Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Mkuu hongera sana,kwa kufichua madahifu ya T14 Armata.
Mdau huyo ni mchambuzi Mzuri sana lkn kwa kutegemea upande Fulani.
Ila pole sana maana unpigia mbuzi gitaa.
Habari hiyo niliwahi kuipost miaka zaidi ya mitano humu.
Huyo jamaa hayuko tayari kabisa kuukubali uwezo wa Urusi kijeshi.
Habari hiyo iliripotiwa na magazeti vyanzo vingi mno.
Yap kwenye huu uzi nilianza kuisikia kwako, Na Mwamba Google chrome juzi kati hapa nae pia akairudia. Ndio nikamwambia kua mchambuzi wetu flani wa hapa JF ametoka kuisifia huu mfumo wa US wa Aegis kua dunia nzima haina mpinzani.

Hatare sasa karudi Kama utani vile nikamjaribu kajaa mule mule, sasa kaenda mbali hadi anakana Washington Post hawajasema chochote that's why ikanibidi nimpe hizo links ambazo jana sikutaka kumpea nikatania zimepigwa na Himars niendelee kum'enjoy.

Yote Jamaa etu sijui kawaje, kwingineko ni bright ila isitamkwe US maana ghafla anageuka kua Mk254 on spot 😂
 
Dah Asante kiongozi kwa kunipa sifa.nami nazipokea,kwa sababu wewe ni moja ya vichwa makini sana humu jamvini.kupewa heshima hiyo na kichwa kama wewe ni heshima kubwa sana kwangu.

Nyongeza kwa Nini sisi wengine tunaiunga mkono Urusi kwa "baadhi" ya mambo yake.

Wakati wa ukoloni USA ilikua ndio rafiki mkubwa wa wakoloni,watesi wetu.
Viongozi wa Afrika wa wakati huo akina Nyerere,kwame Nkuruma,Patrice Lumumba,Keneth Kaunda,Robert Mugabe,Govan Mbeki,Nelson Mandela,Sam nujoma,Augustine Neto,Samora Machel,Jose Eduardo Dos Santos na wengi wengineo walianzisha harakati za kujikomboa kutoka makucha ya wakoloni.
USA Alikua alizisapoti nchi wakoloni kwa Hali na Mali,mbali na wakoloni aliwasapoti watawala wa Afrika ya kusini na Namibia ambao walikua ni makaburu.hawa walikua na mkono wa chuma zaidi hata kuishinda wakoloni wenyewe.
Walikua makatili,kwa kuua watu weusi,kubaka,kupiga,kufunga,kuwabagua na Kila aina ya mateso ikiwa ni pamoja na kuchoma nyumba zao.
Weusi wakaanzisha vikundi vya kujilinda na kudai uhuru na haki zao.

Nguvu za Urusi kijeshi,silaha na mafunzo.

Hakika nakuambia kama sio Urusi Hadi Leo Makaburu na wakoloni wangeendelea kutawala kwa mukono ya chuma.

Weusi waligundua kuwa Makaburu na wakoloni hawaelewi kabisa lugha za diplomasia na majadiliano ya kudai haki na uhuru wa mtu mweusi.
Lugha pekee ambayo wakoloni na Makaburu wangeielewa na kweli waliielewa sana,ni mtutu wa bunduki,vita,mapigano na ubabe.
Makaburu waliwahi kuua wanafunzi weusi wa shule kwa risasi.
Kilichofuata ni ukiua mtu mweusi na mweusi anaua mweupe.
Makaburu wakwa wanatumia uwezo wao wote wa kijeshi silaha na ujasusi na msaada kutoka UK,Israel,USA na France na German,.weusi wakawa wanazidiwa.
Hapa ndipo Urusi ikaingilia kati kwa kutoa misaada ya mafunzo,silaha,fedha,elimu,hifadhi na Kila kitu kwa wapiganaji wa kiafrika kutoka nchi yoyote ya Afrika iliyohitaji msaada wa namna hiyo.
Sio TU Urusi Bali Cuba,china na nchi nyingi za kisoshalist na kikomunisti ziliwasaidia watu.weusi kutoka na madhira ya Makaburu na wakoloni na hatimae Makaburu na wakoloni walishindwa kwa msaada wa Warusi.
Urusi pia ilisimama kidete huko umoja wa mataifa kuweka maazimio,mashinikizo na mapingamizi ili kuhakikisha wakoloni na Makaburu wanashindwa na walishindwa kweli.
Urusi ilijenga vyuo vya ufundi Tanzania mfano huko mbeya Kuna chuo matata sana Cha ufundi, na nchi nyingine za Afrika,
Ilisaidia kuyajenga majeshi ya Tanzania kisilaha na miundombinu ya kijeshi,mafunzo na mengi mengineyo.
Rubani mmoja matata sana na WA kipekee wa Kitanzania aliejifunza Urusi na kupata mafanikio makubwa sana ,alielisambaratisha jeshi la nduli Amini na baadae kuwezesha kujengwa kwa chuo imara kabisa Cha jeshi la anga Bora kabisa la Tanzania ni CDF (RTD)Robert Philemon Mboma,huyu mwamba pamoja na kusomea nchi nyingine Alipata kusomea Urusi.
(Kama Kuna makosa hapa Naridhia kusahihiswa)

Urusi hua Haina misaada yenye masharti kama wengine.
Urusi ni rafiki wa kweli kwa Waafrika.

Ule ugeni wa Rais wa USA wa wakati ule, George Bush ulipo kwenda kutembelea nchi moja ya Afrika kwa mbwembwe,walifanikiwa kuzima rada zote, wakati ndege ya Bush ilipoingia katika anga la nchi ile,lakini rada moja walishindwa kuizima, ambayo kwa kweli ni rada iliyotengenezwa Urusi.(made in Russia)
Naomba niishie hapa kwa Leo.
Wewe ni mtu mzima nadhani utakua umeielewa nchi hiyo.
Mkuu ulijuaje kuwa kuna Rada haikuzima ?
 
Wee noma sana, sasa em jishtukie kidogo mzee. Hakuna asiyejua hapa kama taarifa mbovu mfano huo kwa US huwa zinapewa phrase fupi tu kua ni "Unverified and Kremlin's propaganda". Ili aendelee kuficha aibu yake.

Kama hujaelewa nazungumza na wewe kwa style ipi ya mazungumzo utaweza kujua Intelligence ya taifa kama Russia? Walau ungejua hilo nadhani ungekoma na nahisi ungeacha kuni'qoute mda tu.

Smart people like mixx wameshashtuka toka dakika ya kwanza nilipokujibu kwamba naongea na wewe kwa style ipi.

Alichofanikiwa Uncle Sam ni kutengeneza trolls wengi duniani wa kufanya kazi kama unayoifanya ambao mazungumzo yenu yanahitaji response nayokupa.

Hata pale it's not kwamba link haipo ila jibu lile la "link" kupigwa HIMARS ndio lilikuwa size yako kwa uelewa wako uliozidiwa mahaba.

Eti porojo kutoka kwa random people kua Washington Post hawawezi, so hawa ni wakina nani au ni Dada zako wa Uwanja wa fisi? https://www.washingtonpost.com/news...t-history-of-russian-jets-buzzing-navy-ships/

Je hawa CBS news waliondika hiki miaka 8 iliyopita waliambiwa na nani? Au ni order kutoka Kremlin? Russian jet makes "provocative and unprofessional" pass at USS Donald Cook

Yote 9 hadi leo vipi US asharejea tena kwenye water territory za Russia?. Em fikiria hizo media za US zinaandika vile kwa kuficha ficha. Lakini wajionea something is not right, Je ukweli wa mambo ukoje?
let's not feed the trolls
 
Ukraine inaendelea kupukutishwa jamani,



Watakuja wenzake na mimi watauliza kwamba mbona ni vi-small territories tu ambavyo mmefanikiwa tena kwa mbinde kuvichukua? Eti lini Kiev inaanguka?

Mimi nimechoka kuwajibu. Wakiwaulizeni hivyo, basi wanafsihini na kuwaambia kwamba tajiri hapangiwi ratiba. Hii katika medani za vita inaitwa TACTICAL SOVEREIGNTY.
 
Watakuja wenzake na mimi watauliza kwamba mbona ni vi-small territories tu ambazo mmefanikiwa kuzichukua? Eti lini Kiev inaanguka?

Mimi nimechoka kuwajibu. Wakiwaulizeni hivyo, basi wanafsihini na kuwaambia kwamba tajiri hapangiwi ratiba. Hii katika medani za vita inaitwa TACTICAL SOVEREIGNTY.
Nan kakwambia pilau inaliwa haraka wee jamaa?
 
Hiii kaka umetupiga... Forex kama forex haipelekei INFLATIO .... INFLATION inasababishwa na vitu/factors kama 8-10 ila MAILY NI Kuna AINA 3 na factors zake mbalimbali
INFLATION ni Suala la uwepo/usambazaji Kwa wingi wa fedha kuliko uchumi unavyohitaji . Na msambazaji wa fedha hiyo ni MONETARY AUTHORITIES ZA MCHI HUSIKA na SI VINGINEVYO. Hivyo point yako ya FOREX KUWA SABABU YA INFLATION TUIZIKIA HAPO...sababu zile fedha mnazo trade ni ZILEZILE zilizopo sokoni Kwa kupitia KUPRINT FEDHA, KUPUNGUZA THAMANI AU KUONGEZA(DEVALUATION OR REVALUATION) ama KWA KUNUNUA AMA KUUZA GOVERNMENT BONDS AND SECURITIES na hizi kazi 3 zote zinafanywa na MONETARY AUTHORITIES za nchi na SI FOREX TRADERS ....
SAAAASAAA..., Katika aina za Mfumuko wa Bei Kuna
1) COST PUSH INFLATION hii factors zake ni inayotokana na Gharama za uzalishaji,usambazaji ,uhifadhi na Utawala na usimamizi kama mishahara n.k Kwa watengenezaji
2) DEMAND PULL INFLATION hii inatokana na uhitaji wa huduma na bidhaaa kuwa ni mwingi kuliko upatikanaji wa huduma hizo na Biashara sokoni (hapa ndio UNAWEZA KUINGIZA sababu kama DEVALUATION, policies and regulations, Pegging n.k ambazo zitaAFFECT FOREX lakini sio FOREX kuwa SOLE CAUSE OF INFLATION)
3) BUILT-IN INFLATION inatokana na Ile Hali ya kiuchumi wa ndani ambao inabenwa sana na kitu kinaitwa Wage Price Spiral kutokana na Adaptive Expectations za raia kutokana na kupanda Kwa bei z vitu wafanyakazi na vibarua n.k kuhitaji nyongeza katika mishahara na marupurupu na malipo ya vibarua yanongeza tena Gharama za ndani za uzalishaji. Hivyo mishahara na vipato vya watu vinavyoongezeka ndivyo Bei za bidhaa nazo hupanda within a country ndio hiyo inayoitwa BUILT IN INFLATION ama WAGE PRICE SPIRAL....
Asante.
Niliacha kumjibu baada ya kumuona huu upande ni mweupe.

Shukrani umemjibu vyema.
 
Back
Top Bottom