Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

China ipo na vitu:-
1. China ipo na madini mengi sana

2. China ipo na cheap Labours hala wamesoma sana.

3. Population ya china ni kubwa, uhakika wa biashara

4. Sera za CCP, wamejikita zaidi kwenye collaborative busines.

5. Wachina wanafanya kazi sana.
Sahih.

Nazungumzia nchi km taasis kukopa,kwa mfano supa pawa wetu anamilik uchum mkubwa unaohodh matilion ya dola+rasilimal lkn bado anakopa.

Kwa upande wa china sijawah sikia kuwa nchi imekopa mahal au labda kias cha deni anachodaiwa kwenye mashirika ya kimataifa.

Najiuliza ni ufinyu wa taarifa nilizonazo kuhusu deni la china au jamaa hawadaiw kwel???
 
XI ambaye haishiw dili

Anakupa dili za bidhaa zako ukauze kwake kwa mashart nafuu ilhal yey hupasw kumlegezea mashart lkn mwishowe yey ndie anaefaidika

Ukitaka mkopo wa kias chochote unapata uwe wa miundombinu au kwa mengineyo kikubwa umshirikishe kwenye dili zinazoendana na matumiz ya huo mkopo.

Lkn wadau hv wachina km nchi wao huwa wanakopa wapi???
Mecheka sana hahahah🙂
 
Uvamizi wa USSR/Russia kwa majirani zake una historia ndefu sana, NATO sio sababu mojawapo bali sababu ni "imperial ambitions" za USSR/Russia kutaka kujionyesha na wao wana nguvu na ushawishi kama West. Inapotekea fursa na wanapodhani taifa jirani yao ni dhaifu wanavamia kutimiza malengo yao.

1.Mwaka 1939 - USSR ya dikteta Stalin iliivamia Finland katika "winter war"

2.Mwaka 1939 USSR Ikishirikiana na Wanazi wa Ujerumani kwa (Molotov-Ribbentrop Pact) walivamia Poland.

3.Mwaka 1940 USSR Iliivamia na kuikalia Latvia na baadaye kuimeza katika USSR

4.Mwaka 1940 USSR iliivamia na kuikalia Estonia na baadaye kuimeza

5.Mwaka 1940 USSR Ilivamia na kuikalia Lithunia na baadaye kuimeza

6.Mwaka 1979 USSR iliivamia Afghanistan katika vita vilivyodumu miaka 10.

7.Urusi iliivamia Chechnya mwaka 1994 kukatokea umwagikaji damu mbaya sana wakasitisha vita kwa muda, wakaivamia tena Chechnya 1999 na mwaka 2000 wakaimeza kabisa kama sehemu yao.

8. Urusi iliivamia George mwaka 2008

9. Urusi iliovami na kuichukua Crimea mwaka 2014

10.Mwaka 2022 Urusi ya Putin imeivamia Ukraine.

Hapa sijazungumzia vita na migogoro ya kijeshi kwa wanachama wa USSR walioonyesha kutotaka kuendelea na umoja huo kama Czech. Sijazungumzia mauaji ya kimbari ya Holodomor ya mwaka 1932-33,
Kama ni hv basi habari njema sana hizi kwaRUSSIA
Kama anaona inamfaa na ina maslahi kwake kuvamia aendelee kuvamia popote pale sababu yeye sio wakwanza nawala hatakua wamwisho
RUSSIA kamatia hapo hapo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kamata kitu Cha leoleo

❗🇷🇺🇺🇦 Highlights of Russian Military Operation in Ukraine on August 13, 2022

▪️In the morning, Ukrainian artillery shelled the village of Sverdlikovo in Kursk Region. No casualties.

▪️North of Kharkiv Region, soldiers of Russian Armed Forces' 200th Mechanized Rifle Brigade entered the village of Udy. Before that, Russian sabotage and reconnaissance groups destroyed several positions of AFU's 92nd Mechanized Brigade in the settlement.

▪️Russian missile troops and artillery hit targets in the Kholodnohirskyi and Industrialnyi districts of Kharkiv.

▪️In the morning, Russian Armed Forces struck the concentration of manpower in Kramatorsk. In the afternoon, explosions rocked Slovyansk.

▪️In the evening, a Ukrainian Su-25 flying from the direction of Druzhkivka was shot down near Kramatorsk.

▪️Fighting is taking place on the eastern outskirts of Soledar. Allied Force's units are advancing towards Refractory Plant from the previously liberated KNAUF Gips Plant.

▪️Clashes continue near Yakovlivka.

▪️In Bakhmut, Wagner's PMC units entrenched on the eastern outskirts of the city identify and suppress AFU strongholds for further advancement towards the city center.

▪️Allied Forces continue their advancement in Pisky. Artillery burns out AFU positions on the northwestern outskirts of the settlement.

▪️In Mar'inka, clashes take place along Druzhba Street. Artillery is constantly pounding Ukrainian army firing positions.

▪️Ukrainian artillery shelled Donetsk and Stirol Plant in Horlivka.

▪️Russian Armed Forces struck the positions of Ukrainian formations in Nikopol' and Marhanets’, from where they are shelling Zaporizhzhia Nuclear Power Plant.

▪️AFU struck Nova Kakhovka once again. Air defence operated in the city.

▪️Russian artillery and missile troops hit targets in Mykolaiv and the settlement of Domanivka, where a strong explosion was reported.

#digest #Russia #Ukraine #video
@rybar

*Support us: 0x4739352b67Da6F4064757627D92A08EaDd3fb6b6 (ETH) | 33i1BwMuzeYTAUNtiLa6CjvaHtTVYNJfnp (BTC)
 
Thanks for the updates
 
Shambulizi kubwa la Kherson laota mbawa
💢 There is no Ukrainian offensive mounting in Kherson.

The Armed Forces of Ukraine are not able to conduct operations in the Kherson region.

The Washington Post correspondent visited the positions of the Ukrainian army in Nikolaev and learned interesting details about the situation at the front.

The Armed Forces of Ukraine complain about the lack of Western weapons and notice the arrival of reinforcements of the Armed Forces of the Russian Federation.

▪️The AFU servicemen cannot raise their heads because of the work of the Russian artillery.

The Russian drones search for Ukrainian positions at night, and in the morning the discovered fortifications are destroyed.

"There is nowhere to hide," says the AFU soldier.

Back on July 15, Reznikov admitted that his words about the counteroffensive were "misunderstood because of poor English."

@NewResistance
 
Malalamiko yako yamejikita kwa pande zote au wale wanaosema "URUSI TAIFA TEULE" hawapo?

Kila mmoja anaongea analopenda kwahiyo sikila analongea mwengine utalipenda.

Humu wapo wanaoita wenzao mashoga kwa Kila comentário je umechukia hilo?

Uliyemuona anakosea ni yule anaeandika ""jugement day""?
Jaribu kubalance kabla ya kuangalia upande mmoja.

Sent from my SM-N9150 using JamiiForums mobile app
Kwakua umenitaja hapo juu acha tu nikujibu kitu
Kuna utofauti mkubwa wamie nahuyo unae taka kujaribu kumtetea
Binafsi sijawahi kumuongelea kwenye hio tabia yake ila maranyingi hua anarejelea hilo swala
Mie hua naeka kujibu hoja baada ya mtu kueka hoja hilo neno huja mwisho kama kibwagizo
Ama hua nawajibu hvyo watu wanaotaka kuharibu mijadala kama ishara yakuwapuuza ili kuwakumbusha kama hapa tunajadili nini
Unakuta mtu kama yule anaejiita mkenya mjadala sio wadini analeta koment ya udini nitamjibu kipi zaidi yakumrejesha kwenye lengo kuu la uzi
Nahisi umenielewa MKUU ila pia niki tayar kuachana na hilo swala ikiwa haliwapendezi na linawakwaza
Ila tafadhali usinifananishe na huyo bwana unanikosea haswaaa
Niko tayari kukosolewa na kurekebishwa MKUU
(RUSSIA TAIFA TEULE )

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]
Screenshot_20220813-130032.jpg
 
Sahih.

Nazungumzia nchi km taasis kukopa,kwa mfano supa pawa wetu anamilik uchum mkubwa unaohodh matilion ya dola+rasilimal lkn bado anakopa.

Kwa upande wa china sijawah sikia kuwa nchi imekopa mahal au labda kias cha deni anachodaiwa kwenye mashirika ya kimataifa.

Najiuliza ni ufinyu wa taarifa nilizonazo kuhusu deni la china au jamaa hawadaiw kwel???
Check hapa:-

1660385064000.png
 
Tutaona mazoezi ya kivita na Afghanistan, Bhutan, India, Kazakhstan, Kyrgyzstan, Laos, Myanmar, Mongolia, Nepal, North Korea, Pakistan, Russia, Tajikistan and Vietnam. Lazima USA m4vi yagonge chùpï.
Mpaka sasa hivi USA amebadili chupi 770 kila akivaa mavi yanagonga chupi anabadili [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Suvorov onslaught competitions in China, at the Korla training ground of the Xinjiang Uygur Autonomous Region.

Russian Federation, the Republic of Belarus, the Bolivarian Republic of Venezuela, the Islamic Republic of Iran, the People's Republic of China.
 
IMG_20220813_132758_075.jpg

1660386596553.png

‼️🇻🇪🤝🇷🇺🇨🇳🇮🇷Tommorow exercises under the command of Russia in Venezuela will begin,will last 2 weeks(August 13-27)

Joint exercises by Tehran, Moscow and Beijing in Barquisimto, located in the north-west of Venezuela

Maduro welcomed the joint exercises of 🇻🇪🇷🇺🇨🇳🇮🇷‼️
 
Harafu anatokea mkenya mmoja na njaa zake anakwambia Russia hajui anachokipata zaidi ya kupata hasara tu.

Yoda , FUSO , HIMARS , MK254 , kp kipanya44 , na UPOPO
Piteni hapa muone mafanikio yaliyoletwa na HIMARS za Bwana mkubwa wenu.

"Wanachukua mali zetu kwenye makaratasi sisi tunachukua mali zao kwenye ardhi"Medvedev

●A fact you have to know: Moyo wa uchumi wa Ukraine upo mashariki na kusini mwa Ukraine na hapo kwenye moyo ndo Mrusi kapakalia, hizo sehemu zingine zilizo baki haziwezi kutoa uhai wa uchumi wa Ukraine. Ila kwasababu wa Afrika tumeumbiwa mafuvu magumu ndo maana hatuelewi huu uhalisia hata tuambiwe vipi.

Another fact: Kijeshi, Ukraine haina uwezo wa kurudisha hata kijiji kimoja cha majimbo yake ya mashariki na kusini yaliyotwaliwa na Russia, Russia nae haiwezi kuruhusu hata kipande cha mita70 kutoka kwenye miji iliyo itwaa kurudi mikononi mwa Ukraine, unless kuwepo na mazungumzo yenye mashiko kwa pande zote mbili kitu ambacho kinaonekana kama "it is too late"
🙃
 
Back
Top Bottom