Hivi wewe
kp kipanya44 habari za kuwa Ukraine ndo imehusika kwenye mlipuko wa crimea jana unazitoa wapi? Au ndio Telegram channel zenu za Pro-Nato ndo zinavyo waambia hivyo.
Maana media za pro nato zote zinasema tofauti, Hata msaidizi wa Raisi wa Ukraine kasema Ukraine hausiki na shambulio hilo.
Tena viongozi wa ngazi za juu wa Ukraine including Raisi wenyewe Zelensky wali zikimbia ofisi zao na kwenda kwenye bunkers wakiofia Rusia watadhani ni wao wamefanya shambulizi na hivyo kulipiza kisasi.
Soma hizi habari za media za west utaelewa...
Black smoke is seen rising from the territory, which Russia annexed from Ukraine in 2014.
www.bbc.com
One killed and eight injured in Russian-annexed territory, with Ukraine saying partisans may have been responsible.
www.aljazeera.com
The social networks were abuzz with speculation that it was an attack by Ukrainian-fired long-range missiles, but the Kremlin denies this.
www.euronews.com
Blasts rocked a Russian air base near seaside resorts in the annexed Crimean peninsula on Thursday, injuring five people according to local authorities in what Moscow attributed to detonations in ammunition stories.
www.reuters.com
Mimi najitahidi kabla ya kuleta habari humu, naifanyia uchambuzi Source mbalimbali kwa undani.