Fursakibao
JF-Expert Member
- Dec 12, 2017
- 6,996
- 11,887
Huyu wengi tumeshapress ignore button. Yaani inaonekana akili hanaJamiiforums imekosa umakini watoto mko wengi sana humu,kipi kinakufanya urudie neno moja muda wote
Huyu wengi tumeshapress ignore button. Yaani inaonekana akili hanaJamiiforums imekosa umakini watoto mko wengi sana humu,kipi kinakufanya urudie neno moja muda wote
Mkuu wewe ndiye Chimano wa sauti sol?😂😂😂😂Naongea kuhusu sisi Waafrika, ya Ulaya hayanihusu, ila kwa sisi Waafrika maeneo yanayo ongoza kwa ushoga ni huko huko Pwani, ukitaja hicho kitu mikoani unaweza ukafa.
BeautifulThis is impressive.
Mwambie Putin safari hii wabebe mafuta ya kutosha kwenye vifaru vyao wasije anaza kuvitelekeza kama wanavyo fanya Ukraine. Setelaiti zao ni za kulushia channeli?Zina kazi gan huko anagan?Wakati we unawaza Crimea sisi tunakusanya taarifa za Kijasusi Alaska ndani ya Marekani Russia ni dude kubwa sana kuliko unavyolichukulia ila ubongo ndio mdogo [emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]View attachment 2320749
Russia atatumia hadi makutiNdugu mliambia kipigo bado hakijaanza. J3 mlionjeshwa hypesonic ballistic missile isiyozuilika. Tulieni ndio kwanza gemu linataka kuanzaView attachment 2320761
Nimesha mtoa siku nyingi, Huwa sipendi ujinga.click username ya huyo unaetaka kum ignore...utaona hiyo button/option
Katika historia ya Marekani ya miaka 300, imedumisha amani cumulatively kwa miaka 10 tu! Sounds familiar? In short, US na wote wanaomuunga mkono hawana uhalali na haki ya ku-police mataifa mengine.
Anapaswa akubali kwamba wale waliokuwa anadhani ni vitoto ambavyo yeye analisha apendavyo na kutishwa akitaka na kuwaamuru cha kufanya kadiri apendavyo, now wameshaota mabawa yao wenyewe. Too late AMERICANATO!
Vurugu na vita duniani vinaibuka na kuendelea kwa sababu ya ulimi mbaya na harakati chafu za Marekani. Nani asiyejua lengo lake la NWO na kuwa na sauti moja inayotoka Magharibi?
Ukweli mchungu ni kwamba kadiri anavyozidi kuwa tishio kwa Mashariki, ndivyo Russia anavyozidi kuwa imara na kuya-neutralize mataifa yanayojikomba kwake.
Think about the recent situations in Cuba & Venezuela. Imagine kama Russia akiamua kwenda Meksiko ili akaiimarishe kijeshi. Sijui unaelewa haya kweli? Are you thinking (objectively)? Au wewe unaishi Planet Mars?
Mimi napo shangaa ni hapo tatizo ni NATO why Ukraine?kuhusu Ukraine kujiunga NATO Russia imesababisha. kabla ya uvamizi wa Crimea Ukraine haikua na mpango wa kujiunga NATO.baada ya kuvamiwa Ukraine ilikuwa inatafuta security garanti ambapo option pekee ni U.S au NATOSidhani kama kuna mtu mwenye akili timamu anayesapoti vita na kumwaga damu. Nchi pekee inayojulikana kufurahia na kuchochea vita kwa manufaa yake ni huyo self-styled kiranja wenu wa dunia.
You must understand that even the UN itself recognizes (even more openly) the validity of Russian SMO. Russia aliiwasilishia NATO concerns zake (kwa amani) kuhusu usalama wake unaotishiwa na harakati mbaya za Ukraine. Then, mkamwona mbwakoko na mwendawazimu.
Alitumia njia ya mapatano, mkamdharau na kumwona kabwela asiye na madhara. Sasa ameamua kuvua sura ya huruma na kuvaa mwonekano mnaoweza kuelewa lugha yake, kusudi apiganie haki na usalama wa raia wake.
Usidhani Putin anafurahia kupoteza rasilimali zake (vitu na watu) vitani. Mmemlazimisha wenyewe na hivyo hana option nyingineyo.
Funny enough, hata Ukraine inavyoendelea kumegwa deile, uongozi wa Ukraine unazidi kuomba upewe silaha zaidi ili vita viendelee, licha ya tahadhari za mara kwa mara za Russia dhidi ya hatua hiyo isiyo na manufaa. Sasa nani kichaa hapo?
Lastly, msisahau kwamba since 2014 Ukraine imekuwa ikifanya vitendo vya mauaji ya raia (Russians and Russian-oriented) wasio na hatia nchini mwake mwenyewe.
Kama hamtaki kashikashi, basi kubalini kujisalimisha na kuwa wastaarabu. Otherwise, endeleeni kumsikiliza Mmagharibi wenu na kuifurahia show nzito ya Putin.
#TukutaneWintani!
Huyo jamaa hajui hayo.....mapro-NATO wa TZ hawajui kuwa Ukraine ilikuwa militarized tangu 2014...Wengi pia hawajui kuwa Ukraine kwa msaada wa west na NATO ilikuwa ianzishe mashambulizi dhidi ya East Ukraine (LDR na DDR) na Crimea Kati ya March na May) lakini Russia iliwawahi kwa kuanzisha mashambulizi February.Hivi unajua Ukraine ilianza kupewa misaada toka 2014? Hivi unajua hivyo vihela Ukraine anavyopewa, Urusi inaingiza kiasi kwa siku,na kwa mwezi?
Kwani busia kakamega nakuru zipo pwani? Nairobi nayo ipo pwani? tena Nairobi ndo si mchezo kwa ushoga
Ndio alijua west hawata jiingiza kwenye au kisaport UkraineNdugu ...wewe binafsi unaamini kuwa Russia hakujua kuwa vita vitachukua muda mrefu?! Wewe unaamini kuwa Russia hakujua kuwa West na NATO watajiingiza katika Vita hivi na kuvifanya viwe proxy war?! Wewe unadhani kuwa Russia hakujiandaa kwa options mbalimbali?!?! Yaani wewe Mtanzania uko huku kwetu TZ hats mipangilio ya hela ya Kula ya Kila siku inatushinda eti ndiyo tunajifanya kujua Mambo mazito ya planning, strategies, intelligence na military operations.....
Ndugu yangu, Kama hujui Russia ndilo taifa linaloongoza kwa Mambo ya kisayansi....
Kwenye mathematics na physics Russia ni nambari one....
Russia ilijipanga katika operation hi kwa karibu miaka 20....Ukraine na West wanaumia na wataumia zaidi....Ukraine is being strangled socially, militarily and economically....
Wewe ndo unataka kuhalalisha Russia kuivamia Ukraine kama sababu nini? why asi ivamie NATO au U.S wenyewe?hakuna taifa takatifu ila kwahili Russia imefeliBila shaka unavuta historia ili kujaribu kuhalalisha ujahili wa Marekani dhidi ya mataifa mbalimbali. Historia yake mbaya haina sababu yoyote ya kuirudia hapa.
Hivi unajua kwamba US ilihusika almost 100% katika kupanga njama na kuiangusha former USSR (bila kutaja allies wake)?
Think like this: Russia anapanga njama za kuyasambaratisha majimbo ya Marekani. Then almost kila jimbo linajitenga na kujitegemea, isipokuwa machache yanayounda taifa moja jipya la Marekani.
Hivi unadhani haitakuwa haki ya hiyo Marekani mpya kujaribu kurejesha majimbo yake aliyohujumiwa?
Better (?) yet, imagine kwenye hayo majimbo yaliyojitenga, Russia anajaribu kuyavuta na kuyashawishi yajiunge nayo, huku akiyaimarisha kijeshi dhidi ya US mpya. Unadhani Marekani atakaa tu akitazama?
Hata moscava ilivyo zamishwa Russia walikan. media zote na wataam wa vita wame kubal kuwa ni shambulizi hata picha za setelaitiSioni sababu ya kubishana na wewe kwenye hii ishu.
Kwanzia mabeberu, Ukraine wenyewe na Russia, wote wamesema siyo shambulio.
Yaani mpaka Ukraine wenyewe na kupenda sifa zooote, hili wamelikana kweupe.
Sasa sijui tuna bishana nini? Au kujipa moyo tu baada ya kulishwa matango pori kwenye group zenu za Pro NATO.
Mimi ushahidi wa link zote nimesha weka na nimemaliza.
Ina deal high value target
sisi wakenya tulimkana, si mkenya repeat si mkenyaPro russia wenzangu nina wasi wasi na uyu mkenya usikute ndio yule aliyepiga kura amevaa taulo[emoji16][emoji16]
Sent using Jamii Forums mobile app
Marekani yalalamika kuwa ndege za kijeshi za Iran zimekuwa zikifanya safari lukuki kwa fujo kwenda Urusi ktk kipindi hiki cha vita vya Ukraine. Toka April mwaka huu tayari ndege hizo zilizowekewa vikwazo zimefanya idadi ya safari zisizopungua 42 kwenda Moscow, ukilinganisha na safari 3 tu zilizofanywa na ndege hizo mwaka jana wote kwenda Moscow
View attachment 2321907View attachment 2321908
| 857 systems Army ACAT IC Program | |
| Total program cost (TY$) | $1,969.1M |
| Average unit cost (TY$) | $2.3M |
| Full-rate Production | 4QFY99 |
| Prime Contractor | Lockheed Martin Vought Systems |
| Crew | 3 man |
| Cruise Range | 483 km |
| On Board Fire Control and Position Determining System | |
| 12 Rockets; 644 M-77 Shaped Charges per Rocket | |
| Reload Time | 9 minutes |
| Rocket Range | 31.8 km |
| REFERENCES |
|
Kiukweli mwamba unaboa sana,watu wasipo pendezwa na utani wako achana na hio kitu unapo lazimisha unaonekana mkorofi,Sijui kama unajifikiria marambilimbili ?Ikikuuma ichomoe mkuu.., Mimi jukumu langu ni kuendelea kukumbusha;
"" Jugement Day ""[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
"" Jugement Day ""[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
"" Jugement Day ""[emoji1787][emoji1787][emoji1787]