Bwana Utam
JF-Expert Member
- Feb 15, 2016
- 20,546
- 38,093
Hawasifii wanausema ukweli ingawaje mchunguSasa mbona Ni Kama wanasifia kupoteza ardhi yao kwa Urusi?
Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Hawasifii wanausema ukweli ingawaje mchunguSasa mbona Ni Kama wanasifia kupoteza ardhi yao kwa Urusi?
Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
Mkataba wa Minsk ulikuwa wa nini?Putini anatoa msaada kwa dikteta Bashir Al-Asad huko Syria dhidi ya wapinzani na waasi walioukataa utawala wa Damascus wa miaka 50 wa familia moja ya Al-Asad .
Ukraine Mashariki na Crimea hazikuwahi kuwa na Shida yeyote ya kujitenga mpaka pale dikteta Putin alipozivamia na kutengeneza kihoja cha kura kiini macho kuhalalisha uharamia wake. Sielewei tatizo liko wapi nchi huru kujijenga kijeshi na kutaka kudhibiti maeneo yake halali iwe kwa msaada au pesa zake yenyewe.
Gud
Vise verse. Neno lá pili kutoka mwanzo weka urusi na neno lá tatu kutoka mwisho weka marekani. Kwahiyo ukishafanya hilo na huyo urusi silolote.
Sent from my SM-N9150 using JamiiForums mobile app
Habari njema sana hii Multipolar[emoji845][emoji1263][emoji1666][emoji635]🇨[emoji1182]🇷Tommorow exercises under the command of Russia in Venezuela will begin,will last 2 weeks(August 13-27)
Joint exercises by Tehran, Moscow and Beijing in Barquisimto, located in the north-west of Venezuela
Maduro welcomed the joint exercises of [emoji1263][emoji635]🇨[emoji1182]🇷[emoji845]
Sasa unashangaaje nchi huru kutoa msaada kwa dikteta ikiwa imeamuaPutini anatoa msaada kwa dikteta Bashir Al-Asad huko Syria dhidi ya wapinzani na waasi walioukataa utawala wa Damascus wa miaka 50 wa familia moja ya Al-Asad .
Ukraine Mashariki na Crimea hazikuwahi kuwa na Shida yeyote ya kujitenga mpaka pale dikteta Putin alipozivamia na kutengeneza kihoja cha kura kiini macho kuhalalisha uharamia wake. Sielewei tatizo liko wapi nchi huru kujijenga kijeshi na kutaka kudhibiti maeneo yake halali iwe kwa msaada au pesa zake yenyewe.
Mpaka sasa hivi USA amebadili chupi 770 kila akivaa mavi yanagonga chupi anabadili [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sa hivi Marekani inajibiwa hovyo tu kila sehemu,M7 anawajibu shit,S/Africa wiki hii imewajibu utumbo, Rwanda juzi nao wamemjibu blinken kunya kunya tu.[emoji635] walishasema baada ya hii SMO niwazi DUNIA haitakua kabla ya hio SMO kwakila angle
KISIASA KIUCHUMI KIJESHI nk Lazma mambo yabadilike
Nahii itakua sio wakisema west iwe NDIO lazma kuwe na wakusema wengi
RUSSIA yupo sahihi kuendelea na hii SMO naiendelee mpaka watakapoona malengo yao yametimia
Sent using Jamii Forums mobile app
Bashar kuendesha taifa lake kidikteta westerners kuna wahusu nn !!?Mkuu je kuna sababu maalum zinazokufanya kutumia lugha ya matusi? Yaani kuona kwamba Bwana Assad anaendesha serikali kwa namna ya udikteta si gumu sana. Labda una sababu ya kumwona si vile? Ingekuwa vema kama ungeweza kuleta sababu zako! Labda unisamehe lakini kurejelea kwamba "propaganda" iko, haisaidii sana. Dunia hii inajaa propaganda kila upande.
Changamto ni kutambua propaganda na kuuliza: Je hali halisi ni ipi?
Akikujibu unitagTuachane na hizo lugha za matusi.
Kwa upande wako wewe niambie kulikua kuna uhalali gani wa marekani kuivamia syria??
Kabisa MKUU naona SMO inaenda vyema kabisaSa hivi Marekani inajibiwa hovyo tu kila sehemu,M7 anawajibu shit,S/Africa wiki hii imewajibu utumbo, Rwanda juzi nao wamemjibu blinken kunya kunya tu.
US atashinda na njaa MKUU [emoji23][emoji16][emoji23]Haya tunatoa nuke tunaweka pembeni, Russia vs US waingie field nani atashindaa??
Modern warfare ni very interesting indeed.The Russian drones search for Ukrainian positions at night, and in the morning the discovered fortifications are destroyed.
"There is nowhere to hide," says the AFU
Hivi iliishaje ,mana tuliambia 2000 wako mtu katiHivi mnakumbuka tuliambiwa wanajeshi 2000 wa urusi wamezungurukwa huko khersan vipi wamesha tekwa ama [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mkuu, siasa ya Assad ilisababisha vita ya wenyewe kwa wenyewe na milioni 5-7 hivi wanasemekana kutoka Syria walikibimbia nje ya nchi. Nasikia angalau milioni 3.5 wanakaa Uturuki, najua kwamba hali hii inaleta matatizo mengi nchini Uturuki kwa sababu wananchi wengi wanalalamika wakimbizi hao wanachukua nafasi za kazi za wazalendo kwa sababu wanapaswa kukubali kila kazi kwa pesa kidogo na hivyo kushusha mishahara.Bashar kuendesha taifa lake kidikteta westerners kuna wahusu nn !!?
Wao wanaamua kuupa ushoga na usagaji airtime wanaingiliwa nanani si wanaachwa
BASHAR na wengine waachwe waendeshe mataifa yao wanavyopenda wenyewe
Sent using Jamii Forums mobile app