Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Brigedia Generali Oleksiy wa Ukraine anasikitika na kulalamika kuwa Urusi imeongeza dozi ya mashambulizi ya anga kwenye tageti za kijeshi za Ukraine, inashambulia maradufu ya mashambulizi iliyoyafanya wiki zilizopita.

View attachment 2321176
Always majibu ya Russia Huwa cyo rafik hasa anapojeruhiwa[emoji635]
 
[emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]
Screenshot_20220812-005930.jpg
 
Bila shaka unavuta historia ili kujaribu kuhalalisha ujahili wa Marekani dhidi ya mataifa mbalimbali. Historia yake mbaya haina sababu yoyote ya kuirudia hapa.

Hivi unajua kwamba US ilihusika almost 100% katika kupanga njama na kuiangusha former USSR (bila kutaja allies wake)?

Think like this: Russia anapanga njama za kuyasambaratisha majimbo ya Marekani. Then almost kila jimbo linajitenga na kujitegemea, isipokuwa machache yanayounda taifa moja jipya la Marekani.

Hivi unadhani haitakuwa haki ya hiyo Marekani mpya kujaribu kurejesha majimbo yake aliyohujumiwa?

Better (?) yet, imagine kwenye hayo majimbo yaliyojitenga, Russia anajaribu kuyavuta na kuyashawishi yajiunge nayo, huku akiyaimarisha kijeshi dhidi ya US mpya. Unadhani Marekani atakaa tu akitazama?
Mkuu sidhani kwamba kuna haki ya kubadilisha mipaka kwa njia za vita. Marekani ilipigania vita karne ya 19 kurudisha majimbo ya kusini yaliyoasi, lakini kwa macho ya leo nisingekubali tena. Urusi ilipotea sehemu nyingi ambazo iliwahi kukamata kama koloni zake (Azerbaijan, Lithuania, Turkmenistan, na mengine). Hapana haina haki kushambulia nchi hizi.
Nchi hizo zote hazikuachana na Urusi kwa sababu ya ushawishi wa nje. Ziliachana kwa sababu ya historia yao ya ndani.

Kuna ukweli kwamba wakati wa vita baridi pande zote mbili zilijitahidi kuangusha upande mwingine. Urusi ilifaulu kuangusha serikali nyingi Ulaya baada ya 1946, tokeo lake lilikuwa NATO.
Urusi ilitumia pesa nyingi kugharamia vyama na makundi ya upinzani katika Ulaya, MareKani ilitumia nafasi yake kurusha propaganda huko Urusi.
 
Acha undezi basi... Ina maana Yule anayezunguka kila Uzi akiandika " RUSSIA TAIFA TEULE" humuoni??,..,au kwa kuwa nimetoa mawazo yanayokukera?..,basi nitazidi kukukera tu..,

"" Jugement Day ""[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

""Jugement Day ""[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

"" Jugement Day "" [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mzaha wa magasho uta uona tuu
 
Sioni sababu ya kubishana na wewe kwenye hii ishu.
Kwanzia mabeberu, Ukraine wenyewe na Russia, wote wamesema siyo shambulio.

Yaani mpaka Ukraine wenyewe na kupenda sifa zooote, hili wamelikana kweupe.

Sasa sijui tuna bishana nini? Au kujipa moyo tu baada ya kulishwa matango pori kwenye group zenu za Pro NATO.

Mimi ushahidi wa link zote nimesha weka na nimemaliza.
Urusi hawapendi sifa???

Sent from my SM-N9150 using JamiiForums mobile app
 
Upo wakati kulikuwa na mwenzetu humu anakuja na andiko au comment kwa kila hoja kuwa 'inasikitisha sana'....siku hizi simuoni humu inawezekana aliondolewa humu 'kistaarabu'.......

Lakini amejitokeza mwingine wa aina kama hiyo kwa comment yenye lugha mbovu ya 'jugement day'...mbaya zaidi anachukua jina la mwanahabari nguli wa kituo kimoja cha redion hapa nchini kp....bila shaka Mods watafanya yao ili upuuzi kama huu usafishwe humu....hili ni jukwaa la kuelimishana na siyo kuleta hoja za kipuuzi...
Malalamiko yako yamejikita kwa pande zote au wale wanaosema "URUSI TAIFA TEULE" hawapo?


Kila mmoja anaongea analopenda kwahiyo sikila analongea mwengine utalipenda.

Humu wapo wanaoita wenzao mashoga kwa Kila comentário je umechukia hilo?

Uliyemuona anakosea ni yule anaeandika ""jugement day""?
Jaribu kubalance kabla ya kuangalia upande mmoja.

Sent from my SM-N9150 using JamiiForums mobile app
 
Hawa warusi wanarusha mizinga toka kwenye hicho kinu cha nuclear halafu wanalaumu Ukraine ikijibu mashambulizi. Ni kichekesho Kwa kweli. Kwahiyo walitaka watumie nuclear plant kama ngao kwamba wao washambulie lakini wasishambuliwe kisa tu kuna nuclear
Walipue tu....kwani nani atapata madhara zaidi..si wao na watoto wao na Ardhi yao....tuwaache wakazi fuvu...
"Mbu akitua kwenye kende, ndo mtu hujua namna ya kusolve matatizo kwa akili bila mihemko" Hicho kinu cha nyuklia ni kama Kende za Ukraine, na hao Waruss hapo ni kama Mbu tu..sasa wachague wao nini cha kufanya
 
tutulie tusali kidogo
MWENYEZI MUNGU MUUMBA WA MBINGU NA NCHI TUNASHUKURU KWA KUTUAMSHA ASUBUHI YA LEO SALAMAMA KWA WOTO WENYE MATATIZO NA SHIDA MBALILI MUNGU WATIE NGUVU NA UWAINUE
MUNGU TUNAWAKABIDHI PRO-WEST/NATO MIKONON MWAKO BABA LAINISHA VICHWA VYAO VIPATE AKILI MANA VIMEJAA UPOPOMA MUANGALIE MK254 AMEJAA UKABILA NA UDINI KAMA NI MAPEPO MUNGU YATOE MANA NI HATARI KWA AFRICA YETU TUNAOMBA HAYA MACHACHE NA MENGI YALIYO MIOYONI MWETU TUKIJUA KWAKO YOTE YANAWEZEKANA
wote tuseme amen
 
tutulie tusali kidogo
MWENYEZI MUNGU MUUMBA WA MBINGU NA NCHI TUNASHUKURU KWA KUTUAMSHA ASUBUHI YA LEO SALAMAMA KWA WOTO WENYE MATATIZO NA SHIDA MBALILI MUNGU WATIE NGUVU NA UWAINUE
MUNGU TUNAWAKABIDHI PRO-WEST/NATO MIKONON MWAKO BABA LAINISHA VICHWA VYAO VIPATE AKILI MANA VIMEJAA UPOPOMA MUANGALIE MK254 AMEJAA UKABILA NA UDINI KAMA NI MAPEPO MUNGU YATOE MANA NI HATARI KWA AFRICA YETU TUNAOMBA HAYA MACHACHE NA MENGI YALIYO MIOYONI MWETU TUKIJUA KWAKO YOTE YANAWEZEKANA
wote tuseme amen
@kp kipanya44 amka usali.
 
Back
Top Bottom