Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Aiseee asiguswe mtu hapo!

We want to reiterate our long-standing position as the world's superpower that if any of our allies is attacked, we will be forced to act swiftly and decisively in defense of every inch of our territorial region.

Terrorism of any form has no place in our postmodern world; it must be contained and stopped altogether.

Wala hatuna wasiwasi tunatamba tu kwenye bahari zote

main-qimg-3f3e1908a4444a7dbdc046c076897198-pjlq
 
Hawa watu hawana technology na ndo maana juzi wamerusha missiles zao 8 zenye thamani ya 100+mil usd, 7 zikadakwa na defence systems za Ukraine, 1 ndo ikapenya.
Hapo hapo Himars juzi zikiwa 4 zimefyatua 24 strikes kwa pamoja kwa gharama ya 3.6mil usd
Na zikazaa matunda.....

Kila siku Ukraine anaonesha drone footage ya milipiko iliyofanyika...

Urusi haoneshi.

Na ndo maana nikasema siku wakiotea himars 1 na wakawa na video yake tutajuta, maana watasema wamelipua zote
Ha ha so kijana Root bint Himars, kwa mujibu wako kumbe Russia matajiri kinoma eeh.

Kama shambulio Moja lina cost dola mil 100, (Zaidi ya Bil 230 za kibongo) najiuliza wamefanya mashambulizi mangapi toka feb 24 hadi leo. Na vipi hawajafilisika tu watoke hapo Ukraine kwa aibu mmh?

Aaaaah ase wajomba wa Pro west inabidi tuwaongeze kwenye makundi ya Special Groups, Mnahitaji attention ya ziada kuwaacha hivi hivi ni ukiukwaji wa haki zenu muhimu 😂.
 
Pata maendeleo ya vita Toka kwa YURI.
#YURI WAR BRIEFING Attempts of the Russians near Kharkov to undertake a local offensive continue, despite a non-successful Gusarovka attack yesterday. Allied troops entered Bakhmut, contesting the industrial zone. Incidentally, the same happens in Solidar, where battles for the KNAUF factory grounds continue. Still no oficial announcement about Peski being taken, but, according Yuri's reports, the abandoned village is indeed taken, mine clearance and sweeps continue, with battles continuing around Pervomayskoe.

Discrepancies between the political and military leadership of Ukraine continue: the military advises against the Kherson offensive, Zelenski still, allegedly, insists on this risky offensive that can cause not only the southern front, but also Donbass one to crumble. State of the fronts as of: Aug 5, 19:00 CEST

subscribe: @war_subtitled_en,
or in Spanish at - @rpd_es.

❗️🇷🇺🇺🇦 Highlights of Russian Military Operation in Ukraine on August, 5 2022

▪️ Russian Armed Forces launched strikes on AFU positions in Zaliznyi Mist, Hrem'yach and Mykhal'chyna Sloboda border areas of the Chernihiv region.

▪️ North of the Kharkiv region, Russian Armed Forces’ units put up trench fighting near Pitomnik, Vesele and Prudyanka.

▪️The Ukrainian command is redeploying some units from Kharkiv to other directions including the Mykolaiv-Kryvyi Rih one.

▪️ In the forest east of Protopopivka, the Ukrainian 58th Independent Motorized Infantry Brigade’s assault groups made an attempt to dig in near Lake Lyman, but failed, suffered losses and retreated.

▪️In the Slovyansk-Barvinkove direction, Russian Armed Forces are fighting for the Husarivka rural area.

▪️The AFU announced the seizure of the Dibrovne and Mazanivka rural areas which had been neutral.

▪️Russian troops are attacking the enemy near the Knauf Gips factory to dig in on the Soledar eastern outskirts.

▪️Forward units of the Wagner's PMC are fighting on the Bakhmut eastern outskirts.

▪️The Ukrainian command is strengthening the defence on the south-eastern outskirts of Bakhmut redeploying Territorial Defence units to Vesela Dolyna.

▪️On the Kodema eastern outskirts near Vuhlehirs’ka TES, fighting is underway.

▪️In the vicinity of Donetsk, the allied forces are mopping up Pisky. The Ukrainian troops are putting up resistance north-westwards the locality.

▪️In Avdiivka and Mar'inka, fierce fighting is underway.

▪️ In the afternoon, the Ukrainian units shelled the Donetsk railway station. Casualties among civilians reported.

▪️ Russian cannon and rocket artillery engaged the AFU’s positions in Nikopol'.

▪️ In the last 24 hours, the Ukrainian forces repeatedly shelled the territory of the Zaporizhzhia Nuclear Power Station in Enerhodar.

#digest #Russia #Ukraine #video
@rybar

*Support us: 0x4739352b67Da6F4064757627D92A08EaDd3fb6b6 (ETH) | 33i1BwMuzeYTAUNtiLa6CjvaHtTVYNJfnp (BTC)
 
Hawa watu hawana technology na ndo maana juzi wamerusha missiles zao 8 zenye thamani ya 100+mil usd, 7 zikadakwa na defence systems za Ukraine, 1 ndo ikapenya.
Hapo hapo Himars juzi zikiwa 4 zimefyatua 24 strikes kwa pamoja kwa gharama ya 3.6mil usd
Na zikazaa matunda.....

Kila siku Ukraine anaonesha drone footage ya milipiko iliyofanyika...

Urusi haoneshi.

Na ndo maana nikasema siku wakiotea himars 1 na wakawa na video yake tutajuta, maana watasema wamelipua zote
pro nato kutoka mvomero[emoji16][emoji16] Russia hana tech? nchi ya kwanza kufika mwezini ni Russia tech gani tena unaitaka NASA wenyewe wakitaka kurudi duniani wanarudishwa na chombo cha Russia Rocket engine USA ananunua Russia nikuongezee mengine au tayari yametosha?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bendera ya Ukraine yapandishwa kwenye eneo linalokaliwa kwa mabavu na Urusi 🤔
 
Back
Top Bottom