Cash Generating Unit
JF-Expert Member
- Jan 12, 2019
- 13,284
- 39,513
anazichapa ukraine?kapeleka meli ngapi za kivita,na ndege ngapi,na mpaka sasa amesharusha makombora mangapi ndani ya russia,kumbuka russia sio libya wala iraq,russia ni dunia mkuu..
Marekani hana ubavu wa kuzichapa na Russia siku zote anatumiaga mgongo wa mtu nyuma mfano Ukraine pale, na Russia ameingilia vita za Marekani Syria na Venezuela pale tena US alikua home kabisa ila zote akakimbia[emoji23][emoji23].
Marekani kapeleka meli ya kivita karibu na Taiwan ila ikitokea Russia kasogeza yake karibu na Taiwan au China Marekani ataondoka tu. Marekani anaogopa sana vita na Russia na anakwepa sana.
China ndo tegemeo pekee la Russia kwenye uchumi hivo hawezi kubali China aanguke kizembe, kuanguka kwa China itapelekea kuanguka kwa Russia.
US akiingilia mgogoro wa Taiwan bhas haitachukua round Russia ataingia tu na kuna uwezekano mkubwa Kiduku kuingia mpaka Iran hawa wote wanamtegemea China kwa kias kikubwa sana. Anguko la China litadhoofisha haya mataifa yote.
Anachofanya Marekani ni kumtishia China ila akiamua kukiwasha hakuna chochote atafanya. Marekani anakwenda Kupata aibu nyingine tena.