Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Mkuu kasome Serpukhov-15, Kumbuka Russia ndio taifa la kwanza duniani kurusha ile
international space station, wao ndio waasisi, wana kituo maalumu cha missile warning system, wana satellite zenye powerful sensors kama Infrared zinaitazama US na Europe usiku na mchana.

Hio system inaitwa Oko, kombora lolote likiwa deployed US wao wanaliona na wana anti missile inaitwa A135 ambayo ni part ya system nzima ikiwa kazi ni kuilinda Moscow pekee dhidi ya makombora ya adui.


Oko system ina zaidi ya satelite 100 angani.
Inshort siwezi elezea how complex hio system yao lakini huwezi mtishia mtu kama huyo na lori la mchanga linaitwa HIMARS.

Kwanza Amnesty international wametoa report kuhusu mbinu chafu za Zelsnsky kutumia raia kama ngao, na huko ndiko anafichia hayo malori ya mchanga halafu mnadanganyana eti ni high mobility😂😂😂, eti yanapiga na kuhama, hizo HIMARS wanaziweka mashuleni, hospitalini na kwenye makazi ya watu ndio useme ni hatari?

Kumbuka wana powerful sensors angani kuona missile na uchafu mwingine.

B2 zile bomber za US ukitizama zina exhaust juu ya mbawa, unajua kwa nini? Kwa sababu sensors ardhini zinaona joto litokanalo na hizo engine.
Sasa HIMARS kwenye sensors zinaonekana angani vyema tu, mnalipua lori linakimbilia hosptali kuji cover.

Yaani hizo ISUZU za mchanga ziwasumbue Russia, Russia ipo vizuri jombaa..

Ukideploy missile sensors za anga zinaona source, HIMARS ni lori lenye missile hakuna maajabu.
habari ndio hio
Capture.JPG

Mir was a space station that operated in low Earth orbit from 1986 to 2001, operated by the Soviet Union and later by Russia. Mir was the first modular space station and was assembled in orbit from 1986 to 1996. It had a greater mass than any previous spacecraft
 
Kua mtu wa forex haikufanyi we kuzijua principle za uchumi. So uwe na brake siku nyingine sio kuzungumza kwa mihemko.

Sikia ndugu kuna more than 7.8 trillions Euro (Banknotes and Coins) in circulation. Mauzo ya Gas kwa EU kutoka Russia ni around 1 Billions Euro kwa siku. Hii exchange kutoka Euro kwenda Ruble ni below 0.013% ya Currency ya Euro. Hio changes (Volume) huwezi kuiwekea hoja ya Nguvu kua ndio sababu ya Euro kuporomoka thamani.

Angalia pia vitu vinavyotoka EU(export ya EU) ambayo of course inalazimisha wengine wanunue Euro ni kiasi gani kisha angalia exchanges kutoka Euro kwenda Ruble na kwa fedha zingine kurudi Euro kisha linganisha.

Ukikutana na mjuzi atakushangaa sana... Uchumi ni hesabu , uchumi sio porojo wala maneno mepesi na sababu za hovyo kama hizo zinazo kutoka kinywani.

Mahaba yanakutia upofu kuzijua sababu haswa za kuporomoka thamani ya Euro ambayo kubwa haswa ni Inflation. Unaona Inflation hiyo sio deal eti exchange ya Ruble [emoji23][emoji23][emoji23].

Msivamie taaluma za watu ndugu wala msikae uko mnamezeshwa point 2 tatu za ku'exchange fedha basi ndio mnajiona mshaujua uchumi.

Uchumi ni carrier ya watu bro, learn kabla hujajipa gut ya ku'argue na mtu.
Taaluma ya mtu iheshimiwe mkuu. Tuzingatie kuji-position popote pale [emoji16][emoji16]
 
Mkuu kasome Serpukhov-15, Kumbuka Russia ndio taifa la kwanza duniani kurusha ile
international space station, wao ndio waasisi, wana kituo maalumu cha missile warning system, wana satellite zenye powerful sensors kama Infrared zinaitazama US na Europe usiku na mchana.

Hio system inaitwa Oko, kombora lolote likiwa deployed US wao wanaliona na wana anti missile inaitwa A135 ambayo ni part ya system nzima ikiwa kazi ni kuilinda Moscow pekee dhidi ya makombora ya adui.


Oko system ina zaidi ya satelite 100 angani.
Inshort siwezi elezea how complex hio system yao lakini huwezi mtishia mtu kama huyo na lori la mchanga linaitwa HIMARS.

Kwanza Amnesty international wametoa report kuhusu mbinu chafu za Zelsnsky kutumia raia kama ngao, na huko ndiko anafichia hayo malori ya mchanga halafu mnadanganyana eti ni high mobility😂😂😂, eti yanapiga na kuhama, hizo HIMARS wanaziweka mashuleni, hospitalini na kwenye makazi ya watu ndio useme ni hatari?

Kumbuka wana powerful sensors angani kuona missile na uchafu mwingine.

B2 zile bomber za US ukitizama zina exhaust juu ya mbawa, unajua kwa nini? Kwa sababu sensors ardhini zinaona joto litokanalo na hizo engine.
Sasa HIMARS kwenye sensors zinaonekana angani vyema tu, mnalipua lori linakimbilia hosptali kuji cover.

Yaani hizo ISUZU za mchanga ziwasumbue Russia, Russia ipo vizuri jombaa..

Ukideploy missile sensors za anga zinaona source, HIMARS ni lori lenye missile hakuna maajabu.
Yani mkuu ulivyoshuka na mistari kama unakula kitu cha SKANKA (Marijuana)vile yani haya ni maneno ya stimu za KAYA kabisa..

Russia 🇷🇺 tupo vizuri yani sisi ni majeuri kama Nigga PUTIN 😂😂😂😂😂
 
Lakini mkuu, siyo Taiwan iko taifa huru tayari tangu miaka mingi (angalau tangu 1949)? Isipokuwa China Bara inadai mamlaka juu yake lakini wenyewe hawakubali hata kidogo. Wananchi wanataka kuendelea kama nchi huru.
Je hawana haki kujiamulia? Maana serikali ya Wakomunisti huko Beijing hawawahi kuwa na mamlaka yoyote juu ya Taiwan katika historia.
Je si ukoloni mtupu wakidai sasa lazima watawale Taiwan?
Mie nimekopi na kupest Mkuu
Historia ya TAIWAN kiukweli siijui nimeanza kujielewa nilijua TAIWAN nitaifa huru nilipokuja kujitambua nikaona nisehem ya UCHINA


Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji778]️عفو بین‌الملل: نظامیان اوکراینی در مناطق مسکونی مستقر شده‌اند

[emoji778]️Amnesty International: Ukrainian soldiers are stationed in residential areas


[emoji723]بروکر جهانی ZTE-Forex

T14 Armata wewe na mwenzako naomba nimtag ingawaje sipendi Mwanamkiwi mlikua mwasema kwamba RUSSIA anashambulia majengo na nyumba za raia sababu ana makombora machache yakisasa cjui jeshi lake lina nn na nn tukawa twawaambia kama UKRAINE wanajificha nakutumia RAIA kamá ngao mkajiona muko eneo lamapambano mwabishana mpaka na waziri wa ulinzi
Nakuuliza tu hawa sio RT wala sputnik hawa na nyie nani tuwaamini
Mpunguze kujua

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa China bora direct War kuliko vikwazo kama US atatafuta ushindi dhidi yake. Ndio maana kila mda najaribu kusema tusubiri end results tutakuwa na mengi ya kuzungumza.

Kama mnafatilia haya mambo vizuri niwape swali lingine mlitafakari.

Kwanini US hapendi direct war (military) with Russia (Simsemei kalisema mara nyingi tu) hapo hapo anakwepa vita ya kiuchumi dhidi ya China (mkumbuke alimpa vitisho vingi dhidi ya mahusiano yake na Russia yet hadi sasa hajafanya chochote na China anaendelea kufanya biashara zake na Russia).

Kwanza inabidi tuelewe kua China ni Superior in term of economy, anampa challenge US kwenye huu upande. US anaweza kupigana na huyu kivita ila sio kiuchumi.

Russia ni superior in term of military, huyu anampa challenge US ukurasa huu. Nae US anaweza kupigana na Russia kiuchumi ila sio kivita.

Ukimya wa China jana ni ushindi kwa East no matter nyie mnalitizama vipi. Jana Marekani kanyimwa kile alichokua anakitaka, ambayo ni vita kati yake yeye na China. Vita ambavyo again ingemsaidia kupiga ndege wawili kwa pa1. (China en Russia)

Sasa tubaki tunazungumzia issue ya vikwazo na kivipi US hawezi hiyo league kwa China.

[emoji842]Mosi China ni World largest producer, kampiku US miaka kadhaa iliyopita. Asilimia 28 ya vitu vyote duniani vinatengenezwa China. China ni world largest manufacturing hub kuliko US tena kwa tofauti karibu 10%

Ukitaka kujua litaiathri vipi dunia, angalia GERMANY hapo EU ambayo ni third largest manufacturing hub duniani kuyumba kwake kulivyo haribu uchumi wa ulaya kwa pa1.

Hiyo situation ya Germany izidishe mara 6 ndio itakuwa hali ya China kwa "Chumi" zingine duniani.

[emoji842]US na China wanafanya biashara kwa kiasi kikubwa, ila hii biashara kati yao ni kua US anaagiza vingi kutoka China kuliko China anavyochukua kutoka US. Kufupisha maelezo ni kua US ana trade deficit with China.

Hapa kati mlisikia hadi "baby formula" za US zatoka China, So umewaza nini kitajiri kwenye vita ya kiuchumi dhidi yake?

[emoji842] Main Supplier wa industries za US ni China. Kuipiga vikwazo china ni kuharibu industry sector ya kwake mwenyewe US. Lugha nzuri hapa niseme itakuwa ni self destruction.

All giants US companies zaitegemea China na mwanae Taiwan kwa mambo mengi, mfano wengi hapa hukimbilia final products ya bidhaa tunazotumia bila kujua au kuangalia imetengenezwa kwa kipi na kipi kutoka kwa nani na nani.

[emoji842]Again china anashikilia deni la US zaidi ya Dollar trillion 1.
Akiamua kuliuza hili deni kwa speed ata trigger inflation US zaidi ya ilivyo sasa je nini kitajiri?

[emoji842]Ukitizama sectors muhim za uchumi wa China zipo balanced. Industries, Agriculture, Services zina almost uwiano sawa. Lakini kwa US Sector kubwa ni "Services" ambayo inachangia zaidi ya 80% ya pato la taifa (GDP).

Uchumi ambao uko vulnerable kuharibika ni wa US ambao unategemea maisha mazuri ya Raia wake. (Spending ndio key ya Services Economy), hali ngumu kwa Raia inapelekea Spending kua kidogo, hivyo kuathiri hii sector. Na hili ndio jibu la kwanini quarter zote hizi mbili uchumi wa US unaonesha negative growth wakati hayupo kwenye vita na yoyote (kwa mujibu wa vyombo vyao vya habari [emoji28]).

[emoji842]China ni largest creditor duniani kuliko hata hizi taasisi za fedha za kimataifa mnazozijua. Hapa tusiweke maelezo mengi kwani kila mmoja anajua mikopo ni utumwa. Mkopeshaji ana sauti juu yako, Mzinguane akutie default. Je US ataweza kumshawishi nani asijihusishe na China?

Natamani kuendelea kukuonesha namna gani vita ya kiuchumi kwa US na China ilivyo ya kufikirika kama ilivyo vita ya Silaha kati ya Russia na US sema asubuhi hii nitachelewa kufanya mambo mengine.

Hapo kwa China vs US wakisema walianzishe (Vita ya silaha) atakaye athirika haraka ni China ambae adui yupo mlangoni mwake. Hatopata nafasi ya kutoka nje kwenda kutafuta nyumba ya adui ilipo.

Kuna njia nyingi za China kuiadhibu marekani kuliko kuuwana kwasababu ya hicho kibibi kinachoelekea kutia "nanga".

Mfano ka chini fikiria vipi China akiamua kufanya just one Move, yani "act 1" tu kama ya Russia ya kusettle payment za bidhaa zake kwa fedha yake. Nini kitatokea kweye dollar? Kupotea kwa dollar kuna maana gani kwa taifa la US?

[emoji3]
Tuishie hapo nikipata mda nitarudi, nakazia kile kile tusim'overestimate China wala kum'underestimate. Sie tutulie kati kwa kati tuenjoy show!

Maana now mpira upo kwa China, ana kila sababu za ku'retaliate against US bila kunyooshewa kidole. Kwetu sie warusi wa machame ni burudani tu [emoji847].

Muhtasari wa maelezo yote ni kua US anaweza kupigana kivita na China ila sio kiuchumi, US anaweza kupigana na Russia kiuchumi ila sio kivita.
MKUU hujarudi tuuuuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nashukuru bro kwa hiyo Compliment, Shukran Mucho ha ha eti kama Mapacha [emoji23][emoji23][emoji23]

Nasikia hawa wote Qibsyl na Galip Vrl ni mtu mmoko [emoji848][emoji4]. Anyway tuliache hilo.

Issue yetu ya China kwa Taiwan naona kidogo natofautiana na wengi including yeye mwenyewe bro Galip Vrl

Najua kidogo kwenye Geopolitics ni all about "Uvumilivu na subra", kisha hekima na Busara nyingi.

China (Of course na mwenzie Russia) kua threat kwa yule ambae tunamzania na amekua akituaminisha hivyo kua yeye ni Superpower (US) sio kwa bahati mbaya. Inside wanajuana zaidi ya vile sisi tunavyowasoma kwenye mitandao.

Ile chess Move ya jana mie naiunga mkono kwa analysis zangu binafsi. Na kwa details chache nilizonazo juu yao.

US anapenda vita sana ambazo zinapiganwa mbali na mipaka yake. Na Historia yaonesha haisogelei kichwa kichwa nchi ambayo anaona inaweza kupeleka madhara kwenye ardhi yake. Kwa wakati mfupi, hapa sina maana kama China hawezi fikisha madhara kwenye ardhi ya US ila swali nani atamtangulia mwenzie?

Kuna nukta ukizitizama vizuri bado inanishawishi kuuamini mtizamo wangu nilio nao kwenye hili swala. Juu ya kufunga bakuli langu [emoji23] nisubiri dakika ya mwisho nitapata la kuzungumza.

Em fikiria visit ya Pelosi haiku ainishwa kwenye ratiba yake na US wakatamka hadharani kua hatofika, ila kaenda means hiyo ilikuwa inapangwa kimya kimya so maandalizi walikuwa nayo ya kutosha. Ingawa hili ni jambo la kawaida kwa US kuzungumza hivi halafu wakatenda vile.

Pale China karibu kila kona kazungukwa na vibaraka wa US, Ambapo US katia base zake. So kitendo cha kuanzisha tu ingekua ni karata mbovu kwake kurudisha mashambulizi kutoka pande hizo.

First and second world war vimewapa fundisho mataifa mengi yanayojielewa namna ya kudeal na mizozo level ya International. Hawaipeleki kitoto na kimhemuko.

Mda mwingi US na China wamekua kama Master na Slave wake, US akiwa mtoa order na China akiwa mtimiza order. Ila katika hilo US akajisahau hadi sasa imefika wakati ambao Master hana uwezo tena wa kuamrisha kwa Slave wake zaidi ya kumuharibu wakose wote.

Ni kipindi kirefu China kamjengea mazingira tegemezi US ambayo ni ngumu kwake kuchomoka.

Fikiria kampuni kama Apple, 19% ya faida wanayoipata inatoka China. Investors wa hii kampuni watakua radhi China ashambuliwe? Ukiacha mbali faida wanayopata suppliers wao wa materials ni hao hao China. Je nini kitatokea vita ya Uchumi baina yao? Huo ni mfano wa kampuni moko tu.

Mfani mwingine mmesikia hapo, TACL kuhusu kusitisha mradi wao wa kiwanda cha mabetri ya Gari ya Tesla na Ford. Hii ndio Supply chain niliyokua naisemea, Last consumer huwa anabeba final products made in dash dash bila kufikiria vilivyotengeneza anachokitumia vimetoka wapi.

Kibaya zaidi China ana bidhaa za aina zote, from cheap to high expensive, from low quality to high quality means anaweza kufanya biashara na jamii yoyote taifa lolote na watu aina zote duniani wenye nacho na wasio nacho.

Hapa tutamkuta Afrika, USA, EU, South and Latin America yani kila kona ya Dunia na kila bidhaa anaipeleka kulingana na soko husika. Tofauti na mshindani wake ambae anafanya biashara kwa specific countries ambazo we all knows ni EU na pale Middle east.

Katika kipindi ambacho EU inapitia mazito hadi kwake US ana suffer kwa matukio aliyotengeneza mwenyewe.

So nje ya Vita ya Silaha, China ana kila karata ya kuiadabisha US. East hakuna magasho kiwango cha SGR kuna watu wafupi ila wako makini. Matendo yao tunaweza kuona ni kama waoga ila wana plan konki linapokuja usukwaji wa matukio.

Tuupe mda nafasi yake tuna mengi ya kuzungumza.

Utakuwa unafiki kutetea kitendo cha Russia kujiondoa KIYV licha ya ule msafara wake wote alio uweka at the same time kuiponda response ya China despite mkwara alio uonesha. Hilo sakata la Taiwan halijaisha ndio kwaaanza linaanza.

Tukaeni kati tuenjoy show, Geopolitics ni mchezo unaohitaji utulivu wa hali ya juu tuweze kuuelewa.
Doooh

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Vipi kama nao waliamua kumuingiza US chaka kama tulivyofanya kwa Ukraine kuwaaminisha tunaitaka Kyiv kwa ule msafara wetu kumbe hatuna habari nayo kwa wakati ule?

Huu mfano naurudia mara kwa mara kwasababu umenifundisha kitu cha muhim sana.

So what if China aliamua kushupalia lile swala, akijua US ni mpenda ugonvi atalazimisha kwenda Taiwan. Then akienda wao itawapa kila sababu za kuanzisha kile walichokua wanakitaka hapo Taiwan?

Alichokifanya jana Pelosi kwani kisingewazakana hata kwa mawasiliano ya kawaida kwa sim au n.k?

Again tena bro we unafikiri kwa alichokianya US ataendelea kuwaambia akina nani juu ya kuheshim sovereignty ya mataifa mengine?

China ataonekana mwoga ila upande wa East hasa Xi na Putin washajua west wana ombwe la nini... Ubabe usio na tija na kwasababu hawafikirii mara 2 mbili naona kama kila kona wanaingizwa mkenge.

Hakuna shambulizi la kuambiwa utapigwa kwa namna hii hadharani tena mbele ya Media kwa adui yako. Kipigo huwa ni siri ili usitafute njia za kujihami.

Tuendelee kula mtori matarajio ya ujio wa Multipolar yanazidi kuongezeka. I don't know why nawaamini sana upande wa mashariki.

Kila Chess Move yao kwangu Bingo, ha ha ha yani ipo nje ya matarajio ya walio wengi na of course unapomkosesha adui yako kujua next move yako ndio ushindi wenyewe.

Like penalty shoot, unamuhadaa kushoto ajabu unapiga kulia, Una score muruuuua kabisa washabiki tunaamka kwenye viti.

Chonde chonde tutulieni wakati wapishi wetu wako jikoni [emoji23].
Nimebadili gear angani safi sana UCHINA
joke[emoji14][emoji14][emoji14]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hakuna mtu mwenye akili timamu ataacha kujitolewa ikiwa nchi yake inashumbuliwa,.
Russia anachofanya ni Ukoloni kabisa.
Ana eneo kubwa Sana lakini bado tamaa inamponza anataka kuchukua Ukraine.
Awe makini asije anguka.
Mnasubiri anguko la RUSSIA poleni saaanaaa[emoji23][emoji16][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tambua kwanza Forex ni money .... Unapokuwa unahitaji fedha (demand for money ) inaomgozwa na motives tatu
1-Transaction motives (Kwa ajili ya manunuzi mbalimbali )
2- Precautionary motives ( Kwa ajili ya kijilinda na dharura mbalimbali)
na
3- ndio hiyo unayoisema katika Biashara za kifedha Kuna CAPITAL FLIGHT na CAPITAL INFLOW ambapo sasa SPECULATIVE MOTIVES jinsi gani market players wanacheza na rates za mitaji yao sokoni.
Kwenye forex tunasema kuwa kuna aina mbili ya watu wanaocontrol soko
Aina ya kwanza ni watu wanaoamisha pesa kwa kujua na kusikia data(forex traders) ambao ni wengi sana pia
, Hawa wanainclude investers, na aina ya pili ni hyo ya daily life luteen, unaweza ukaona data haina maana kwenye macho yako ila kimahesabu ni data kubwa na ina maana sana, ndo maana kila taarifa mbaya waga kuna spikes kutoea mara tu baada ya habari nzuri sana au mbaya sana, then baada ya apo soko linarudi kidogo, afu then slow and gradual trend inafantika, hii ndo tunaita kundi la pili ambalo ni maisha ya watu wa kawaida
 
Aha ha ha mtakaa kunijadili ila huwa nawaambia mimi nimeshindikana hata kwa Warusi asili kule Quora, wacha nyie wakuiga hapo Bongo. Mpaka leo hamniambii kitu maana kila nikikumbuka ule msafara jinsi ulinitia hofu na kunikosesha usingizi, halafu ulivyoliwa kimasikhara, huwa napata raha sana.....
RUSSIA TAIFA TEULE

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ninachokiona kwasasa kuhusiana na operation yetu.

Kadri msimu wa baridi unavyokaribia mataifa ya Western Europe yanazidi kupunguza kiherehere cha kuisaidia Ukraine na kuiwekea vikwazo Urusi, badala yake wameanza kulegeza kikwazo kimoja baada ya kingine nakujifanya kama wako busy kushughulikia matatizo ya ndani kuliko hapo awali ambapo jambo la Ukraine walikuwa wanalichukulia kama jambo la EU.

Ndani ya serikali ya Ukraine na wayukraine wenyewe ndo hawana hamu kabisa na operation hiyo, wanatamani iishe hata kesho, shida ipo kwa kibaraka wa America na EU Zele the comedian, ndo maana siku za hivi karibuni ametumbua maofisa wa ngazi za juu wa serikali akiamini wapo kinyume nae na wengine wanafanya kazi na Urusi. Ipo siku wenye taifa lao watamchoka na watamla kichwa hapo kyiv.

Kuhusu HIMARS tangu ziende Ukraine hakuna zilichosaidia cha maana, Russia kila siku anazidi kusonga mbele na kuchukua miji bila upinzani wowote, Zelenskiy mwenyewe wakati analihutubia taifa lake jana, aliweka wazi kabisa namna Russia anavyoipelekea moto nchi yake na akasema kabisa "Russia ameigeuza Ukraine kuwa Moto wa jehanamu kwa kuishambulia maelfu ya mabomu kwa masaa24 bila kupumzika na kuteketeza mamia ya wapiganaji kwa siku pamoja na vifaa vita"
Pia jana hiyo hiyo amemlilia Rais wa China aongee na Urusi isitishe operation yake maana mambo nchini mwake ni magumu na haoni dalili za kushindana na Rusia kwa kipindi kirefu. Ikumbukwe mwezi 6 Zelensky aliwalilia viongozi wa G7 akiwaomba wafanye wawezalo Vita (kwa mjibu wa zele) iishe kabla msimu wa baridi haujaingia.

Kwa mtu alie sikiliza vizuri hotuba ya Zelenskiy basi ataelewa kuwa HIMARS hazina msaada wowote na wala sikitu mbele ya nguvu ya Russia. HIMARS zinapewa promo kwa njia ya propaganda ili kuficha aibu ya silaha za USA alizopeleka/anazo peleka Ukraine, kelele hizi hizi za HIMARS zilipigwa wakati wa Javelins, Ghost drones, Switchblades drones ambazo zote ziligeuzwa na silaha za Urusi kuwa vyuma chakavu.

Na cha mwisho nilicho gundua nikuwa, Russia hana muda wa kujibu wala kuongelea propaganda anachojua nikutembeza kipigo na kuacha anae mtembezea kipigo ndo aje atoe ushuhuda baada ya muda wa ushuhuda kifika kama hizo silaha anazopewa zinamsaidia au si kitu. Ndo maana tangu propaganda za HIMARS zianze yeye alikaa kimya as if nothing is happening. Mwisho wa siku Jana Zelenskiy akaja kutoa ushuhuda wa kipigo anachopelekewa na Urusi licha ya makelele na propaganda za HIMARS.

In tautology we say, if you take a union of Truth (T) and falase (F) = (TvF). You can change falase to Truth but not Truth to falase. Thus, when Zelenskiy and his allies try to change the truth to falase through propaganda they fail when it's time reach. Refer yesterday zelensky's speach and compare with what is going on their media about HIMARS, then you will understand the concept of logical and tautology statements.

"IT IS NOT OVER UNTIL IS END, SPECIAL MILITARY OPERATION IN PROGRESS....[emoji635][emoji635]
RUSSIA TAIFA TEULE[emoji4][emoji4][emoji4]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
NAKAZIA kidogo,

US mpaka mwaka Jana Dec 2021 alikua ameprint thamani ya dollar $ trillion 20 yaani ndani ya mwaka 1 Kutoka jan-Dec21 ambayo ni sawa na 40% sio mchezo.

Kama tunavyojua dollar ni sarafu inayotumika sana kwenye manunuzi ya bidhaa duniani. Data zinaonesha mpaka sasa kuna zaidi ya US$40 trillion zipo kwenye mzunguko duniani. Hapa inajumuisha physical money, cryptocurrencies, savings nknk.

Tukija ndani ya Taifa lao US data zinaonyesha kuna US$ trillion 5.8 tu, inamaana kiasi kilichobaki kinaingia hapo juu. Sasa acha niende direct kwenye point.

Ukitafuta tofauti hapo utapata kama US$ 34.2 trillion hiki ni kiasi ambacho kipo nje ya taifa la Marekani ina maana hawana access na hizo pesa zipo mikononi kwa mataifa mengine au raia wa nchi zingine.

Watu wengi wanabadili pesa za nchi zao kuwa dollar na wengi wanazihifadhi majumbani mfano mimi hapa toka mwakajana naenda mwaka nina dollar 3,500 zipo kwenye kabati sijawai hata zitumia, sasa jiulize watu kama mimi tuko wangapi hapa Tanzania?? Africa?? Asia??Europe?? nknk ambao tunafanya huu mchezo??

Just imagine Mataifa yote yatoe dollar unafikir nini kitatokea?? Dollar ikianza kuyumba kama ilivyotokea kwa Euro hapa ndo mtaielewa point ya MR MAJANGA kwa jinsi US anavyokwenda na Pesa anazozidi kuprint Uchumi wake upo shimoni bado kufukiwa tu.

Unafikir ni kwanini Federal reserve wame hike interest rate kwa 75 basis point??.. naombeni point hapa Qibsyl @Galip nknk

US yuko kwenye level mbaya sana ni suala la Muda tu na uzuri ameshajua tayari hali yake.
MKUU samahani pamoja na wengine nahao ulowatag pia
Hilo swali binafs nishwahi jiuliza jamaa wahy wamepandisha hvyo ila nikajiseme lazma kutakua nasababu hawajakurupuka tuuu
Naomba msaada juu ya hilo
Nahapo kwenye dolari zako unahisi kuendelea kukaa nazo nakuzitia sokoni ipi faida kwao na ipi hasara kwa US kama wengi wataitia sokoni

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tambua kwanza Forex ni money .... Unapokuwa unahitaji fedha (demand for money ) inaomgozwa na motives tatu
1-Transaction motives (Kwa ajili ya manunuzi mbalimbali )
2- Precautionary motives ( Kwa ajili ya kijilinda na dharura mbalimbali)
na
3- ndio hiyo unayoisema katika Biashara za kifedha Kuna CAPITAL FLIGHT na CAPITAL INFLOW ambapo sasa SPECULATIVE MOTIVES jinsi gani market players wanacheza na rates za mitaji yao sokoni.
Naam bro, nimeingilia text isiyo nihusu ila ni kwa nia njema tu.

Neno Forex kama lilivyo sio pesa, Forex stand for Foreign Exchange. Na term "Forex Trading" ndio biashara ya mabadilishano ya fedha za kigeni against each other.

Mfano US Dollar against Euro ama Tsh agaisnt Ksh n.k kwa madhumuni hayo uliyo ya-ainisha vyema. Thou main reasons haswa ni kile ulichotaja cha kwanza na cha tatu. Hedging and Speculation mengine yote ni minor.

Na of course point yako number 3 ndio kiini cha Forex "trading", Hizo Speculation on currencies price katika kupanda ama kushuka potentially to make profit.

Point yangu haswa naona kama "Forex" na "Forex Trading" zinafanana kimaandishi ila la pili yake lina maana ya nyongeza zaidi. Kwani kuna term zingine pia zinazoanza na hilo neno Forex mfano "Forex Markets".

Forex Markets ikiwa inajumuisha activities zote za Buy, Sell and Exchanges kwa pa1 wakati term Forex trading ina'involve Buy and Sell peke yake.

Kama na'complicate mambo mnisamahe 😂😂😂

Ukirejea kwenye issue ya mdau wetu. Anachanganya madesa either kwa kuto kujua au ujuaji mwingi. Bro natumai unajua vizuri kuhusu Macro Economy and Micro Economy.

Katika vitu vinavyo-affect Foreign exchange moja kwa moja ni Macro economics statistics moja wapo ikiwa ni "Inflation". Zipo zingine kama Stock, bond, commodity na other capital markets bila kuacha politicals news kwa ma traders pale unexpected outcome inapotokea.

Sio hayo tu yapo mengi mengine kama International trade number, ie Trade surpluses na deficits ambazo zina influence kwa kiasi kikubwa Forex Markets.

Sasa mdau anakwambia Hike in Interest rate ni kwa ajili ya Inflation tu, Investors sijui wana nini niniii uko. Hapo anasahau au hajui kama Inflation anayoipa kisogo ni macro economics statistics ambayo ina athiri moja kwa moja foreign exchange.

Na US kwa kulijua hilo, Fed wakawahi kuongeza Interest rate tena to a record high kwa miaka kadhaa. in turn bado wanaendelea kusota na mfumuko wa bei ila currency yao inapumua vyema sokoni.

Ukiziangalia ambiguity na inadequacy kwenye maelezo yake unajua mazima anapelea wapi. Mwisho unaamua either uendelee nae upoteze mda au kuutumia huo mda kufanya issue zingine 🤔.
 
Back
Top Bottom