Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Watakuwa pengine wameona NO WAY OUT! Mvua asubuhi, Mvua mchana, mvua jioni, Mvua usiku, mvua usiku wa manane, mvua alfajiri. Mvua usiku kucha na mvua mchana kutwa. Mvua juma zima. Mvua mwezi mzima. Mvua miezi nenda rudi. Mvua! Mvua! Mvua! Mvua haikati wala!
 
T14 Armata angebadili welekeo kidogo tu, tungependekeza kamati ya kumfanyia cross-examination maandishi yake ili atuzwe PhD in Special Military Equipment Analysis.
Ila huyu jamaa angefaa sana kuendelezwa na nchi ili aje atumike pale Taifa likitaka kufanya manunuzi ya Siraha.

N.B kabla ya kuendelezwa aondolewe mahaba aliyonayo kwa USA
 
let's not feed the trolls
Ha ha ha kaaabisa 😂

N.B kabla ya kuendelezwa aondolewe mahaba aliyonayo kwa USA
Hicho tu ndio huwa kinamvua CV zote, akiingia kwa US nahisi brain huwa ina malfunction inakosa uwezo wa kuelewa ila kurasa zingine fresh na kumnyima kongole ni kumuonea.
 
Uswahili kazi mno, hapa naona it looks like kuna watu wameajiriwa kuwapa wengine updates kiasi wakizikosa wanatoa lawama. Ooh siku hizi hakuna updates mara hivi mara vile, damn.

Ieleweke updates sio ajira ya mtu, na akileta basi kaleta for leisures, tena kwa wakati wake aupendao cuz hakuna aliye obliged kumuhabarisha mtu mwingine chochote.

Wenzangu na mie tukipita hapa tukaona hakuna aliyepost kinachoendelea, we better leave kimya kimya kama sie wenyewe hatuwezi kutoa updates zozote.

Tuache kulalamika na manung'uniko juu ya vitu tunakosa ambavyo sie wenyewe hatupo radhi au tayari kuvifanya kwa ajili ya wengine.

NYUNDO YA MOTO daima atakumbukwa kwa mda wake, na Jesus Mlokozi plus Sikirimimimasikini manning Daemushin green rajab na wengineo mnaotumia sehem ya mda wenu kutuhabarisha yanayojiri tuna washukuru.

Endeleeni kutuhabarisha mda wowote pale mnapokuwa na free time kwenye ratiba zenu. Tunaelewa majukum yana sehem yake katika ratiba zetu.

We honour you all.
 
Sioni ubaya kuomba updates kwa wenye uwezo mkubwa wa kupata relevant na reliable . Ukiombwa habari umeheshimika. Binafsi huwa namtaja Jesus bila kumlaumu and he understands
 
Watakuwa pengine wameona NO WAY OUT! Mvua asubuhi, Mvua mchana, mvua jioni, Mvua usiku, mvua usiku wa manane, mvua alfajiri. Mvua usiku kucha na mvua mchana kutwa. Mvua juma zima. Mvua mwezi mzima. Mvua miezi nenda rudi. Mvua! Mvua! Mvua! Mvua haikati wala!

Mvua saa Mika,mvua saa 4 ,mvua wawapo chooni,mvua wawapo kula,mvua mvua mvuaa,hadi kula tunda kimasihara hakuna sababu ya mvua….Jasmoni umetisha.
 
Watakuwa pengine wameona NO WAY OUT! Mvua asubuhi, Mvua mchana, mvua jioni, Mvua usiku, mvua usiku wa manane, mvua alfajiri. Mvua usiku kucha na mvua mchana kutwa. Mvua juma zima. Mvua mwezi mzima. Mvua miezi nenda rudi. Mvua! Mvua! Mvua! Mvua haikati wala!
Unamshikia mtu wa kherson mtutu ukiwa unamlenga kichwani halafu unamuuliza uko tayari kujiunga na Russia. Unategemea akujibu nini.Si atakuambia ndiyo

Russia wana mambo ya kitoto halafu wanaenda kutangaza kuwa asilimia kubwa ya watu wa kherson wanapenda kujiunga na Russia!!!
 
Hapo raia atalazimika kuchagua kati ya kuwa raia kamili wa Urusi au mkimbizi Rwanda.
 
Uswahili kazi mno, hapa naona it looks like kuna watu wameajiriwa kuwapa wengine updates kiasi wakizikosa wanatoa lawama. Ooh siku hizi hakuna updates mara hivi mara vile, damn.

Ieleweke updates sio ajira ya mtu, na akileta basi kaleta for leisures, tena kwa wakati wake aupendao cuz hakuna aliye obliged kumuhabarisha mtu mwingine chochote.

Wenzangu na mie tukipita hapa tukaona hakuna aliyepost kinachoendelea, we better leave kimya kimya kama sie wenyewe hatuwezi kutoa updates zozote.

Tuache kulalamika na manung'uniko juu ya vitu tunakosa ambavyo sie wenyewe hatupo radhi au tayari kuvifanya kwa ajili ya wengine.

NYUNDO YA MOTO daima atakumbukwa kwa mda wake, na Jesus Mlokozi plus Sikirimimimasikini manning Daemushin green rajab na wengineo mnaotumia sehem ya mda wenu kutuhabarisha yanayojiri tuna washukuru.

Endeleeni kutuhabarisha mda wowote pale mnapokuwa na free time kwenye ratiba zenu. Tunaelewa majukum yana sehem yake katika ratiba zetu.

We honour you all.
Ukiona maelezo yana walengwa wa jumla jumla kama haya, basi jua kwamba mhusika aliyekusudiwa ni papa mkubwa ngaboru ndiyo sababu hajatajwa jina kama sie makabwela 🙂
 
Back
Top Bottom