Sos21
JF-Expert Member
- Jul 25, 2021
- 507
- 2,183
Bila kumsahau yodaHahah, nishaagiza mkuu na mhudumu amesema hakuna shida baada ya kumwambia kijana wa putin atakuja kulipia, maana Russia inaaminika sana Africa.
Sema kuna wakati pro-West&USA wanaleta hoja dhaifu hadi unajiuliza hivi hawa wanafikri JF ni Facebook (Meta)?
Tuendeleeni kuwavumilia na kuwaelimisha panapobidi, maana siyo kosa lao bali nikosa la vichwa vyao ila pia tusisite kuwapuuza wale wenye mafuvu magumu kuelewa kama kina MK254 , FUSO na kp kipanya44 [emoji23] [emoji23]