Marekani soon inakuwa zilipendwa [emoji1787]
Mkuu tafadhali inasaidia Nini kujibu swali moja kwa kuongeza maswali kuhusu jambo tofauti ????Na vita ya US na shost zake kule IRAQ ilifukuza wangapi !!!??
Kwanza tunabishania kipi maana unaruka ruka hueleweki
Hujui hata unakiongelea kipi na kwanini unakiongelea
Punde ntaanza kua msomaji tu wa koments zako maana huelewi hata unakiongelea nn
Sent using Jamii Forums mobile app
Pale US anapojaribu kumnyooshea kidole Russia na kumwita eti sponsor wa ugaidi. Huoni kwamba kuna tatizo kubwa sana hapo?Mkuu tafadhali inasaidia Nini kujibu swali moja kwa kuongeza maswali kuhusu jambo tofauti ????
Yani matendo ya Marekani humo Iraki yalikuwa mabaya, sawa!
Je mabaya hayo yanaopunguza au kuondo nini?
Je yanaondoa ukatili wa Urusi ktk Ukraine?
Kwa Nini?
Marekani soon inakuwa zilipendwa 🤣
Hakuna anaepinga ukatili unaoendelea UKRAINEMkuu tafadhali inasaidia Nini kujibu swali moja kwa kuongeza maswali kuhusu jambo tofauti ????
Yani matendo ya Marekani humo Iraki yalikuwa mabaya, sawa!
Je mabaya hayo yanaopunguza au kuondo nini?
Je yanaondoa ukatili wa Urusi ktk Ukraine?
Kwa Nini?
NATO wakawatetee UKRAINE wanaonewa na PUT INHakuna watu wanaonishangaza kama Pro-Russia wanaoshangilia na kushadadia uvamizi wa Putin huko Ukraine ulioanzishwa kwa "false flag operation" na kila mara wakitumia US kama reference na uhalali wa imperial wars za Russia
Inadhihirisha ukosefu wa uelewa mpana wa historia na "contexts" pamoja kuendeshwa na mahaba zaidi kwa Putin(sio hata Russia yenyewe kama nchi na mambo yake mengine)
wewe utakuwa siyo mfuatiliaji wa siasa za kimataifa alichotaka kufanya USA na NATO wenzake Ukraine ndio icho icho ambacho kilitaka kuleta WW3 pale CUBA kati ya soviet union na USA anachofanya Russia ni sahihi kwa usalama wa nchi yake kumbuka alishawapa onyo toka mwanzo wakapuuziaHakuna watu wanaonishangaza kama Pro-Russia wanaoshangilia na kushadadia uvamizi wa Putin huko Ukraine ulioanzishwa kwa "false flag operation" na kila mara wakitumia US kama reference na uhalali wa imperial wars za Russia
Inadhihirisha ukosefu wa uelewa mpana wa historia na "contexts" pamoja kuendeshwa na mahaba zaidi kwa Putin(sio hata Russia yenyewe kama nchi na mambo yake mengine)
Masaki ya kisaraweSisi wa Ukraine wa Masaki mbona maisha tumeyapatia.. sijui nyie wa Russia wa Buza...
Mama Samia ongeza tozo, sisi bei ya kiwese tunaona ni bado chini sana....
Yaani hata Sisi tunashangaa unavyoitetea marekani iliyoivamia Iraq kwa kisingizio cha uwepo wa silaha za nyuklia wakati akina Scott Ritter walikagua wakadhibitisha kuwa Iraq haina silaha,baada ya uvamizi wa marekani silaha za nyuklia haxijapaitkana,Ila wizi wa mafuta Iraq ndio unafanyika.Hakuna watu wanaonishangaza kama Pro-Russia wanaoshangilia na kushadadia uvamizi wa Putin huko Ukraine ulioanzishwa kwa "false flag operation" na kila mara wakitumia US kama reference na uhalali wa imperial wars za Russia
Inadhihirisha ukosefu wa uelewa mpana wa historia na "contexts" pamoja kuendeshwa na mahaba zaidi kwa Putin(sio hata Russia yenyewe kama nchi na mambo yake mengine)
wewe utakuwa siyo mfuatiliaji wa siasa za kimataifa alichotaka kufanya USA na NATO wenzake Ukraine ndio icho icho ambacho kilitaka kuleta WW3 pale CUBA kati ya soviet union na USA anachofanya Russia ni sahihi kwa usalama wa nchi yake kumbuka alishawapa onyo toka mwanzo wakapuuzia
Sent using Jamii Forums mobile app
HIMARSMajeshi ya Urusi yaikomboa Peski huko Donetsk, pia yaangamiza mfumo wa HIMARS na ghala la kuhifadhia makombora ya HIMARS
View attachment 2323372
View attachment 2323373