Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Huko ni mikoani kama ilivyo Dodoma na Mwanza, ushoga haujashamiri kama huko Pwani kwa dini yenu ya waarabu.

Unatutukana tukana waislamu una kipi cha kutufanya we mjinga mmoja uise Na aibu Na usiejielewa

Kwa hiyo matusi yako yatatudhuru nini waislamu Na kuumia kwako kwa chuki dhidi yetu ? Una nini unachoweza kutudhuru we mjinga muda wote umekalia upumbavu WA kututukana tukana Na kututajataja kiboya
 
Kiukweli mwamba unaboa sana,watu wasipo pendezwa na utani wako achana na hio kitu unapo lazimisha unaonekana mkorofi,Sijui kama unajifikiria marambilimbili ?
"" jugement Day "" ni kauli iliyotolewa na waziri wa mambo ya nje wa urusi Sergey lavrov wakati akiwachimba mkwara mzito Ukraine, kuwa wakijaribu kushambuliwa eneo la Crimea basi itakuja Ile siku ya kiama kwa taifa la Ukraine. ,Yeye mwenyewe aliita """ jugement Day""Sasa kauli nzito kama hii inapotolewa na kiongozi mwenye dhamana kama Sergey lavrov,alafu ikashindwa kutekelezeka lazima tujiulize maswali mengi sana [emoji848]

Na ni ukweli usiopingika kwamba wote wanaonikosoa kuhusu kauli hii ni pro-Russia.., maana hawaamini kama kweli Crimea ingeshambuliwa na uongozi wa dikiteta Putin na wadhulumaji wenzake wakakaa kimya bila kuchukua hatua Kali sana hambazo zingekuwa na madhara ya kutisha kwa taifa la Ukraine

Hivyo kwa kuendelea kuitaja "" jugement Day "" pro-Russia wanaona kama nawatonesha vidonda.., na ingetokea wale wanaoegemea upande wa Ukraine wakanikaripia kuhusu kauli hii,basi ningeifuta mara Moja, lakini kwa kuwa nawakera pro-Russia Wacha niendelee kuwakera tu,
pro-Russia wanamuona andunje dikiteta Putin na wadhulumaji wenzake kama miungu watu wasiostaili kukosolewa Wala kuambiwa chochote hambacho hawapendi kusikia kwa ufupi ni kwamba nitaendelea kukumbusha kauli hii ya waziri wa mambo ya nje wa urusi, Sergey lavrov

"" Jugement Day ""[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

"""Jugement Day""[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

"" Jugement Day""" [emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Kama una povu toa la kutosha,Nina nguo nyingi za kufua [emoji1787][emoji1787]
 
nakumbuka vizuri sana hilo tukio pia liliongelewa sana marekani nilikuwa ndio nimeingia nikiwa mgeni mgeni na all the main news channels were broadcasting and castigating their government
wacha niongezee na video hapa
Hahahaha kuna baharia kajificha kwenye mitambo hapo naona wakati dege linapita pembeni yao...
 
Pata habari za jioni

🇷🇺🇺🇦 RuMOD briefing on special military operation:

🔹 ZSU 14th Mechanized Brigade lost over 2000 personnel in fighting for Soledar, remaining personnel was withdrawn;
🔹 56th Motorized Brigade lost over 70% of personnel in DPR, its 23rd Battalion left combat positions in spite of order;
🔹 Around 100 servicemen of 28th Mechanized Brigade with 9 armor units eliminated in Novohrihor'ivka;
🔹 Over 50% of personnel of 3rd Battalion of 66th Mechanized Brigade eliminated in Mar'inka;
🔹 Around 40 personnel and 5 vehicles of 58th Motorized Infantry Brigade eliminated in Zaytseve;
🔹 Russian forces landed strikes on 5 operation rooms, fuel storage, 6 munitions depots, and 157 enemy groupings;
🔹 Artillery suppressed 4 Grad launcher platoons, 2 Akatsiya howitzers platoons, 4 D-30 howitzers platoons;
🔹 Air Defense shot down 5 UAVs and 6 rocket projectiles over Kherson Oblast.

#Russia #Rusia #Donbas #Ukraine #Ucrania #RuSO #RuMOD

@riafan_everywhere
 
[emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]
Screenshot_20220812-174242.jpg
 
Mnachofanya ni utoto wa mtuhimwa aliyefikishwa mahakamani kwa wizi wa kuku wa jirani yake halafu anajitetea mbona fulani huwa anaiba Nguruwe mara nyingi tu lakini hakamatwi.
Huo sio utetezi wa mtu mwenye kichwa kizuri.
Ni utetezi wenye mashiko sana hasa ukifikiria kwamba huyo mwizi wa nguruwe ndiye hakimu na jaji na wakili kwenye kesi ya kuku.
 
Mimi napo shangaa ni hapo tatizo ni NATO why Ukraine?kuhusu Ukraine kujiunga NATO Russia imesababisha. kabla ya uvamizi wa Crimea Ukraine haikua na mpango wa kujiunga NATO.baada ya kuvamiwa Ukraine ilikuwa inatafuta security garanti ambapo option pekee ni U.S au NATO
Tatizo siyo hasa Ukraine kujiunga na NATO (ingawa ni mojawapo). Unataka kujua sababu? Ukraine amethibitisha kwa Russia time and again kwamba yeye ni donda lisiloponyeka. Dawa yake ni kuli-sever.
 
Very nice,sasa leta list ya nchi za ulaya unazotetea zikizovamia nchi za Africa na kuzitawala na kuiba rasilimali na kuua watu,mwisho,leta list ya nchi Marekani ilizovamia toka ipate Uhuru mwaka 1776!
Hawezi kuleta huyo..yuko biased mno....angeweka listi ya USSR/Urusi...then akaweka USA& NATO...kweli ningemuona muungwana....haya mambo yakuonesha as if USA na west ni watakatifu ndo napinga kabisa
 
Naongea kuhusu sisi Waafrika, ya Ulaya hayanihusu, ila kwa sisi Waafrika maeneo yanayo ongoza kwa ushoga ni huko huko Pwani, ukitaja hicho kitu mikoani unaweza ukafa.
Huyu jamaa ni mkenya wa wapi huyu?

Ukiangalia mtililiko wa hoja zake, anataja Kenya kijumlajumla tu.

Hili songo ni la hapa hapa Ushokora Kaliua.
 
Huyu jamaa ni mkenya wa wapi huyu?

Ukiangalia mtililiko wa hoja zake, anataja Kenya kijumlajumla tu.

Hili songo ni la hapa hapa Ushokora Kaliua.
Nasikia ni Mkongo, ila alizaliwa Naijeria, akakulia Somalia na kusomea (hadi level ya PhD) kule South Sudan. Sasa ni mkimbizi wa kudumu hapa Bongo.
 
Waukrein wasemavyo kuhusuvita

‼️ 🇺🇦 🏴‍☠️ Summary of the General Staff of the Armed Forces of Ukraine: the Russian army is advancing in many directions

▪️ In the Slavyansk direction, the Russian army is conducting offensive battles in the directions of Apiary — Bogorodichnoye and Tikhoe — Dolina
▪️In the Kramatorsk direction, the Armed Forces of the Russian Federation conducted a reconnaissance in the direction of Belogorovka — Grigorovka.
▪️In the Bakhmut direction, Allied troops are advancing in the directions of Sporniye, Ivano-Darievka, Vyemka, Yakovlevka, Kodema, Vershki and Zaitsevo. In the direction of Pokrovskoye — Artemovsk, Russian troops are having success and are trying to gain a foothold.
▪️ In the Avdiivka direction, fighting in the areas of Spartak, Peskov and Maryinka.
▪️In the Novopavlovsky and Zaporizhia directions, the Armed Forces of the Russian Federation fired and advanced in the direction of Egorovka — Pavlovka.
: the Russian army is advancing in many directions

Vinu vimetua Ukraine kutoka UK - unajua hii balaa inaitwaje??

M270 MLRS - Kitamchungulia Putin kwa umbali wa Km 31.8

857 systems
Army ACAT IC Program
Total program cost (TY$)$1,969.1M
Average unit cost (TY$)$2.3M
Full-rate Production4QFY99
Prime ContractorLockheed Martin Vought Systems
Crew3 man
Cruise Range483 km
On Board Fire Control and Position Determining System
12 Rockets; 644 M-77 Shaped Charges per Rocket
Reload Time9 minutes
Rocket Range31.8 km
REFERENCES
  • TM 9-1450-646-10 Carrier Vehicle, MLRS, M993
  • TM 9-1425-646-10 Launcher- Loader Module (LLM), M269

View attachment 2321922
UK promised, UK delivered!
[emoji1255]
[emoji1666]
[emoji636]
More M270 MLRS arrived in Ukraine. Thanks to
@BWallaceMP
and all the
[emoji636]
people! Your support is amazing and so important for Ukraine. Our #UAarmy will skillfully use this "replenishment" at the battlefield. P.S. More “gifts” will arrive soon.
Ni ajabu Hawa watu kutwa wasifia silaha za NATO na hasa kutoka Us lakini Bado vitani hawasogei Bali wanarudi nyuma huku wakiacha ardhi yao ikikaribia kuitwa Russian Federation hata wasipotaka

Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
 
Waukrein wasemavyo kuhusuvita

[emoji845] [emoji1255] [emoji2526] Summary of the General Staff of the Armed Forces of Ukraine: the Russian army is advancing in many directions

[emoji3502] In the Slavyansk direction, the Russian army is conducting offensive battles in the directions of Apiary — Bogorodichnoye and Tikhoe — Dolina
[emoji3502]In the Kramatorsk direction, the Armed Forces of the Russian Federation conducted a reconnaissance in the direction of Belogorovka — Grigorovka.
[emoji3502]In the Bakhmut direction, Allied troops are advancing in the directions of Sporniye, Ivano-Darievka, Vyemka, Yakovlevka, Kodema, Vershki and Zaitsevo. In the direction of Pokrovskoye — Artemovsk, Russian troops are having success and are trying to gain a foothold.
[emoji3502] In the Avdiivka direction, fighting in the areas of Spartak, Peskov and Maryinka.
[emoji3502]In the Novopavlovsky and Zaporizhia directions, the Armed Forces of the Russian Federation fired and advanced in the direction of Egorovka — Pavlovka.

Sasa mbona Ni Kama wanasifia kupoteza ardhi yao kwa Urusi?

Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
 
Ni ajabu Hawa watu kutwa wasifia silaha za NATO na hasa kutoka Us lakini Bado vitani hawasogei Bali wanarudi nyuma huku wakiacha ardhi yao ikikaribia kuitwa Russian Federation hata wasipotaka

Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
Sasa mbona Ni Kama wanasifia kupoteza ardhi yao kwa Urusi?

Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
Usishangae sana sasa hivi, Sela Son . Bado kuna mengi ya kushangaa zaidi hapo baadaye. Hifadhi hiyo mishangao kwanza kwa sasa. Ni wazi Zelensky anataka vita viendelee hadi tone la mwisho la askari wa Ukraine.
 
[emoji845][emoji1263][emoji1666][emoji635]🇨[emoji1182]🇷Tommorow exercises under the command of Russia in Venezuela will begin,will last 2 weeks(August 13-27)

Joint exercises by Tehran, Moscow and Beijing in Barquisimto, located in the north-west of Venezuela

Maduro welcomed the joint exercises of [emoji1263][emoji635]🇨[emoji1182]🇷[emoji845]
 
Back
Top Bottom