Morogoro kaskazini
JF-Expert Member
- Jul 5, 2020
- 2,560
- 9,690
Baada ya himars kushindwa kuikomboa khersan sasa majeshi ya urusi yamesha ingia sehemu za mji WA mykolaiv kama huu mji ukitekwa hii litakuwa pigo takatifu Ukraine kupewa na urusi
Alshabab wamezuia watu Kenya kupiga kura
Umeona hii? Ndio mtapata mzuka wa kujilipua lipua mabomu Wanaume wawili wa Kiislam wafukuzwa katika ndege huko MarekaniAlshabab wamezuia watu Kenya kupiga kura
Mkuu, mapatano ya Minsk niliyoona haina kanuni kuhusu NATO au siasa ya nje, yaa i jambo tunalojadili sasa. Wewe unaona nini?Kasome pia MINSK AGREEMENT ambayo ni recent zaidi ....halafu Urudi
🤝👏👏👏👏👏👏👏✔️✔️✔️✔️Labda hujui kusoma bwana Kipala . Huwezi kutofautisha NO FURTHER EASTWARD EXPANSION FOR NATO na suala la Ukraine kujiunga na NATO.
Hata tukisema kwamba Ukraine haikusaini mkataba wowote, bado hiyo kauli inawa-exclude.
Mfano: Hakuna Mtanzania yoyote kujiunga na Al-Qaeda (suppose organization hiyo imeweka huo mkataba).
Then, wewe kwa vile ni Mbongo, unadai una haki ya kujiunga na Al-Qaeda simply because hakuna mkataba wowote uliwahi kusaini kama zuio la kutojiunga nayo. Ndivyo almost lilivyo suala la Ukraine na NATO.
Russia humu si ndio hutupigia kelele wana best air defence system. Kila shambulizi likifanyika wanapigwa, sijawahi sikia shambulizi limefanywa na wakafanya interception ya makombora yote. Wao ni kupigwa tu, na uzuri Marekani imesema haioni shida mashambulizi kufanyika ndani ya Crimea Hiyo Kerch bridge tuipe mudaKitu kizito kimetua Crimea military base !!
Blasts rock Russian military airbase in annexed Crimea
✔️✔️✔️✔️✔️✔️✔️✔️✔️✔️🤝🤝🤝🤝Umeandika mambo mengi sana, lakini sidhani kama hata unajua mantiki na relevance yake. Kuhusu Al-Qaeda, nilitumia kama mfano. Naona nao, bila shaka, umekupiga chenga za Messi.
Main point, bila kuichosha seva, umeandika kuhusu ^territorial equality^ ^sovereignty^ ^territorial integrity^ ^freedom of political independence^ and so on.
Sasa nijibie maswali haya machache (kwa mantiki ya maelezo yako):
1. Why Missile Crisis in Cuba (1962)?
2. How was it possible for NATO to invade Libya, US to intrude into Afghanistan internal affairs, bomb Iraq (even to the point of deposing their presidents and dismantling the respective governments)?
3. Kwa nini suala la Ukraine linamfanya Marekani aishurutishe almost kila nchi imtenge Russia? Why yeye (BIG bully) haonekani kuheshimu hizo empty terms zako?
Masikini Putin.., mtaka yote kwa pupa hukosa yote..,tangu alipoichukua Crimea haikuwai kushambuliwa..,
Hakika wahenga waliona mbali sana [emoji106][emoji120][emoji120]
Tulia dawa imuingie ewe mlamba viatu wa Putin..,Sasa hivi ni mwendo mdundo mpaka crimea [emoji1787][emoji1787][emoji1787]At first nilifikiri ulichapia bahati mbaya but now ni karibu ten times wakirudia kile kile.
Sasa nikuibie siri mjuba, usione watu wapo kimya ukajua hiyo taarifa imewakera. Wanakupuuza cuz washakuona we ni hamnazo.
Unafikiri kazi ya kukusahihisha ujue kuandika vizuri, Ujue kwamba hakuna kitu kinaitwa "Jugement" in english bali ni "Judgement" unless uko unazungumza french ni ndogo? Uelimike huko ndio wakuelekeze ya Crimean Peninsula ni leo?
Kazi kubwa sana hiyo, na wengine wakifikiria watumie lugha gani kukuelimisha wanakosa. Lugha zote zinaonekana kukupiga tobo. Kama hapa, hii "Yahani" ni mdudu gani mdau? Mmh?
Sasa nani wa kujichosha kwako hapa, jibu ni NO. We endelea kubwatuka tu upepo ukikata tufahamishe.
watu wamekishusha kitu hichi kikiwa Crimea dadadeq ... UKRAINE nyieeeTulia dawa imuingie ewe mlamba viatu wa Putin..,Sasa hivi ni mwendo mdundo mpaka crimea [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ule mkwala wao wa """jugement day""haukufua dafu[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Silaha za kipindi cha Soviet ndugu ni tatizo !! watu wanamdokoa tu alipo ha ha ha high accuracyUle mkwala wao wa """jugement day""haukufua dafu[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Na ndio lengoUkraine inapaswa kumshukuru Putin kwa huruma alizonazo anaipeleka SMO bila kuleta maafa kwa raia. Jaribu kufananisha NATO walichofanya Syria/Afghanstan/Iraq/Yugoslavia/Libya then linganisha na Ukraine utaona jinsi Russia wanavyo ipeleka OP yao kisomi kuepusha mauaji ya Raia.
Ukraine yote itachukuliwa itakua Russian Federation
Baada ya himars kushindwa kuikomboa khersan sasa majeshi ya urusi yamesha ingia sehemu za mji WA mykolaiv kama huu mji ukitekwa hii litakuwa pigo takatifu Ukraine kupewa na urusi
[emoji1255][emoji1255][emoji1255][emoji1255][emoji1255][emoji123][emoji123][emoji123][emoji123][emoji1258][emoji1258][emoji1258][emoji1258][emoji1258]Silaha za kipindi cha Soviet ndugu ni tatizo !! watu wanamdokoa tu alipo ha ha ha high accuracy
Mbona hilo limefanyiwa press briefings muda, nyie Pro-Marekani? Unaambiwa hiyo blast ni baadhi ya nyara zilizokuwa zimetekwa Ukraine, zilikuwa zikiteketezwa na Warusi wenyewe.Kitu kizito kimetua Crimea military base !!
Blasts rock Russian military airbase in annexed Crimea
Russia si mtu mzuri kwa kweliKuna habari za kuchanganya kutoka Japan zimeibuka asubuhi hii.
Baadhi ya news agency wanasema Serikali ya Japan ime jiuzuru. Wakimaanisha mawaziri wote wamejiuzuru kasoro Waziri Mkuu. Sababu wanasema ni mfumuko wa bei na kuto elewema.
Wengine wanasema Waziri Mkuu wa Japan anabadilisha mawaziri wote kutokana na tuhuma za muda mrefu kuwa wengi wana uhusiano na kanisa linaloitwa Unification Church. Ambalo lina semekana ni cult.
Sijui ukweli ni upi. Tusubiri tuone.
UPDATE: Inasemekana Waziri wa mambo ya nje anabaki kwenye nafasi yake.