Sijawahi kuchangia chochote kwenye uzi huu ila Leo nitachangia kidogo!!!! Nimeona kwenye huu kuna pande mbili wenyewe mnasema pro nato na pro Russia [emoji635] lkn wachangiaji wengi humu ni watu wenye ngoz nyeusi ambao kl siku tunapambana kujikwamua kwenye dimbwi la umaskini uliokisili haliyakuwa rasilimali tumezikalia swali LA kujihoji huu umaskini tulionao ni kutokana na viongoz tulionao au ni wakusababushiwa? Leo Hawa tunao waona WA maana na manufaa kwetu ndio ambao walitutesa na kuchukua kilicho chetu ndio ambao wametuulia viongoz ambao waliokuwa wanaonekana Kuja kuikomboa afrika kwa fikra na vitendo ndio Hawa kl siku wanatuletea vita milangon kwetu baadae wanarud kwa mwamvuki wa UN ni nini Kina sababisha hl baada ya ukolon kwisha wakaja na ukolon mamboleo una kuwa huru kwa bendela lkn mambo ya msingi kuhusu taifa lako huwez kujiamlia kwa mfano Enzi ya uhai WA muheshimiwa maguful Kuna mradi wa umeme km sikosei(stiggles George) km nimekosea namna ya kuandika mtanirekebisha huu mradi ulipingwa kutokea ndan mpk nje sababu kuu ni mazingira yataharibika pamoja eco system yote lkn wao wanamiviwanda mikubwa mfano kuhusu Bomba la gesi kutoka Uganda kupitia tanga bado wanakuja na sababu hyo hyo lkn Hawa pia mnawao washabikia ndio wale waliomvamia gadafi na wakamuua 2011 kwa kisingizio cha demokrasia na mauwaji ya halaki Leo nenda Libya nchi iliyokua inatililika maziwa Leo inanuka damu hakuna Amani Tena kl siku wakimbia nchi Yao wanafia baharin wao wamekaa makwao na Amani Tele watoto wa kiafrika ninyi ndio mtaifanya afrika iwe pepo ya pili ushabiki wa vita hv sion maana yake!!! Tuchoke na kupangiwa cha kufanya wao WA kufanya ni sahihi lkn we ukifanya ni haramu km tumeamua kupinga vita bc tupinge kwa wot!!! Hakuna vita isiyo kuwa na sababu ndio uwapo jeshini unaampa kumlinda amiri jeshi mkuu maslah ya taifa ndani na nje ya mipaka!!! Huu ni mda wa afrika kusimama pamoja kukemea kwa wote na kujijenga mwishi wa hii operation wenda mambo mengi yatabadilika iwe positively au negatively!!! Lkn pia Russia [emoji635] yuko kwenye operation hii kulinda maslah ya inchi yake km vile alivyo fanya Georgi bush kwa Iraq kwa msaada WA United Kingdom France pamoja na Canada km vile alivyo kwenda Yugoslavia km vile alivyo kwenda Iran mwaka 1975 huu c wakat WA kulaumiana na kuona fulani hayuko sahihi wenda kupitia hl mifumo ming utabadilika kuanzia world Bank na mataasisi yote ya Duniani. Afrika kwa kukosa maono na umoja tuna kubali kuangamiza uchumi wetu wenyewe kwa kupangiwa na watu wenye utajir wa kutosha tunapangiwa marafiki na shangaa kumuona degree holder anashabikia mataifa ambayo yametufanya sisi tuwe hp sisi afrika ni matajir kuliko wao