D A E M U S H I N
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 22,665
- 121,102
Novak: Putin and Erdogan agreed to start partial payment in rubles for Russian gas supplies to Turkey
@T14 ArmataMkuu kasome Serpukhov-15, Kumbuka Russia ndio taifa la kwanza duniani kurusha ile
international space station, wao ndio waasisi, wana kituo maalumu cha missile warning system, wana satellite zenye powerful sensors kama Infrared zinaitazama US na Europe usiku na mchana.
Hio system inaitwa Oko, kombora lolote likiwa deployed US wao wanaliona na wana anti missile inaitwa A135 ambayo ni part ya system nzima ikiwa kazi ni kuilinda Moscow pekee dhidi ya makombora ya adui.
Oko system ina zaidi ya satelite 100 angani.
Inshort siwezi elezea how complex hio system yao lakini huwezi mtishia mtu kama huyo na lori la mchanga linaitwa HIMARS.
Kwanza Amnesty international wametoa report kuhusu mbinu chafu za Zelsnsky kutumia raia kama ngao, na huko ndiko anafichia hayo malori ya mchanga halafu mnadanganyana eti ni high mobility[emoji23][emoji23][emoji23], eti yanapiga na kuhama, hizo HIMARS wanaziweka mashuleni, hospitalini na kwenye makazi ya watu ndio useme ni hatari?
Kumbuka wana powerful sensors angani kuona missile na uchafu mwingine.
B2 zile bomber za US ukitizama zina exhaust juu ya mbawa, unajua kwa nini? Kwa sababu sensors ardhini zinaona joto litokanalo na hizo engine.
Sasa HIMARS kwenye sensors zinaonekana angani vyema tu, mnalipua lori linakimbilia hosptali kuji cover.
Yaani hizo ISUZU za mchanga ziwasumbue Russia, Russia ipo vizuri jombaa..
Ukideploy missile sensors za anga zinaona source, HIMARS ni lori lenye missile hakuna maajabu.
How almost all people of goodwill earnestly wish that now he makes the same mistake (?) of shaking hands with himself, because it would then do humanity a wonderful service--saving thousands of innocent people from certain death & life-long incapacity due to his own reckless decisions or indecisiveness, to be exact.
Naona mzee kwenye International finance ulibobea [emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]Naam bro, nimeingilia text isiyo nihusu ila ni kwa nia njema tu.
Neno Forex kama lilivyo sio pesa, Forex stand for Foreign Exchange. Na term "Forex Trading" ndio biashara ya mabadilishano ya fedha za kigeni against each other.
Mfano US Dollar against Euro ama Tsh agaisnt Ksh n.k kwa madhumuni hayo uliyo ya-ainisha vyema. Thou main reasons haswa ni kile ulichotaja cha kwanza na cha tatu. Hedging and Speculation mengine yote ni minor.
Na of course point yako number 3 ndio kiini cha Forex "trading", Hizo Speculation on currencies price katika kupanda ama kushuka potentially to make profit.
Point yangu haswa naona kama "Forex" na "Forex Trading" zinafanana kimaandishi ila la pili yake lina maana ya nyongeza zaidi. Kwani kuna term zingine pia zinazoanza na hilo neno Forex mfano "Forex Markets".
Forex Markets ikiwa inajumuisha activities zote za Buy, Sell and Exchanges kwa pa1 wakati term Forex trading ina'involve Buy and Sell peke yake.
Kama na'complicate mambo mnisamahe [emoji23][emoji23][emoji23]
Ukirejea kwenye issue ya mdau wetu. Anachanganya madesa either kwa kuto kujua au ujuaji mwingi. Bro natumai unajua vizuri kuhusu Macro Economy and Micro Economy.
Katika vitu vinavyo-affect Foreign exchange moja kwa moja ni Macro economics statistics moja wapo ikiwa ni "Inflation". Zipo zingine kama Stock, bond, commodity na other capital markets bila kuacha politicals news kwa ma traders pale unexpected outcome inapotokea.
Sio hayo tu yapo mengi mengine kama International trade number, ie Trade surpluses na deficits ambazo zina influence kwa kiasi kikubwa Forex Markets.
Sasa mdau anakwambia Hike in Interest rate ni kwa ajili ya Inflation tu, Investors sijui wana nini niniii uko. Hapo anasahau au hajui kama Inflation anayoipa kisogo ni macro economics statistics ambayo ina athiri moja kwa moja foreign exchange.
Na US kwa kulijua hilo, Fed wakawahi kuongeza Interest rate tena to a record high kwa miaka kadhaa. in turn bado wanaendelea kusota na mfumuko wa bei ila currency yao inapumua vyema sokoni.
Ukiziangalia ambiguity na inadequacy kwenye maelezo yake unajua mazima anapelea wapi. Mwisho unaamua either uendelee nae upoteze mda au kuutumia huo mda kufanya issue zingine [emoji848].
Nisingejua nisingekuwa napiga mihella forex, kama kwel nyie mnajua uchumi ingieni forexHuyo jamaa ni fwalla sana hajui uchumi hajui dunia inakwendaje [emoji23][emoji23]
Everyone thinks he's a ginius in his own mind, anyways, ndo upeo wako unakokutumaMmmmhhhh noma sanaa kila upande unajitengenezea ugali.
Kim ni strategic leader au babu zake waliacha mfumo ambao walijua watateseka ila mbeleni italipa.
Hapo kuna ajira,
Pato la taifa,
Fedha za kigheni,
Kuimarisha deplomacy yake,
Utalii,
Alafu yuko 30s nibaki kusema tuu N.korea kuna future.
A+[emoji106][emoji106][emoji106]
Umeanza vizuri ila umekuja kuharibu sana mwishon, forex ndo inayosababisha inflation not otherwiseNaam bro, nimeingilia text isiyo nihusu ila ni kwa nia njema tu.
Neno Forex kama lilivyo sio pesa, Forex stand for Foreign Exchange. Na term "Forex Trading" ndio biashara ya mabadilishano ya fedha za kigeni against each other.
Mfano US Dollar against Euro ama Tsh agaisnt Ksh n.k kwa madhumuni hayo uliyo ya-ainisha vyema. Thou main reasons haswa ni kile ulichotaja cha kwanza na cha tatu. Hedging and Speculation mengine yote ni minor.
Na of course point yako number 3 ndio kiini cha Forex "trading", Hizo Speculation on currencies price katika kupanda ama kushuka potentially to make profit.
Point yangu haswa naona kama "Forex" na "Forex Trading" zinafanana kimaandishi ila la pili yake lina maana ya nyongeza zaidi. Kwani kuna term zingine pia zinazoanza na hilo neno Forex mfano "Forex Markets".
Forex Markets ikiwa inajumuisha activities zote za Buy, Sell and Exchanges kwa pa1 wakati term Forex trading ina'involve Buy and Sell peke yake.
Kama na'complicate mambo mnisamahe [emoji23][emoji23][emoji23]
Ukirejea kwenye issue ya mdau wetu. Anachanganya madesa either kwa kuto kujua au ujuaji mwingi. Bro natumai unajua vizuri kuhusu Macro Economy and Micro Economy.
Katika vitu vinavyo-affect Foreign exchange moja kwa moja ni Macro economics statistics moja wapo ikiwa ni "Inflation". Zipo zingine kama Stock, bond, commodity na other capital markets bila kuacha politicals news kwa ma traders pale unexpected outcome inapotokea.
Sio hayo tu yapo mengi mengine kama International trade number, ie Trade surpluses na deficits ambazo zina influence kwa kiasi kikubwa Forex Markets.
Sasa mdau anakwambia Hike in Interest rate ni kwa ajili ya Inflation tu, Investors sijui wana nini niniii uko. Hapo anasahau au hajui kama Inflation anayoipa kisogo ni macro economics statistics ambayo ina athiri moja kwa moja foreign exchange.
Na US kwa kulijua hilo, Fed wakawahi kuongeza Interest rate tena to a record high kwa miaka kadhaa. in turn bado wanaendelea kusota na mfumuko wa bei ila currency yao inapumua vyema sokoni.
Ukiziangalia ambiguity na inadequacy kwenye maelezo yake unajua mazima anapelea wapi. Mwisho unaamua either uendelee nae upoteze mda au kuutumia huo mda kufanya issue zingine [emoji848].
The United States is ready for a dialogue with Russia on the formation of a future arms control system, Biden's special representative
Mbona kakujibu vizuri sana, toa kongole pale mtu anapokuzidi hoja.Everyone thinks he's a ginius in his own mind, anyways, ndo upeo wako unakokutuma
Mkuu embu fafanua hapa, foreign exchange inasabisha inflation kivipi?Umeanza vizuri ila umekuja kuharibu sana mwishon, forex ndo inayosababisha inflation not otherwise
Hiyo next year watakapoanza offensive hiyo nchi si itakwa imemegwa karibu nusu yake na kupachikwa jina la Russian Federation?
Ndo mwajidanganya hivyo?Mkuu kasome Serpukhov-15, Kumbuka Russia ndio taifa la kwanza duniani kurusha ile
international space station, wao ndio waasisi, wana kituo maalumu cha missile warning system, wana satellite zenye powerful sensors kama Infrared zinaitazama US na Europe usiku na mchana.
Hio system inaitwa Oko, kombora lolote likiwa deployed US wao wanaliona na wana anti missile inaitwa A135 ambayo ni part ya system nzima ikiwa kazi ni kuilinda Moscow pekee dhidi ya makombora ya adui.
Oko system ina zaidi ya satelite 100 angani.
Inshort siwezi elezea how complex hio system yao lakini huwezi mtishia mtu kama huyo na lori la mchanga linaitwa HIMARS.
Kwanza Amnesty international wametoa report kuhusu mbinu chafu za Zelsnsky kutumia raia kama ngao, na huko ndiko anafichia hayo malori ya mchanga halafu mnadanganyana eti ni high mobility[emoji23][emoji23][emoji23], eti yanapiga na kuhama, hizo HIMARS wanaziweka mashuleni, hospitalini na kwenye makazi ya watu ndio useme ni hatari?
Kumbuka wana powerful sensors angani kuona missile na uchafu mwingine.
B2 zile bomber za US ukitizama zina exhaust juu ya mbawa, unajua kwa nini? Kwa sababu sensors ardhini zinaona joto litokanalo na hizo engine.
Sasa HIMARS kwenye sensors zinaonekana angani vyema tu, mnalipua lori linakimbilia hosptali kuji cover.
Yaani hizo ISUZU za mchanga ziwasumbue Russia, Russia ipo vizuri jombaa..
Ukideploy missile sensors za anga zinaona source, HIMARS ni lori lenye missile hakuna maajabu.
Tumia akili fala wewe au mkund* unakuwasha kama huna hoja nyamazaala Akbar akbar ha ha ha!!!
Ndio nini maana yake?ala Akbar akbar ha ha ha!!!
Russia haitamani Ukraine ili iwe koloni lake,hapana mkuu.Nia ni kutaka Urusi iwe salama.Naomba ujue kwamba Marekani na nchi za Ulaya zilikuwa zinapanga kuishambulia Urusi kwa kutumia Ukraine kama staging ground kwa kutumia bio-weapons,nuclear na conventional weapons.Superpower gani inge-kubali upuuzi huo?Russia hawana njia,except to annihilate Ukraine,and they will do it,no mistake about it!Ushahidi huu hapa!👇Hakuna mtu mwenye akili timamu ataacha kujitolewa ikiwa nchi yake inashumbuliwa,.
Russia anachofanya ni Ukoloni kabisa.
Ana eneo kubwa Sana lakini bado tamaa inamponza anataka kuchukua Ukraine.
Awe makini asije anguka.