Grand Master
JF-Expert Member
- Jun 26, 2022
- 246
- 1,315
Na nyie wekeni vikwazo iwe fairHivi USA na EU silaha yao ni sanctions tu
Usipokubaliana nao unapigwa vikwazo
Siyo fair kabisaa
Na nyie wekeni vikwazo iwe fairHivi USA na EU silaha yao ni sanctions tu
Usipokubaliana nao unapigwa vikwazo
Siyo fair kabisaa
US anakuwa ameandaa mazingira before, akiwapatia Afrika misaada bubu ili kuwahonga in case wakiwa na maslahi yao kama haya, wapate mahali pa kutoneshea kidonda.kaka kama hujui ni hivi - Dunia hii tunayoishi inatawaliwa na watu wa Magharibi kwa kushirikiana na US. Yaani US ndiyo kiongozi wa hilo kundi.
Kwa hiyo Putin atachoka mwenyewe tu, wale watu ni mafia saana.
Mshaurini aachane na hii vitaa, wanachofanya ni killing softly technic... Leo hii tunaongea hapa hakuna nchi yoyote ya Africa inaweza hata kupewa mafuta ya zawadi toka Urusi achana na hata ya kununua... itakuwa na yenyewe imeingia kwenye VIta.
M7 analijua hilo...juzi katoka mita mia dadadeq.
Porojo hizo, sisi tunamwamini M7 na si wewe kwa kauli yake ya Juzi - pamoja na ahadi lukuki alizopewa na Urusi pamoja na meli ya bure ya mafuta mbona KAGOMA kupokea.Ndugu zetu Pro USA Huwa wanaamini kabisa kuwa USA ndio mbinguni,
Na Rais wa USA ndio Mungu.
Kuwabadilisha kwa Imani hiyo IPO kazi.
Hiyo habari ilitrend sana kipindi hicho na iliwatisha sana wamarekani.ukweli ndio huo.
Kitu kingine kidogo kilichowaumiza sana ni Ile ndege Yao waliokua wakijivunia sana kuwa haionekani kwenye rada ilikuja kuangushwa na Jeshi la Serbia baada ya kuonekana.
Waserbia kwa kuwadhihaki wakawaomba samahani kuwa, "mtusamehe sana kwani hatukujua kua haionekani".
Inasemekana kombora lililotumika kuiangusha ni kombora lililotengenezwa Enzi za USSR na Urusi ilishaacha kulitumia.
Serbia walilimodifai na likaangusha ndege ya Marekani isiyoonekana.
Vipi makombora mapya ya Urusi yatakuaje?
Kama la zamani TU limeangusha ndege ya kisasa?
Mifumo ya operations za Russia zilizo front line siyo za kitotoWizara ya Ulinzi ya Russia imetoa report kamili ya idadi ya wapiganaji wa nje (Mercenaries) walioingia kupigana upande wa Ukraine.
Report inaonyesha kulingana na nchi idadi walioingia, waliouawa, waliokimbia na waliobaki.
Mfano: Kati ya wapiganaji 565 kutoka USA, 241 wameuawa, 243 wamekimbia na kubaki 81.
Hizo namba za kijani na nyekundu pembeni na chini ni mabadiliko kati ya tarehe 5 August na tarehe 7 August.
View attachment 2319031
Nashauri neno PROPAGANDA sasa lipewe Nobel Prize. Usiseme hawezi kujua, sema wewe huamini. What if amepata nikikwambia most Ukrainian officers wanashirikiana very smoothly na Russian?Hizi ni Propaganda, haiwezi kuwajua ata angetaka kutoa
Wangekuwa ni waafrica yani ukiwaua unajua huyu sio Caucasian labda
Maisha bila ya unafiki hayaendiMisukule ya USA itakuwa imenua balaa lakini wanafurahia Teiwani kutaka kujitenga na Uchina, WAPUMBAVU SANA
Hahaha. Huyu amepata tiba ya anguko la uchumi kwa taifa lao. They sanction Russia, but economies zao ndizo zinadorora!🇦🇹🇦🇹🇦🇹
Austria is not an EU or NATO vassal
Austrian Bundespresident candidate Gerald Grosz has published an open letter to Vladimir Putin promising to lift all sanctions and punish the government acting at the expense of the people. In addition, he does not consider the Russian-Ukrainian conflict as an Austrian problem.
"Dear President Putin, I am running for the post of federal president. If I am elected, I will appoint a new Government whose main goal will be the lifting of sanctions. Austria is not a vassal of the EU or NATO. We are an independent, neutral country that sees its future in the well-being of its citizens," Grosz announced in a letter. (News from R. Bentley)
Tatizo pia Uchumi wa Urusi hautegemei Afrika.kaka kama hujui ni hivi - Dunia hii tunayoishi inatawaliwa na watu wa Magharibi kwa kushirikiana na US. Yaani US ndiyo kiongozi wa hilo kundi.
Kwa hiyo Putin atachoka mwenyewe tu, wale watu ni mafia saana.
Mshaurini aachane na hii vitaa, wanachofanya ni killing softly technic... Leo hii tunaongea hapa hakuna nchi yoyote ya Africa inaweza hata kupewa mafuta ya zawadi toka Urusi achana na hata ya kununua... itakuwa na yenyewe imeingia kwenye VIta.
M7 analijua hilo...juzi katoka mita mia dadadeq.
Hii ni mara ya pili eneo la Crimea linashsambuliwa , utawala wa dikiteta andunje Putin na mafashist wenzake waliwahi kutoa honyo kuwa ikiwa Crimea ingeshambuliwa basi itakuja Ile siku waliyoiita " jugement day" Sasa sijui hiyo jugement day Mpaka Sasa haijafika kweli?
Tukio moja mna lipa airtime with a lot of repeatation...... [emoji1787] Safi kabisa..... [emoji1787]Hii ni mara ya pili eneo la Crimea linashsambuliwa , utawala wa dikiteta andunje Putin na mafashist wenzake waliwahi kutoa honyo kuwa ikiwa Crimea ingeshambuliwa basi itakuja Ile siku waliyoiita " jugement day" Sasa sijui hiyo jugement day Mpaka Sasa haijafika kweli?
Huyu fashsti dikiteta ameishiwa mazima anabaki mikwala mbuzi tu[emoji12]
We kazi yako ni kuleta misemo yenye kuhusisha matusi tu. Kiongozi jaribu kuchangia kwa lugha yenye staha. Usitoke jasho bureIlikuwa dhaifu sana,na imefika apo kwa sababu ya misaada na Russia kuwa dhaifu, ni mpuuzi pekee ataedhani Ukraine inaweza mpiga Germany au ata Wingereza, au Ufaransa pekee, kama we pia umeamini hyo, we ni mpuuzi pia
Lazima hili tukio tulipe airtime ya kutosha maana utawala wa fashisti andunje Putin ulitoa mkwara mbuzi kuwa siku eneo Hilo likishambuliwa basi itakuja Ile " jugement day"" tunasubiri kwa shauku kubwa kuiona hiyo siku,Tukio moja mna lipa airtime with a lot of repeatation...... [emoji1787] Safi kabisa..... [emoji1787]
Alafu kuna watu wanasema Ukraine ilikuwa na jeshi dhaifu,Acha kabisa [emoji116][emoji116]
Most importantly, as former Marine Colonel and UN Weapons Inspector Scott Ritter confirmed, Ukraine could militarily beat any nation in NATO except USA and Turkey.