Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Kuna siku urusi alikiri mojakwamoja kwamba anapigwa na kuharibiwa vifaa vyake pia?

Sent from my SM-N9150 using JamiiForums mobile app
Kuna siku urusi alikiri mojakwamoja kwamba anapigwa na kuharibiwa vifaa vyake pia?

Sent from my SM-N9150 using JamiiForums mobile app

Ndiyo, wala hawaogopi kusema ukweli kwa kuwa wanajiamini - maroketi au ma-drones yanayo wasumbua wanayafatilia kwa karibu na baadae kupata ufumbuzi jinsi ya ku-deal nayo, mfano: Drones za Ukraine zilizo kuwa zinanunuliwa huko Uturuki, mwanzo zilikuwa tishio kwa zana za kivita za Urusi lakini mwishowe wakajulia jinsi ya kuzidhibiti - siku hizi hazisikiki tena zinatunguliwa kwa kasi na SAMs za Pantsir mpya, hata HIMARS rocketi zake siku hizi zinakuwa intercepted na kulipuliwa na
 
Endeleeni kuleta tu video kutoka YouTube,Sisi tunaumiza kimya kimya [emoji635][emoji635]

Its only a matter of time...

1. Walisema vita ni uchumi na kwa uchumi wa Urusi asingeweza kupigana hata mwezi [emoji1787]
2. Walisema kwa vikwazo alivyowekewa ni suala la muda tu kabla Putin hajaondolewa madarakani kwa maandamano na raia wake [emoji1787]
3. Walisema Putin mgonjwa na amebakiza siku chache tu atakufwa [emoji1787]
4. Walisema sio tu donbass bali russia hawezi kuchukua hata inch moja zaidi ya territory ya ukraine na crimea watairudisha [emoji1787]
5. Walisema watagomea mafuta na gesi ya urusi wao pamoja na washirika wao. Kumkosesha Urusi pesa ya kupigana vita [emoji1787]
6. Walisema hawatolipia gesi ya Urusi kwa kutumia sarafu ya urusi [emoji1787]
6. Walisema... [emoji1787][emoji1787][emoji1787]

6 months and counting, alafu Putin anawajibu "wala hata hatufanya kitu chochote serious hapo Ukraine"

Mletee mykolaiv
 
Ukrainians FLEEING Kiev as Gov't Tells Kiev Workers "Work from Home starting Monday"​

WORLD HAL TURNER 21 AUGUST 2022

Ukrainians FLEEING Kiev as Gov't Tells Kiev Workers Work from Home starting Monday

Videos have emerged showing utterly massive traffic jams leading OUT of Kiev, Ukraine Sunday. Residents are FLEEING by the tens-of-thousands.
In addition, the Ukrainian government told all government workers in the Kiev Region to work-from-home beginning Monday.

So what prompted this sudden evacuation?
RUMOR has it that when Turkish President Recypt Erdogan and UN Secretary General Gutierrez visited with Ukrainian President Volodymyr Zelensky this week, they delivered an "Ultimatum" from Russia:
1) Agree to all the terms set out before the start of the Special Military Operation, OR;
2) On August 24, Ukraine will suffer a massive air and missile barrage destroying all the bridges across the Dnieper River, "Key Decision-Making centers", several electric generating stations, and the loss of Nikolaev and Odessa.
While this is RUMOR, clearly something has "spooked" residents of Kiev and they aren't taking any chances; they're fleeing.
 
US kununua silaha ya adui sio ajabu. Mbona alinunua Atlas Cheetah za South Africa? Kwahiyo nao waamini ndege zao ni hatari sana ndio maana US alizinunua. US aliwahi ipata Mig-25 Foxbat iliyokuwa inasifiwa mno na Soviets ila akaja gundua ni kubwa jinga na halina tishio lolote ndio maana hata SR-72 Blackbird haikuziweza. Ndege haikuwa hata na look down-shoot down.

US ana HIMARS zaidi ya 400 ila kapeleka jumla ya 16 kwa nyakati tofauti na Warusi wanateseka nazo. Su-27 ni 3rd generation, Mig 29 ndio fourth ila tafuta kill to loss ratio ya hizo ndege uone. Unajua kuwa McDonnell Douglas F-15 ina air to air kill ratio ya 108 to zero, yani kwenye engagement ambazo imekutana na ndege za adui angani na most of them ni Russian imedungua ndege 108 bila kudunguliwa hata mara moja. Tafuta ndege ya Urusi inayokaribia rekodi hiyo.

Kwani hizo ndege si walikuwa nazo Iraq, Syria, Egypt na wengine. Hata sasa si tunaziona hazipati air superiority kwenye anga la Ukraine.

Ntakujibu kitu kimoja kimoja - cha Kwanza USA ina ndege za upelezi type zaidi ya moja lakini zinazo julikana zaidi ni mbili nazo ni: U-2 (ambazo ziliwahi kutunguliwa huko Urusi na Cuba -.je, wewe hilo unalijua) nyingine ni SR-71 (hawana SR-72 labda kama bado hipo kwenye drawing board au virtual reality!) Urukaji wa SR-71 kukatiza anga la Urusi ulisitishwa ghafla miaka mingi iliyo pita baada ya Urusi kuunda a very fast and high altitude interceptor type MiG-31 yenye lengo la kuipa onyo USA hisiwe inatuma ndege zake za kipelelezi kukatisha anga la Urusi kiholela na kweli - siku moja Warusi wakaitegea ikiruka kutoka Pakistan na kuingia anga la Urusi, jeshi la anga la Urusi lika-scramble ndege mbilirge zake
 
Ukrainians FLEEING Kiev as Gov't Tells Kiev Workers "Work from Home starting Monday"​

WORLD HAL TURNER 21 AUGUST 2022

Ukrainians FLEEING Kiev as Gov't Tells Kiev Workers Work from Home starting Monday't Tells Kiev Workers Work from Home starting Monday

Videos have emerged showing utterly massive traffic jams leading OUT of Kiev, Ukraine Sunday. Residents are FLEEING by the tens-of-thousands.
In addition, the Ukrainian government told all government workers in the Kiev Region to work-from-home beginning Monday.
Here is one such video showing the traffic jam OUT of Kiev Sunday night:

So what prompted this sudden evacuation?
RUMOR has it that when Turkish President Recypt Erdogan and UN Secretary General Gutierrez visited with Ukrainian President Volodymyr Zelensky this week, they delivered an "Ultimatum" from Russia:
1) Agree to all the terms set out before the start of the Special Military Operation, OR;
2) On August 24, Ukraine will suffer a massive air and missile barrage destroying all the bridges across the Dnieper River, "Key Decision-Making centers", several electric generating stations, and the loss of Nikolaev and Odessa.
While this is RUMOR, clearly something has "spooked" residents of Kiev and they aren't taking any chances; they're fleeing.
Wamejichanganya kushambulia Crimea,Sasa Iskander zitakuwa zinashuka Kiev!
 
Wamejichanganya kushambulia Crimea,Sasa Iskander zitakuwa zinashuka Kiev!
Nadhani kitendo cha kumuua mtoto wa ally mkubwa wa Putin Alexander Dugin,pia kitawa-cost sana Ukraine,ngoja tusubiri.
Fuata link ifuatayo uone undani wa mauaji hayo.

More in this link👇

Tazama hii kumbe ndio maana anaomba wafungwa kwa kiduku jeshi limeisha.Hiki kipigo ni cha kihistoria [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Screenshot_20220822-135407_Samsung Internet.jpg
Screenshot_20220822-135443_Samsung Internet.jpg
 
Hitler aliiteka Poland yote plus maeneo ya Urusi ila hatima ya uvamiz ni aibu na fedheha tu
Ukraine wamejitakia wenyewe kwa kukubali kutumika na NATO, West na USA kwa lengo la kutaka 'kuiangamiza' Russia kiuchumi, kisiasa, kijamii, kiutamaduni na kijeshi. Wajilaumu wenyewe. Russia ilijiandaa kwa 'shughuli' hii na Ukraine will never be the same again.
 
Tazama hii kumbe ndio maana anaomba wafungwa kwa kiduku jeshi limeisha.Hiki kipigo ni cha kihistoria [emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 2331283View attachment 2331284
Kama ni hivyo NATO waingie basi kumaliza kazi.....Siyo kupiga kelele tu sijui eti Russia anakabiliwa na uhaba wa askari kwani hao NATO na Uingereza inawahusu hii???!!!
 
Back
Top Bottom