Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Russia imedungua garimoshi ilokuwa imebeba mzigo wa silaha ulokuwa ukipelekwa huko Donbass kwa makombora ya masafa marefu.

Raia 25 na wanajeshi wapatao 200 wa Ukraine wameuawa.

Marekani na Umoja wa Ulaya wamelaani shambulio hilo na wameliita ni la kigaidi.

Russia says it killed Ukrainian troops in rail attack in Chaplyne​

Russia’s defence ministry says it had killed Ukrainian troops in a railway station attack in central Ukraine that Kyiv said left 25 people, including children, dead.
“As a result of a direct hit by an Iskander missile on a military train at the Chaplyne railway station … more than 200 servicemen of the reserve of Ukraine’s Armed Forces and 10 units of military equipment en route to the combat zone in Donbas were destroyed,” the ministry said in its daily briefing.
Moscow also said it had destroyed eight Ukrainian fighter planes in raids against airbases in Ukraine’s Poltava and Dnipropetrovsk regions. That would be one of the heaviest losses for Ukraine’s air force in recent weeks.

Source: Aljazeera.

Akipiga kwenye mshono mashoga lazima wapige kelele[emoji16]
 
Hivi US kutumia billions of dollars anamukomoa nini Putin? Huoni Kama ni kuzidiwa kwenye uwanja wa vita? Kila mara ana fund mihangaiko ya Zelensky bila mafanikio yoyote kwenye uwanja wa vita.
Hakuna cha ku-recognize kwa US kutumbukiza mabilioni definitely ni kwamba Russia anawatesa vilivyo.
Mrusi wanammaliza taratibuu, vita si ya kuisha leo wa kesho hiyo azoee kuishi nayo.
 
Ingekuwa inapigana Directly Urusi isingekuwa nchi sahv
Na ule msafara ulifyekwa lkn

Mkuu sijui uelewa wako wa masuala haya ni wa kiwango gani-samani lakini.

Ni hivi mkuu,uwezi kuteketeza msafara wote huo kwa kutumia askari mmoja mmoja wa miguu aliye beba Javelin na anti tank nyingine zilizo undwa Urusi ambazo Waukraine bado wanazitumia - itakacho fanikiwa ni lucky shot ya kulipuwa kifaru/APC moja au mbili hivi basi, infantry wanavizia tu wakiwahiwa wanauwawa na wanajeshi wengi wa kukodi kutoka Ulaya na Merikani wamesema hawakuwahi kukutana na wanajeshi wa Urusi wanao tembea kwa miguu, wengi wa wanajeshi wa Urusi wanatumia magari ya vita na vifaru kusafiria mpaka robot zinatumiwa na Warusi kuondoa mines etc.

Narudia kuwakumbusheni kwamba uwezi kuteketeza msafara wote huo kwa kutumia askari watembeao kwa miguu wala artillery - uwezi, sana sana utaharibu viwili vitatu basi hata drone ina uwezo wa kulipua kifaru kimoja tu, hata hivyo kumbukeni Russia ilikuwa inatembea na Pantsir air defense system 24X7 ya ku-deal na drones zinazo undwa Utruki - ndio maana tulikuwa tunaona kifaru kimoja au viwili vikilipuliwa vikiwa barabarani wala havikuwa kwenye msafara.

Having said that, je, unaweza kutumia mbinu gani kuangamiza misafara mirefu ya magari,APC na vifaru - jibu ni: mbinu za ku-kuteketeza convoy ni kutumia Air Force specifically Chopper gunships (American Apache or Russian Mil-24) au tank busters kama(American A-10 tank buster equipped with Gantling machine gun or Russian SU-24 flying tank) ni nyenzo hizo peke yake zenye uwezo mkubwa wa kufyeka misafara ya kijeshi, mara nyingi katika operations kama hizo helicopter/ndege hizo uanza kuteketeza kifaru/gari la mwanzo kwenye msafara ili msafara usimame, wanateketeza kifaru/gari la mwisho ili msafara husirudi nyuma, wanateketeza kifaru/gari la katikati ya msafara kuwachanganya akili askari wanao endesha msafara, na mara nyingi askari hao ufungua milango na kujaribu kukimbia kwa miguu ili wajinusuru sasa hapo ndipo umalizwa na machine gun za helicopter gun ships au machine gun za A-10 au SU-24. katika hilo msafara mzima ulazimika kusimama hawana jinsi - hapo ndipo helicopters gunship uteketeza vifaru/magari moja baada ya nyingine hakuna kinacho salimika si vifaru/magari wala askari vyote vinafyekelewa mbali - Ukraine hawakuwa na uwezo kama huo kutokana na Airforce yao kuteketezwa na jeshi la Urusi mwanzoni mwa vita hii, picha nyingi na video clips zinazo onyeshwa na jeshi la Ukraine na watu wengine kwenye mitandao ni fake tu na nyingine actually ni vifaru vilivyo teketezwa na jeshi la Urusi na kwa kuwa zana nyingi za kivita Nchni Ukraine ni vya enzi za Kisoviet hivyo ni rahisi kudagayika, sisemi Warusi hawapati hasara na kupoteza maisha lakini habari nyingi zinazo tolewa na Jeshi la Ukraine niza kugushi tu ili kuonyesha Dunia kwamba wana uwezo wa ku-tame jeshi la Urusi ili waendelee kupatiwa misaada ya hali na mali.
 
Urusi imewanywa wanajeshi 200 wa Ukraine kwenye shambulio la stesheni ya treni

SmartSelect_20220825-154548_Chrome.jpg
 
Ok, verify hapa mafanikio yoyote aliyopata Zelensky kwenye uwanja wa vita kutokana na mikopo/misaada ya mabilioni ya dollar za US/NATO.
amefanikiwa kumzuia Mrusi asiangushe dola yake !! na hili ndiyo lengo kuu la kwanza. Sasa ameanza kuyarudisha maendo ambayo Mrusi alikuwa kayateka - hii ni kazi moja hadi ndani ya CRIMEA.
 
Hivi hao wanajeshi 200 kwanye hilo shambulio mmewatoa wapi sijaona chombo kingine kikubwa kimeripoti tazameni hii bbc
Screenshot_20220825-161647_Samsung Internet.jpg
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Hapo kwan umeona wame destroy warus wangap? Huoni kuwa ni documentary tu maigizo!!!! Hiv lini akili zenu zitawaza kibinadamu?
Kwa hiyo Ile nyingine zinakuwa sio video game sio?[emoji57]
 
Mkuu sijui uelewa wako wa masuala haya ni wa kiwango gani-samani lakini.

Ni hivi mkuu,uwezi kuteketeza msafara wote huo kwa kutumia askari mmoja mmoja wa miguu aliye beba Javelin na anti tank nyingine zilizo undwa Urusi ambazo Waukraine bado wanazitumia - itakacho fanikiwa ni lucky shot ya kulipuwa kifaru/APC moja au mbili hivi basi, infantry wanavizia tu wakiwahiwa wanauwawa na wanajeshi wengi wa kukodi kutoka Ulaya na Merikani wamesema hawakuwahi kukutana na wanajeshi wa Urusi wanao tembea kwa miguu, wengi wa wanajeshi wa Urusi wanatumia magari ya vita na vifaru kusafiria mpaka robot zinatumiwa na Warusi kuondoa mines etc.

Narudia kuwakumbusheni kwamba uwezi kuteketeza msafara wote huo kwa kutumia askari watembeao kwa miguu wala artillery - uwezi, sana sana utaharibu viwili vitatu basi hata drone ina uwezo wa kulipua kifaru kimoja tu, hata hivyo kumbukeni Russia ilikuwa inatembea na Pantsir air defense system 24X7 ya ku-deal na drones zinazo undwa Utruki - ndio maana tulikuwa tunaona kifaru kimoja au viwili vikilipuliwa vikiwa barabarani wala havikuwa kwenye msafara.

Having said that, je, unaweza kutumia mbinu gani kuangamiza misafara mirefu ya magari,APC na vifaru - jibu ni: mbinu za ku-kuteketeza convoy ni kutumia Air Force specifically Chopper gunships (American Apache or Russian Mil-24) au tank busters kama(American A-10 tank buster equipped with Gantring machine gun or Russian SU-24 flying tank) ni nyenzo hizo peke yake zenye uwezo mkubwa wa kufyeka misafara ya kijeshi, mara nyingi katika operations kama hizo helicopter/ndege hizo uanza kuteketeza kifaru/gari la mwanzo kwenye msafara ili msafara usimame, wanateketeza kifaru/gari la mwisho ili msafara husirudi nyuma, wanateketeza kifaru/gari la katikati ya msafara kuwachanganya akili askari wanao endesha msafara, na mara nyingi askari hao ufungua milango na kujaribu kukimbia kwa miguu ili wajinusuru sasa hapo ndipo umalizwa na machine gun za helicopter gun ships au machine gun za A-10 au SU-24. katika hilo msafara mzima ulazimika kusimama hawana jinsi - hapo ndipo helicopters gunship uteketeza vifaru/magari moja baada ya nyingine hakuna kinacho salimika si vifaru/magari wala askari vyote vinafyekelewa mbali - Ukraine hawakuwa na uwezo kama huo kutokana na Airforce yao kuteketezwa na jeshi la Urusi mwanzoni mwa vita hii, picha nyingi na video clips zinazo onyeshwa na jeshi la Ukraine na watu wengine kwenye mitandao ni fake tu na nyingine actually ni vifaru vilivyo teketezwa na jeshi la Urusi na kwa kuwa zana nyingi za kivita Nchni Ukraine ni vya enzi za Kisoviet hivyo ni rahisi kudagayika, sisemi Warusi hawapati hasara na kupoteza maisha lakini habari nyingi zinazo tolewa na Jeshi la Ukraine niza kugushi tu ili kuonyesha Dunia kwamba wana uwezo wa ku-tame jeshi la Urusi ili waendelee kupatiwa misaada ya hali na mali.
Wachambuz wa buza kwenye ubora wenu tuchambulieni kuhusu tozo basi
 
Back
Top Bottom