triga
JF-Expert Member
- Oct 16, 2015
- 1,029
- 5,712
Wazungu hawajui guerrilla warfareUrussi hata akishinda vita ila bado hata weza kuitawala ukraine yatakua ya marekani kwa taliban
Alafu Mbn crimea ilitulia tu.!?
Wazungu hawajui guerrilla warfareUrussi hata akishinda vita ila bado hata weza kuitawala ukraine yatakua ya marekani kwa taliban
Wewe unafurahia uwepo wa MAGAIDI!!!??naona umefurahi kweli sasa unapata faida gani watu wanavokufa
Kwani kipindi kile US anachochea Chechnya wajitenge kutoka Russia iliishia wapi?mkuu kwa dunia hii asili haisaidii chochote hata ikiwa hivo marekani lazima awatengenezee migogoro ya wao kwa wao itakua kama tigray full vurugu
aisee ko gharama zote za fedha na wanajeshi kufa lengo ni kushinda tu bila maslahi yoyote kwa urussi kama ndo hivo basi putin ni kichaaMuhimu tushinde tu hayo yakutawala sio kazi yetu
PUT UN kamatia hapo hapo
Sent using Jamii Forums mobile app
Hilo si bishii mkuu lakini kila chenye mwanzo kina mwishoKwani kipindi kile US anachochea Chechnya wajitenge kutoka Russia iliishia wapi?
Kwa nini unasema hivyo?Urussi hata akishinda vita ila bado hata weza kuitawala ukraine yatakua ya marekani kwa taliban
Ilitulia ndio lakini si umeona sahizi imetikiswa kidogoWazungu hawajui guerrilla warfare
Alafu Mbn crimea ilitulia tu.!?
Hizi ndio habari za kubumba hazina source famba wewe kalete source usiokote tuUmoja wa Mataifa (UN) mtuache tuna jambo letu.
UN’s Bachelet calls on Putin to halt armed attacks on Ukraine
UN human rights chief Michelle Bachelet has called on Russian President Vladimir Putin to halt attacks on Ukraine and said the Zaporizhzhia nuclear plant must be demilitarised
Asiekubali kushindwa si mshindani hongera kwa kukiriUrussi hata akishinda vita ila bado hata weza kuitawala ukraine yatakua ya marekani kwa taliban
Kwa nini unasema hivyo?
huwezi kusema unashinda halafu kila siku majimbo yanachukuliwaAsiekubali kushindwa si mshindani hongera kwa kukiri
Upo nyuma sana wewe mwehu mkubwa. Angalia source hii Al Jazeera.Hizi ndio habari za kubumba hazina source famba wewe kalete source usiokote tu
Naona Sasa umeruka,ulichotaka nimekuwekea halafu unarukia kwingine!Hayo mataifa unayosema yanamsaidia Ukraine yametoa meli za kisasa za kivita kama anazotumia Russia??
Vipi hayo mataifa yametoa ndege zao za kisasa za kivita ( mfano b15) kama hambavyo tumeona Russia akitumia ndege zao za kisasa??
Yametoa submarine kama anazotumia Russia huko black sea?
Yametoa makombora ya masafa marefu kama anayotumia Russia?
Alafu weka pia list ya mataifa yanayoisaidia urusi
Unafikiri Russia ni Tanzania kwamba marekani anafanya analolitaka?mkuu kwa dunia hii asili haisaidii chochote hata ikiwa hivo marekani lazima awatengenezee migogoro ya wao kwa wao itakua kama tigray full vurugu
Hata kwa akili yako ndogo tu huoni hizo picha ni za kutengeneza. Kuunga unga vipande vipande.Tazama Secret warehouse imetunguliwa na Himars.Kipigo heavy
Jamaa Wanamaliziwa mb bure na wahuni walioona fursa ya hao wajinga wajinga!Hata kwa akili yako ndogo tu huoni hizo picha ni za kutengeneza. Kuunga unga vipande vipande.