Mkuu, mantiki hii ina mwendo wa chopi kidogo, sivo? Al-Qaeda ilikuwa kitu kipya kilichoanzishwa katika karne hiyo ilhali sheria za jinai zimetungwa katika karne iliyopita.
NATO ilikuwepo tangi 1949 nisipokosei. Mnamo mwaka 1975 Urusi ilikubali Mapatano ya Helsinki.
Kifungu cha kwanza kinasema kwamba kila nchi ina haki ya kuchagua au kutochagua ushirikiano wake na nci nyingine. Inasema pia kwamba mipaka inaweza kubadilishwa kwa kuelewana kwa hiari pekee.
Mapatano hayo yalikuwa msingi wa kipindi kirefu cha amani na maendeleo kwa nchi za Ulaya. Ningetamani kuona mapatano ya aina hii kwa nchi za Afrika ya Mashariki, tukumbuke mivurugo ya Kongo, Rwanda, Uganda, Sudan!
Kuachana na mikataba na mapatano huwa na hatari yake. Matokeo tunaona sasa.
THE HELSINKI ACCORDS OF 1975
I. Sovereign equality, respect for the rightsinherent in sovereignty
The participating States will respect each other's sovereign equality and individuality as well as all the rights inherent in and encompassed by its sovereignty, including in particular the right of every State to juridical equality, to territorial integrity and to freedom and political independence. They will also respect each other's right freely to choose and develop its political, social, economic and cultural systems as well as its right to determine its laws and regulations.
Within the framework of international law, all the participating States have equal rights and duties. They will respect each other's right to define and conduct as it wishes its relations with other States in accordance with international law and in the spirit of the present Declaration. They consider that their frontiers can be changed, in accordance with international law, by peaceful means and by agreement. They also have the right to belong or not to belong to international organizations, to be or not to be a party to bilateral or multilateral treaties including the right to be or not to be a party to treaties of alliance; they also have the right to neutrality