Ndugu ...wewe binafsi unaamini kuwa Russia hakujua kuwa vita vitachukua muda mrefu?! Wewe unaamini kuwa Russia hakujua kuwa West na NATO watajiingiza katika Vita hivi na kuvifanya viwe proxy war?! Wewe unadhani kuwa Russia hakujiandaa kwa options mbalimbali?!?! Yaani wewe Mtanzania uko huku kwetu TZ hats mipangilio ya hela ya Kula ya Kila siku inatushinda eti ndiyo tunajifanya kujua Mambo mazito ya planning, strategies, intelligence na military operations.....Tuliwaambia Putin atajuta kujiingiza kwenye mambo haya ya Vita !! haya miezi 6 sasa kitu kimenasa dadadeq. Kuendesha vita miezi 6 gharama zake si za kitoto... atalainika tu.
NATO kasema vita hii itachukua muda mrefu kwa hiyo Ulaya na nchi nyingine zijiandae kuishi nayo... yaani kama vile COVID -19
Ndugu yangu, Kama hujui Russia ndilo taifa linaloongoza kwa Mambo ya kisayansi....
Kwenye mathematics na physics Russia ni nambari one....
Russia ilijipanga katika operation hi kwa karibu miaka 20....Ukraine na West wanaumia na wataumia zaidi....Ukraine is being strangled socially, militarily and economically....