WATU WA MJI WA KHERSON WAMEFANYA MAANDAMANO YA KUUNGA MKONO KUJIUNGA NA SHIRIKISHO LA URUSI
Misukule ya USA itakuwa imenua balaa lakini wanafurahia Teiwani kutaka kujitenga na Uchina, WAPUMBAVU SANA
WATU WA MJI WA KHERSON WAMEFANYA MAANDAMANO YA KUUNGA MKONO KUJIUNGA NA SHIRIKISHO LA URUSI
Wa imani yako wanawaka kule GazaSawa tumekupata CIA's chief of station pale Gairo Morogoro
We jamaa uko serious kama Makongoro![emoji1787]Hiyo ya Mchina katika medani za vita inaitwa TACTICAL BARKING--yaani kumchosha adui passively kwa kumbwekea tu.
Huo ndo ukweli mchungu [emoji12] Mambo yameshashindikana huko Ukraine,, fashisti dikiteta shetani anaona aibu kutoka [emoji1787]Mtatema sumu sana
Hatoki mtu hapo hadi mipango yote ya SMO ikamilikeHuo ndo ukweli mchungu [emoji12] Mambo yameshashindikana huko Ukraine,, fashisti dikiteta shetani anaona aibu kutoka [emoji1787]
Hivi vita ya urus na ukrain bado inaendelea au imesimama
After the expiration of the three-week deadline for the complete liberation of Kherson Oblast, the President of Ukraine Volodymyr Zelensky today at a press conference extended that deadline for another three weeks.--![]()
Leo ni mwendo wa kula ya maoni kujiunga na URUSI[emoji635][emoji635][emoji635]
Thibitisha maneno yako
Wakijiunga Urusi Fed, Zaporozhye Nuclear Power Plant itakuwa Rasmi mali ya Moscow 🤔Head of the Zaporozhye region at the forum "We are together with Russia" announced that he had signed an order to hold a referendum on reunification with the Russian Federation
thithi pro nato tunasema hizi ni propaganda za RT[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Before the war started, Ukrainians had 250,000 active duty military personnel and 530,000 reserve forces.
They had countless air defense, missile, howitzers, tanks, and fighter jets.
They had and still have the support of NATO which provides countless financial and military support including missiles, rockets, aerial, naval, and sattelite imagery, guidance, and intelligence support.
They have a terrain that is full of forests and rivers, which are perfect hide-outs for an army that is waging an asymmetric warfare.
Most importantly, as former Marine Colonel and UN Weapons Inspector Scott Ritter confirmed, Ukraine could militarily beat any nation in NATO except USA and Turkey.
Furthermore, Russia was imposed the most severe economic embargo that any nation had ever faced. It was a siege designed to suffocate the Russian economy.
So when you look at those conditions, Russia liberating the whole LPR and most of DPR in addition to big towns in the South such as Meriupol, Kherson, and others, clearly point to the overwhelming odds the Russians faced and their military superiority for gradually defeating Ukraine backed by NATO.
Russia fighting inch by inch means they want to minimize their casualties while inflicting heavy losses on Ukrainian forces. Russians are truly providing a classical textbook of how to defeat an army backed by powerful adversary like NATO. It is a miracle that Russia survived the siege while making a gradual progress in the battle-field.