Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Haya tunatoa nuke tunaweka pembeni, Russia vs US waingie field nani atashindaa??
Siombi vita lakni nakuambia urusi atachapwa mapema sana.

Kwanini urusi anayoyasema hayasimamii.

Urusi alisema atampiga kwa yoyote ambaye atamsaidia Ukraine silaha nchi nyingi wamemsaidia lakni ameshindwa ni kufanya aliloliongea. Sababu ni ipi?
 
Kwakua umenitaja hapo juu acha tu nikujibu kitu
Kuna utofauti mkubwa wamie nahuyo unae taka kujaribu kumtetea
Binafsi sijawahi kumuongelea kwenye hio tabia yake ila maranyingi hua anarejelea hilo swala
Mie hua naeka kujibu hoja baada ya mtu kueka hoja hilo neno huja mwisho kama kibwagizo
Ama hua nawajibu hvyo watu wanaotaka kuharibu mijadala kama ishara yakuwapuuza ili kuwakumbusha kama hapa tunajadili nini
Unakuta mtu kama yule anaejiita mkenya mjadala sio wadini analeta koment ya udini nitamjibu kipi zaidi yakumrejesha kwenye lengo kuu la uzi
Nahisi umenielewa MKUU ila pia niki tayar kuachana na hilo swala ikiwa haliwapendezi na linawakwaza
Ila tafadhali usinifananishe na huyo bwana unanikosea haswaaa
Niko tayari kukosolewa na kurekebishwa MKUU
(RUSSIA TAIFA TEULE )

Sent using Jamii Forums mobile app
Kama ni hivyo hamna tofauti yoyote kiufupi kila mmoja asimamie anachokiamini. Anaetakakuandika 'Jugment day' , 'No log off Z', na 'Taifa teule' yote ni sawa utofauti ni uasilishaji tu.
 
Shambulizi kubwa la Kherson laota mbawa
[emoji96] There is no Ukrainian offensive mounting in Kherson.

The Armed Forces of Ukraine are not able to conduct operations in the Kherson region.

The Washington Post correspondent visited the positions of the Ukrainian army in Nikolaev and learned interesting details about the situation at the front.

The Armed Forces of Ukraine complain about the lack of Western weapons and notice the arrival of reinforcements of the Armed Forces of the Russian Federation.

[emoji3502]The AFU servicemen cannot raise their heads because of the work of the Russian artillery.

The Russian drones search for Ukrainian positions at night, and in the morning the discovered fortifications are destroyed.

"There is nowhere to hide," says the AFU soldier.

Back on July 15, Reznikov admitted that his words about the counteroffensive were "misunderstood because of poor English."

@NewResistance
Yaani huyu jamaa amepelekwa Chaka kuanzia ushauri, siraha hadi lugha. Hahaaaa...
Eti because of poor English.
 
Unachowasifia ni nini, wametufanya tujione wajinga na hatuwezi kitu chochote si ndio, you think that you can't make what do they make.
Tusiwatukane wakati hatuna uwezo wakufanya hata kiberiti.

Siwasifu lakni na kuwadharau tusiwadharau mpka tutakapojiweza kwa kila kitu kinyume chake usimtukane mamba wakati hujavuka mto.

Na hutuna ujanja wakuweza kutotumia vya kwao.
 
Not anymore it is China.Lakini America ifanye inavyotaka hata kama vifaa tunavyotumia vingekuwa vyake?No,huo ni mtazamo finyu na mawazo mgando kabisa.Infact tunge-tegemea more responsible bahaviour,decisions and morals,tofauti na Marekani ilivyo sasa.America kwa sasa makes very stupid decisions and is morally bankrupt.Haistahili heshima kabisa and to be called a civilized nation.To me it is a rogue and an uncivilized nation.May be I should sum up by saying America is a "Banana Republic."
Hay ni mawazo yako.
 
Siombi vita lakni nakuambia urusi atachapwa mapema sana.

Kwanini urusi anayoyasema hayasimamii.

Urusi alisema atampiga kwa yoyote ambaye atamsaidia Ukraine silaha nchi nyingi wamemsaidia lakni ameshindwa ni kufanya aliloliongea. Sababu ni ipi?

Acha kuleta assumptions kwenye medani za vita haya tunaanza

Marekani na Russia wamekutana Syria Uyo supapawa wako wa mchongo akakimbia. Wakakutana tena Venezuela akakimbia tena. Marekani hana ubavu wa kupambana na Russia atapewa kichapo cha historia.

Kwanz wenyewe wanakwambia hatutaki vita ya moja kwa moja na Russia kama unaakili jiongeze. Alichomfanyia China unafikiri ataweza kufanya mbele ya Russia??

Marekani anapeleka silaha Ukraine ni kweli je ametangaza kupeleka jeshi?? Atangaze tu afu ndo mtajua Russia ni nani. Nakuuliza swali lingine Je hizo silaha anazopeleka zimesaidia nini pale Ukraine??

Marekani kazidiwa sana kwenye tech za kivita na Russia na matukio mengi sana ambayo Russia anayafanya kwa Marekani tena ya AIBU Anaishia kulaani na kulialia kwenye vyombo vya habari.

[emoji1371] Russia anamiliki hypersonic toka 2018. Marekani kwa kujikongoja kafanikiwa mwaka huu napo yenye spidi ya 5x ya sauti, mwenzie Russia anazo Zinazokwenda mpaka spidi ya 12x ya sauti

[emoji1371]Russia Kamwacha mbali sana US kwenye tech ya ICBM.

[emoji1371] Mifumo ya kujilinda ya anga / Airdefense missile systems. Mpaka sasa S-400 ndo best airdefense system duniani kumbuka Russia anazo S-500 na S-550 hii S-550 inadungua hypersonic missiles hadi satellite.

[emoji1371]Eloctronic warfare, nenda kaisome khibiny afu uliza alichofanyiwa Marekani kama sikosei 2014 kwenye meli yake ya kisasa USS Donald cook ambayo ilikua na Aegis combat system ambazo tuliambiwa ni hatari na balaa. Mwisho wa siku ilikutana na khibiny ilichofanyiwa ni AIBU.

Naomba niishie hapa ukija na hoja za mashiko tutaendelea kujadiliana
 
Kwakua umenitaja hapo juu acha tu nikujibu kitu
Kuna utofauti mkubwa wamie nahuyo unae taka kujaribu kumtetea
Binafsi sijawahi kumuongelea kwenye hio tabia yake ila maranyingi hua anarejelea hilo swala
Mie hua naeka kujibu hoja baada ya mtu kueka hoja hilo neno huja mwisho kama kibwagizo
Ama hua nawajibu hvyo watu wanaotaka kuharibu mijadala kama ishara yakuwapuuza ili kuwakumbusha kama hapa tunajadili nini
Unakuta mtu kama yule anaejiita mkenya mjadala sio wadini analeta koment ya udini nitamjibu kipi zaidi yakumrejesha kwenye lengo kuu la uzi
Nahisi umenielewa MKUU ila pia niki tayar kuachana na hilo swala ikiwa haliwapendezi na linawakwaza
Ila tafadhali usinifananishe na huyo bwana unanikosea haswaaa
Niko tayari kukosolewa na kurekebishwa MKUU
(RUSSIA TAIFA TEULE )

Sent using Jamii Forums mobile app
Huyu mkunya anaacha kufatilia uchaguzi wa rais wake anamfatilia Putin
 
🆕🔥🔥🔥Gazprom has started deliveries to Hungary in excess of the established contracts.
By the end of August, an additional 2.6 million cubic meters will be delivered daily via the Turkish Stream, the Hungarian Foreign Ministry said🔥🔥🔥
 
Mkuu, siasa ya Assad ilisababisha vita ya wenyewe kwa wenyewe na milioni 5-7 hivi wanasemekana kutoka Syria walikibimbia nje ya nchi. Nasikia angalau milioni 3.5 wanakaa Uturuki, najua kwamba hali hii inaleta matatizo mengi nchini Uturuki kwa sababu wananchi wengi wanalalamika wakimbizi hao wanachukua nafasi za kazi za wazalendo kwa sababu wanapaswa kukubali kila kazi kwa pesa kidogo na hivyo kushusha mishahara.
Nchi za Ulaya zinampa Erdogan pesa nyingi ili azuie Wasyria wasiendelee kuingia Ulaya na kuwalisha katika makambi, kuunda shule kwa watoto wao na mahali pa tiba. Hata hivyo, karibu milioni 1 waliingia Ulaya, Ujerumani wako zaidi ya nusu milioni.
Ukikaa Tanzania unaweza kujua jinsi gani idadi kubwa ya wakimbizi ni changamoto kwa nchi inayowapokea , kuwapa nyumba na kuwalisha (ingawa sehemu kubwa ya gharama inalipwa na jumuiya ya kimataifa -ambayo ni hasa nchi za kimagharibi- ila sehemu ya mzigo inayobaki kwenye nchi ni nzito).
Hata gharama za misaada kwa milioni za wakimbizi zinazobaki Syria ni kubwa na zinalipwa na taasisi za kimataifa.
Karibu kutueleza ni nani hasa anayegharamia misaada hii!!

Kuhusu hoja lako kila mtawala aachwe jinsi ya kuendesha taifa lake - ni dhahiri kuna utata kidogo kuhusu madikteta wanaotesa wananchi wao na kuwasababisha kukimbia nchi. Angalau Tanzania haikuwa tayari kuacha serikali za nchi jirani ziendelee kuzalisha wakimbizi jinsi wanavyotaka, sivyo?
Unaonaje? Nadhani tuko tayari kujifunza kutoka kwako.
Umeongea vingi ila sijajua ulikua unataka kuongea nn kuhusiana na wakimbizi wa SYRIA na ASSAD
Kenya uchaguzi wao ulisababisha mapigano ile ilikua udikteta au demokrasia !!?
Ivor coast watu waliuana sababu ikiwa demokrasia
Kote huko kulizalisha wakimbizi wa nje na ndani
Tukija hapo UKRAINE kimesababisha wakimbizi zaidi ya 10M shida udikteta ama nini !!!??
Sasa kwako sijajua ulitaka ama unataka kuongelea nini kuhusiana na SYRIA na wakimbizi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
🆕🔥🔥🔥Gazprom has started deliveries to Hungary in excess of the established contracts.
By the end of August, an additional 2.6 million cubic meters will be delivered daily via the Turkish Stream, the Hungarian Foreign Ministry said🔥🔥🔥
Yeah,Orbán ni pro Russia,hana sababu ya kukosa mafuta.
 
Kama ni hivyo hamna tofauti yoyote kiufupi kila mmoja asimamie anachokiamini. Anaetakakuandika 'Jugment day' , 'No log off Z', na 'Taifa teule' yote ni sawa utofauti ni uasilishaji tu.
Lini watu walilalama kuhusiana na uwasilishaji wangu ukitoa wewe
Uwasilishaji unatofauti kubwa wakwangu na wabwana huyo
Ila kwakua hachangiwi kitu simuingilii ana uhuru wakuamua kufanya

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu, siasa ya Assad ilisababisha vita ya wenyewe kwa wenyewe na milioni 5-7 hivi wanasemekana kutoka Syria walikibimbia nje ya nchi. Nasikia angalau milioni 3.5 wanakaa Uturuki, najua kwamba hali hii inaleta matatizo mengi nchini Uturuki kwa sababu wananchi wengi wanalalamika wakimbizi hao wanachukua nafasi za kazi za wazalendo kwa sababu wanapaswa kukubali kila kazi kwa pesa kidogo na hivyo kushusha mishahara.
Nchi za Ulaya zinampa Erdogan pesa nyingi ili azuie Wasyria wasiendelee kuingia Ulaya na kuwalisha katika makambi, kuunda shule kwa watoto wao na mahali pa tiba. Hata hivyo, karibu milioni 1 waliingia Ulaya, Ujerumani wako zaidi ya nusu milioni.
Ukikaa Tanzania unaweza kujua jinsi gani idadi kubwa ya wakimbizi ni changamoto kwa nchi inayowapokea , kuwapa nyumba na kuwalisha (ingawa sehemu kubwa ya gharama inalipwa na jumuiya ya kimataifa -ambayo ni hasa nchi za kimagharibi- ila sehemu ya mzigo inayobaki kwenye nchi ni nzito).
Hata gharama za misaada kwa milioni za wakimbizi zinazobaki Syria ni kubwa na zinalipwa na taasisi za kimataifa.
Karibu kutueleza ni nani hasa anayegharamia misaada hii!!

Kuhusu hoja lako kila mtawala aachwe jinsi ya kuendesha taifa lake - ni dhahiri kuna utata kidogo kuhusu madikteta wanaotesa wananchi wao na kuwasababisha kukimbia nchi. Angalau Tanzania haikuwa tayari kuacha serikali za nchi jirani ziendelee kuzalisha wakimbizi jinsi wanavyotaka, sivyo?
Unaonaje? Nadhani tuko tayari kujifunza kutoka kwako.
Ukraine 10million wameondoka..hii ni hatari sana..Zelensky mwenyewe kumbe wazazi wake kawapeleka Israel tayari....
 
Lini watu walilalama kuhusiana na uwasilishaji wangu ukitoa wewe
Uwasilishaji unatofauti kubwa wakwangu na wabwana huyo
Ila kwakua hachangiwi kitu simuingilii ana uhuru wakuamua kufanya

Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi sijalalamika kwa uandikaji wa neno lako ulilojiamulia kuliandika na toka mwanzo angalia comments zangu.

Wanaolalamika ni hawo wanaoona kinyaa chá kuchukizwa ni comment inayosomeka 'jugment day' kwasababu zao wenyewe.

Ndio nilisema kila mmoja anaongea kwa analoliamini.


Sent from my SM-N9150 using JamiiForums mobile app
 
“If Pelosi really cares about democracy and human rights, then she better visit Afghanistan, Iraq, Syria and Libya, where she can express remorse for the deaths of hundreds of thousands of civilians at the hands of the US military”, - Chinese Foreign Minister Wenbin

Yoda

Sent using Jamii Forums mobile app
US and all her supporters are only interested in eating where they did not make provision for food allowance.
 
AP News: Russian shelling heavy in east; Ukraine strikes key bridge.
 
Back
Top Bottom