Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Kama ndivyo,Sisi Mombasa Republic,tunadai Uhuru wetu toka kikuyuland,mkataba wa muungano wa miaka 100 imeisha.

Muache hizo tabia kuanzia Mombasa kupitia Tanga mpaka Pemba, bora hata ile kujilipua mabomu ila hilo la kuliwa ni hovyo sana.
 
Tuliwaambia Putin atajuta kujiingiza kwenye mambo haya ya Vita !! haya miezi 6 sasa kitu kimenasa dadadeq. Kuendesha vita miezi 6 gharama zake si za kitoto... atalainika tu.

NATO kasema vita hii itachukua muda mrefu kwa hiyo Ulaya na nchi nyingine zijiandae kuishi nayo... yaani kama vile COVID -19
Kitu hujui ni kuwa vita ni hela. Russia kwa sasa anaiba mali za Ukraine balaa. Ameteka eneo la madini yote, eneo la Viwanda, na Nuclear Power plant ana disconnect Ukraine ana unga urusi. Hivyo Russia ata pendelea achukue muda mrefu zaidi ili avune zaidi. Huji ulizi kwa nn malengo yake ya kuteka maeneo yame ongezeka?
 
Uvamizi wa USSR/Russia kwa majirani zake una historia ndefu sana, NATO sio sababu mojawapo bali sababu ni "imperial ambitions" za USSR/Russia kutaka kujionyesha na wao wana nguvu na ushawishi kama West. Inapotekea fursa na wanapodhani taifa jirani yao ni dhaifu wanavamia kutimiza malengo yao.

1.Mwaka 1939 - USSR ya dikteta Stalin iliivamia Finland katika "winter war"

2.Mwaka 1939 USSR Ikishirikiana na Wanazi wa Ujerumani kwa (Molotov-Ribbentrop Pact) walivamia Poland.

3.Mwaka 1940 USSR Iliivamia na kuikalia Latvia na baadaye kuimeza katika USSR

4.Mwaka 1940 USSR iliivamia na kuikalia Estonia na baadaye kuimeza

5.Mwaka 1940 USSR Ilivamia na kuikalia Lithunia na baadaye kuimeza

6.Mwaka 1979 USSR iliivamia Afghanistan katika vita vilivyodumu miaka 10.

7.Urusi iliivamia Chechnya mwaka 1994 kukatokea umwagikaji damu mbaya sana wakasitisha vita kwa muda, wakaivamia tena Chechnya 1999 na mwaka 2000 wakaimeza kabisa kama sehemu yao.

8. Urusi iliivamia George mwaka 2008

9. Urusi iliovami na kuichukua Crimea mwaka 2014

10.Mwaka 2022 Urusi ya Putin imeivamia Ukraine.

Hapa sijazungumzia vita na migogoro ya kijeshi kwa wanachama wa USSR walioonyesha kutotaka kuendelea na umoja huo kama Czech. Sijazungumzia mauaji ya kimbari ya Holodomor ya mwaka 1932-33,
Sidhani kama kuna mtu mwenye akili timamu anayesapoti vita na kumwaga damu. Nchi pekee inayojulikana kufurahia na kuchochea vita kwa manufaa yake ni huyo self-styled kiranja wenu wa dunia.

You must understand that even UN itself recognizes (even more openly) the validity of Russian SMO. Russia aliiwasilishia NATO concerns zake (kwa amani) kuhusu usalama wake unaotishiwa na harakati mbaya za Ukraine. Then, mkamwona mbwakoko na mwendawazimu.

Alitumia njia ya mapatano, mkamdharau na kumwona kabwela asiye na madhara. Sasa ameamua kuvua sura ya huruma na kuvaa mwonekano mnaoweza kuelewa lugha yake, kusudi apiganie haki usalama wa raia wake.

Usidhani Putin anafurahia kupoteza rasilimali zake (vitu na watu) vitani. Mmemlazimisha wenyewe na hivyo hana option nyingineyo.

Funny enough, hata Ukraine inavyoendelea kumegwa deile, uongozi wa Ukraine unazidi kuomba upewe silaha zaidi ili vita viendelee, licha ya tahadhari za mara kwa mara za Russia dhidi ya hatua hiyo isiyo na manufaa. Sasa nani kichaa hapo?

Lastly, msisahau kwamba since 2014 Ukraine imekuwa ikifanya vitendo vya mauaji ya raia (Russians and Russian-oriented) wasio na hatia nchini mwake mwenyewe.

Kama hamtaki kashikashi, basi kubalini kujisalimisha na kuwa wastaarabu. Otherwise, endeleeni kumsikiliza Mmagharibi wenu na kuifurahia show nzito ya Putin.

#TukutaneWintani!
 
Nakubaliana na wewe kwamba Urusi inafanya uharamia na uporaji mkubwa Ukraine "looting"
Kitu hujui ni kuwa vita ni hela. Russia kwa sasa anaiba mali za Ukraine balaa. Ameteka eneo la madini yote, eneo la Viwanda, na Nuclear Power plant ana disconnect Ukraine ana unga urusi. Hivyo Russia ata pendelea achukue muda mrefu zaidi ili avune zaidi. Huji ulizi kwa nn malengo yake ya kuteka maeneo yame ongezeka?
 
Siki mkielewa Arab Spring mtaelewa vizuri sana kilichotekea Libya, Yemen na kinachoendelea sasa hivi Syria na kwamba chanza cha matatizo yote hayo ni madikteta Gaddafi, Abdullah Saleh na Bashir Al Asadi.

Egypt na Tunisia majenerali wa jeshi walikubali kuwatoa Mubarak na Zine Ben Ali kafara ndio maana nchi zao hazikusambaratika katika vugugu la machipuko katika ulimwengu wa Kiarabu.
Ulishawai kuchukia uvamizi wa NATO kule Libya??
 
Uvamizi wa USSR/Russia kwa majirani zake una historia ndefu sana, NATO sio sababu mojawapo bali sababu ni "imperial ambitions" za USSR/Russia kutaka kujionyesha na wao wana nguvu na ushawishi kama West. Inapotekea fursa na wanapodhani taifa jirani yao ni dhaifu wanavamia kutimiza malengo yao.

1.Mwaka 1939 - USSR ya dikteta Stalin iliivamia Finland katika "winter war"

2.Mwaka 1939 USSR Ikishirikiana na Wanazi wa Ujerumani kwa (Molotov-Ribbentrop Pact) walivamia Poland.

3.Mwaka 1940 USSR Iliivamia na kuikalia Latvia na baadaye kuimeza katika USSR

4.Mwaka 1940 USSR iliivamia na kuikalia Estonia na baadaye kuimeza

5.Mwaka 1940 USSR Ilivamia na kuikalia Lithunia na baadaye kuimeza

6.Mwaka 1979 USSR iliivamia Afghanistan katika vita vilivyodumu miaka 10.

7.Urusi iliivamia Chechnya mwaka 1994 kukatokea umwagikaji damu mbaya sana wakasitisha vita kwa muda, wakaivamia tena Chechnya 1999 na mwaka 2000 wakaimeza kabisa kama sehemu yao.

8. Urusi iliivamia George mwaka 2008

9. Urusi iliovami na kuichukua Crimea mwaka 2014

10.Mwaka 2022 Urusi ya Putin imeivamia Ukraine.

Hapa sijazungumzia vita na migogoro ya kijeshi kwa wanachama wa USSR walioonyesha kutotaka kuendelea na umoja huo kama Czech. Sijazungumzia mauaji ya kimbari ya Holodomor ya mwaka 1932-33,
Bila shaka unavuta historia ili kujaribu kuhalalisha ujahili wa Marekani dhidi ya mataifa mbalimbali. Historia yake mbaya haina sababu yoyote ya kuirudia hapa.

Hivi unajua kwamba US ilihusika almost 100% katika kupanga njama na kuiangusha former USSR (bila kutaja allies wake)?

Think like this: Russia anapanga njama za kuyasambaratisha majimbo ya Marekani. Then almost kila jimbo linajitenga na kujitegemea, isipokuwa machache yanayounda taifa moja jipya la Marekani.

Hivi unadhani haitakuwa haki ya hiyo Marekani mpya kujaribu kurejesha majimbo yake aliyohujumiwa?

Better (?) yet, imagine kwenye hayo majimbo yaliyojitenga, Russia anajaribu kuyavuta na kuyashawishi yajiunge nayo, huku akiyaimarisha kijeshi dhidi ya US mpya. Unadhani Marekani atakaa tu akitazama?
 
Jifunze kwanza uelewa tofauti ya ilivyokuwa USSR na USA.
Wanachama wa USSR hawakuwa majimbo, zilikuwa ni nchi kamili zenye Marais wake zilizokubali au kulazimishwa kuunda umoja na Urusi.
Bila shaka unavuta historia ili kujaribu kuhalalisha ujahili wa Marekani dhidi ya mataifa mbalimbali. Historia yake mbaya haina sababu yoyote ya kuirudia hapa.

Hivi unajua kwamba US ilihusika almost 100% katika kupanga njama na kuiangusha former USSR (bila kutaja allies wake)?

Think like this: Russia anapanga njama za kuyasambaratisha majimbo ya Marekani. Then almost kila jimbo linajitenga na kujitegemea, isipokuwa machache yanayounda taifa moja jipya la Marekani.

Hivi unadhani haitakuwa haki ya hiyo Marekani mpya kujaribu kurejesha majimbo yake aliyohujumiwa?

Better (?) yet, imagine kwenye hayo majimbo yaliyojitenga, Russia anajaribu kuyavuta na kuyashawishi yajiunge nayo, huku akiyaimarisha kijeshi dhidi ya US mpya. Unadhani Marekani atakaa tu akitazama?
 
Jamiiforums imekosa umakini watoto mko wengi sana humu,kipi kinakufanya urudie neno moja muda wote
Acha undezi basi... Ina maana Yule anayezunguka kila Uzi akiandika " RUSSIA TAIFA TEULE" humuoni??,..,au kwa kuwa nimetoa mawazo yanayokukera?..,basi nitazidi kukukera tu..,

"" Jugement Day ""[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

""Jugement Day ""[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

"" Jugement Day "" [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Whataboutism ya Pro-Russia kuirejea US kila mara na kwa kila kitu is sickening.

Hamuwezi kuiongelea Russia, Historia yake na matendo yake maovu na ya kidhalimu bila kuitaja US?
Bila shaka unavuta historia ili kujaribu kuhalalisha ujahili wa Marekani dhidi ya mataifa mbalimbali. Historia yake mbaya haina sababu yoyote ya kuirudia hapa.

Hivi unajua kwamba US ilihusika almost 100% katika kupanga njama na kuiangusha former USSR (bila kutaja allies wake)?

Think like this: Russia anapanga njama za kuyasambaratisha majimbo ya Marekani. Then almost kila jimbo linajitenga na kujitegemea, isipokuwa machache yanayounda taifa moja jipya la Marekani.

Hivi unadhani haitakuwa haki ya hiyo Marekani mpya kujaribu kurejesha majimbo yake aliyohujumiwa?

Better (?) yet, imagine kwenye hayo majimbo yaliyojitenga, Russia anajaribu kuyavuta na kuyashawishi yajiunge nayo, huku akiyaimarisha kijeshi dhidi ya US mpya. Unadhani Marekani atakaa tu akitazama?
 
Marekani yalalamika kuwa Urusi imejipatia eneo huko Donbas, Ukraine lenye madini ya thamani ya zaidi ya Dola za kimarekani trilioni 12.4.

Mwambieni Biden atulie, hizo ni zawadi anazotunukiwa mshindi vitani. Kama anaona Urusi inafaidi sana, atume majeshi ya Marekani yakapiganie hayo madini yawe mali ya Marekani (kama wana ubavu wa kuingia vitani na Urusi)

SmartSelect_20220811-034109_Chrome.jpg

SmartSelect_20220811-034319_Chrome.jpg
 

Ukraine shells Zaporozhye nuclear plant – local authorities​

Latest attack comes as UN warns both sides to cease fighting near the facility
Ukraine. © Sputnik / Konstantin Mikhalchevsky
Ten shells launched by the Ukrainian army landed near the Zaporozhye nuclear power plant on Thursday, according to regional authorities. The facility is located in southeastern Ukraine but is currently under the control of Russian troops.
Vladimir Rogov, a member of the Zaporozhye Region military-civil administration, explained that five explosives landed near the commandant’s office at the plant, next to a welding site and a radioactive substance storage facility, causing grass in the area to catch fire.
Another five shells landed near the fire station beside the power plant, preventing a shift change.
Rogov said this was the second time the power plant had come under fire on Thursday and suggested that the strikes were being carried out by Ukrainian forces using multiple launch rocket systems and heavy artillery positioned in Dnepropetrovsk Region.
Russia warns of nuclear disaster ‘worse than Chernobyl’
READ MORE
Russia warns of nuclear disaster ‘worse than Chernobyl’
The military-civil administration of Energodar, the city closest to the power plant, said none of the strikes had led to fires at the reactors and no casualties had been reported.
The Zaporozhye nuclear power plant, which is considered to be the largest of its kind in Europe, was seized by Russian forces in late February, when Moscow launched its military campaign in the neighboring country. The facility continues to operate with Ukrainian staff under Russian control.
Last week, Ukrainian forces carried out a series of strikes on the plant, according to regional authorities, leading to a short circuit at the facility and starting a fire that was eventually put out.
Moscow has condemned Kiev’s attacks as “nuclear terrorism” and has accused it of holding the entirety of Europe hostage by conducting such “suicidal attacks.”
The Ukrainian side has repeatedly denied targeting the plant, and President Vladimir Zelensky has in turn accused Russia of shelling the facility.
Ukraine and the US have also accused Russian forces of using the plant as cover, a claim that Moscow has rejected
62f5093b85f54001d77c577e.jpg
 
Back
Top Bottom