Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Huwa mumezagaa kuanzia Mombasa kupitia Tanga hadi Pemba, na hayo ndio maeneo ambayo yanafahamika sana kwa ushoga, maana kwamba sio mabomu ya kujilipua ila pia na ubwabwa
Nipo busia Kenya. Kenya ndo mnaongoza kwa ushoga Hapa east Africa Kenya ushoga mpaka jeshi upo danganya wageni wa Hapa Kenya
 
Hivi mnakumbuka tuliambiwa wanajeshi 2000 wa urusi wamezungurukwa huko khersan vipi wamesha tekwa ama [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wamezingirwa fb

Sent from my TECNO RC6 using JamiiForums mobile app
 
Wamezimwaga tena, atachomoka kweli ?? Ni TZS Trillion 3.6

The British defence secretary has said Russia is unlikely to succeed in occupying Ukraine as Western nations pledged 1.5bn euros ($1.55bn) more to to help boost the Ukrainian military in its fight against Russia.
Hivi unajua Ukraine ilianza kupewa misaada toka 2014? Hivi unajua hivyo vihela Ukraine anavyopewa, Urusi inaingiza kiasi kwa siku,na kwa mwezi?
 
Naongea kuhusu sisi Waafrika, ya Ulaya hayanihusu, ila kwa sisi Waafrika maeneo yanayo ongoza kwa ushoga ni huko huko Pwani, ukitaja hicho kitu mikoani unaweza ukafa.
Huku kwetu Kenya hakuna Pwani,iko huko Dar na Zanzibar tu.
 
Mnachofanya ni utoto wa mtuhimwa aliyefikishwa mahakamani kwa wizi wa kuku wa jirani yake halafu anajitetea mbona fulani huwa anaiba Nguruwe mara nyingi tu lakini hakamatwi.
Huo sio utetezi wa mtu mwenye kichwa kizuri.
Hakuna mtu aliyekukatatza kutaja mabaya Urusi, mbona unakuwa mkali US inapotajwa kwa maovu yake?
 
Mnachofanya ni utoto wa mtuhimwa aliyefikishwa mahakamani kwa wizi wa kuku wa jirani yake halafu anajitetea mbona fulani huwa anaiba Nguruwe mara nyingi tu lakini hakamatwi.
Huo sio utetezi wa mtu mwenye kichwa kizuri.
Humu sio mahakamani na Wala Russia hajitetei humu!Sisi wana JF ambao sio warusi Wala wamarekani Wala wachina ndio tumo humu tunajadili!
So acha watu wajadiliane Kwa mapana yake,Ikifika mhala Russia akafikishwa mahakamani basi sidhani kama ataenda kujitetea Kwa kusema mbona fulani kafanya!
Acheni watu wafunguke Kwa upana wake!
 
Anzisha nyuzi zinazohusu hayo mambo.

Hapa tunazungumzia Uvamizi wa Russia huko Ukraine na nimeonyesha kwa kufupi jinsi gani Urusi amekuwa na historia ndefu ya kuvamia majirani zake.
Very nice,sasa leta list ya nchi za ulaya unazotetea zikizovamia nchi za Africa na kuzitawala na kuiba rasilimali na kuua watu,mwisho,leta list ya nchi Marekani ilizovamia toka ipate Uhuru mwaka 1776!
 
Mkuu sidhani kwamba kuna haki ya kubadilisha mipaka kwa njia za vita. Marekani ilipigania vita karne ya 19 kurudisha majimbo ya kusini yaliyoasi, lakini kwa macho ya leo nisingekubali tena. Urusi ilipotea sehemu nyingi ambazo iliwahi kukamata kama koloni zake (Azerbaijan, Lithuania, Turkmenistan, na mengine). Hapana haina haki kushambulia nchi hizi.
Nchi hizo zote hazikuachana na Urusi kwa sababu ya ushawishi wa nje. Ziliachana kwa sababu ya historia yao ya ndani.

Kuna ukweli kwamba wakati wa vita baridi pande zote mbili zilijitahidi kuangusha upande mwingine. Urusi ilifaulu kuangusha serikali nyingi Ulaya baada ya 1946, tokeo lake lilikuwa NATO.
Urusi ilitumia pesa nyingi kugharamia vyama na makundi ya upinzani katika Ulaya, MareKani ilitumia nafasi yake kurusha propaganda huko Urusi.
Katika historia ya Marekani ya miaka 300, imedumisha amani cumulatively kwa miaka 10 tu! Sounds familiar? In short, US na wote wanaomuunga mkono hawana uhalali na haki ya ku-police mataifa mengine.

Anapaswa akubali kwamba wale waliokuwa anadhani ni vitoto ambavyo yeye analisha apendavyo na kutishwa akitaka na kuwaamuru cha kufanya kadiri apendavyo, now wameshaota mabawa yao wenyewe. Too late AMERICANATO!

Vurugu na vita duniani vinaibuka na kuendelea kwa sababu ya ulimi mbaya na harakati chafu za Marekani. Nani asiyejua lengo lake la NWO na kuwa na sauti moja inayotoka Magharibi?

Ukweli mchungu ni kwamba kadiri anavyozidi kuwa tishio kwa Mashariki, ndivyo Russia anavyozidi kuwa imara na kuya-neutralize mataifa yanayojikomba kwake.

Think about recent situations in Cuba & Venezuela. Imagine kama Russia akiamua kwenda Meksiko ili akaiimarishe kijeshi. Sijui unaelewa haya kweli? Are you thinking (objectively)? Au wewe unaishi Planet Mars?
 
Back
Top Bottom