa Uncle Sam ni kutengeneza trolls wengi duniani wa kufanya kazi kama unayoifanya ambao mazungumzo yenu yanahitaji response nayokupa.
Hata pale it's not kwamba link haipo ila jibu lile la "link" kupigwa HIMARS ndio lilikuwa size yako kwa uelewa wako uliozidiwa mahaba.
Eti porojo kutoka kwa random people kua Washington Post hawawezi, so hawa ni wakina nani au ni Dada zako wa Uwanja wa fisi? https://www.washingtonpost.com/news...t-history-of-russian-jets-buzzing-navy-ships/
Je hawa CBS news waliondika hiki miaka 8 iliyopita waliambiwa na nani? Au ni order kutoka Kremlin? Russian jet makes "provocative and unprofessional" pass at USS Donald Cook
Yote 9 hadi leo vipi US asharejea tena kwenye water territory za Russia?. Em fikiria hizo media za US zinaandika vile kwa kuficha ficha. Lakini wajionea something is not right, Je ukweli wa mambo ukoje?
Rekebisha dish kidogo kama channel zimekata.
Je una sababu maalumu kubadilisha mada?We kijana..unajua mkataba wa minsk?? Kwa nn ukraine ilikiuka huo mkataba hasa baada ya huo drug dealer kuwa rais wao?
Vyombo vya Ulaya lazima vi confirm habari before ku report. Wewe kubali tu USA alizidiwa. Siyo lazima upinge kila kitu unapozidiwa na ushahidi wa Link umepewa. Russia hadi sasa hajatumia technologia yake ya kisasa, anajua fika hii vita ni endelevu (WWIII) hivyo ana mvizia USA aingie kichwa kichwa amkung'ute. USA kwa Intellegencia yake tiyari anajua Russia anacheza tricky ame goma kujiingiza front.Kwani lini US aliwahi enda water territory za Russia.
Taarifa ya Washington Post sio primary source ni taarifa according to Russian sources. Vyombo vyote vilitoa taarifa according to Radio Vesti ambayo ni TBC ya Russia na vyombo vingine vya Urusi. Same story na Moskva ilivyozamishwa wakasema ni dhoruba baharini. Source zote ni claims from RussiaView attachment 2317652View attachment 2317649
Na news tabloids ziko independent kulingana na contributors. Hata wewe unaweza amua kuandika kwa umakini na kutoa claim za jinsi Russia inavyoweza hili ama lile wakachapisha.
Nadhani Mchina anataka kufanya sapraiz. Anafanya mazoezi Taiwan wanajiweka tayari. Anafanya tena na tena mpaka jamaa waone kawaida. Mwisho afanye kweli.[emoji630][emoji630][emoji630][emoji630][emoji630][emoji630]View attachment 2316609
Duuh humu mnaongea kitaalamu tupu, wengine tunapita kapaHii story nilisoma na nilishachangia miaka iliyopita, ukiimaliza story nionyeshe meli ya Marekani iliyozama vitani. Nami nakuonesha Moskva iliyopigwa na Ukrainian made missile, watu wazembe ambao hata kwenye top ten world arms industry hawapo. Hapo tutajua nani ana ulinzi imara wa meli zake.
After that nakuonyesha Sukhoi ikiwa na Khibiny yake na bado ikapigwa na outdated Buk missile. Ndege zina Khibiny ila zinaogopa hata MANPADS
'Eti porojo kutoka kwa random people kua Washington Post hawawezi, so hawa ni wakina nani au ni Dada zako wa Uwanja wa fisi?"Wee noma sana, sasa em jishtukie kidogo mzee. Hakuna asiyejua hapa kama taarifa mbovu mfano huo kwa US huwa zinapewa phrase fupi tu kua ni "Unverified and Kremlin's propaganda". Ili aendelee kuficha aibu yake.
Kama hujaelewa nazungumza na wewe kwa style ipi ya mazungumzo utaweza kujua Intelligence ya taifa kama Russia? Walau ungejua hilo nadhani ungekoma na nahisi ungeacha kuni'qoute mda tu.
Smart people like mixx wameshashtuka toka dakika ya kwanza nilipokujibu kwamba naongea na wewe kwa style ipi.
Alichofanikiwa Uncle Sam ni kutengeneza trolls wengi duniani wa kufanya kazi kama unayoifanya ambao mazungumzo yenu yanahitaji response nayokupa.
Hata pale it's not kwamba link haipo ila jibu lile la "link" kupigwa HIMARS ndio lilikuwa size yako kwa uelewa wako uliozidiwa mahaba.
Eti porojo kutoka kwa random people kua Washington Post hawawezi, so hawa ni wakina nani au ni Dada zako wa Uwanja wa fisi? https://www.washingtonpost.com/news...t-history-of-russian-jets-buzzing-navy-ships/
Je hawa CBS news waliondika hiki miaka 8 iliyopita waliambiwa na nani? Au ni order kutoka Kremlin? Russian jet makes "provocative and unprofessional" pass at USS Donald Cook
Yote 9 hadi leo vipi US asharejea tena kwenye water territory za Russia?. Em fikiria hizo media za US zinaandika vile kwa kuficha ficha. Lakini wajionea something is not right, Je ukweli wa mambo ukoje?
Rekebisha dish kidogo kama channel zimekata.
Hakuna utaalam wowote jomba hapa ni kama kesi ya mme na mke kwa mjumbe tu. Kila mmoja anatoa evidence kutoka source inayofeva upande wake.Duuh humu mnaongea kitaalamu tupu, wengine tunapita kapa
Muungwana akivuliwa nguo huchutama. Kubali tu umeshindwa hoja maana unavyozidi kubisha unazidi kujipunguzia reputation yako na kuonekana muongo.Kwani lini US aliwahi enda water territory za Russia.
Taarifa ya Washington Post sio primary source ni taarifa according to Russian sources. Vyombo vyote vilitoa taarifa according to Radio Vesti ambayo ni TBC ya Russia na vyombo vingine vya Urusi. Same story na Moskva ilivyozamishwa wakasema ni dhoruba baharini. Source zote ni claims from RussiaView attachment 2317652View attachment 2317649
Na news tabloids ziko independent kulingana na contributors. Hata wewe unaweza amua kuandika kwa umakini na kutoa claim za jinsi Russia inavyoweza hili ama lile wakachapisha.
Kwa hiyo wewe ndiye unajua Sana kuliko hao GRU na FSB.FSB, GRU wameshindwa kazi, walitakiwa mapema wasaidie Ukraine kudondoka
🙏🤝Umeeleweka vyema kabisa mkuu.
Mkuu hongera sana,kwa kufichua madahifu ya T14 Armata.Wee noma sana, sasa em jishtukie kidogo mzee. Hakuna asiyejua hapa kama taarifa mbovu mfano huo kwa US huwa zinapewa phrase fupi tu kua ni "Unverified and Kremlin's propaganda". Ili aendelee kuficha aibu yake.
Kama hujaelewa nazungumza na wewe kwa style ipi ya mazungumzo utaweza kujua Intelligence ya taifa kama Russia? Walau ungejua hilo nadhani ungekoma na nahisi ungeacha kuni'qoute mda tu.
Smart people like mixx wameshashtuka toka dakika ya kwanza nilipokujibu kwamba naongea na wewe kwa style ipi.
Alichofanikiwa Uncle Sam ni kutengeneza trolls wengi duniani wa kufanya kazi kama unayoifanya ambao mazungumzo yenu yanahitaji response nayokupa.
Hata pale it's not kwamba link haipo ila jibu lile la "link" kupigwa HIMARS ndio lilikuwa size yako kwa uelewa wako uliozidiwa mahaba.
Eti porojo kutoka kwa random people kua Washington Post hawawezi, so hawa ni wakina nani au ni Dada zako wa Uwanja wa fisi? https://www.washingtonpost.com/news...t-history-of-russian-jets-buzzing-navy-ships/
Je hawa CBS news waliondika hiki miaka 8 iliyopita waliambiwa na nani? Au ni order kutoka Kremlin? Russian jet makes "provocative and unprofessional" pass at USS Donald Cook
Yote 9 hadi leo vipi US asharejea tena kwenye water territory za Russia?. Em fikiria hizo media za US zinaandika vile kwa kuficha ficha. Lakini wajionea something is not right, Je ukweli wa mambo ukoje?
Rekebisha dish kidogo kama channel zimekata.
CIA wa Kwa mtogole huyoKwa hiyo wewe ndiye unajua Sana kuliko hao GRU na FSB.