Axel Lloyd
JF-Expert Member
- Sep 10, 2017
- 4,170
- 9,502
Wanarusha Makombora toka kwenye nuclear plant wakidhani hawataguswa,wakiguswa wanalialiaWalipue tu....kwani nani atapata madhara zaidi..si wao na watoto wao na Ardhi yao....tuwaache wakazi fuvu...
"Mbu akitua kwenye kende, ndo mtu hujua namna ya kusolve matatizo kwa akili bila mihemko" Hicho kinu cha nyuklia ni kama Kende za Ukraine, na hao Waruss hapo ni kama Mbu tu..sasa wachague wao nini cha kufanya