Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

The evil nature of the Zelensky Regime is now showing up:Russian soldiers in Ukraine hospitalized with severe chemical poisoning – Moscow​

Traces of the toxin Botulinum toxin Type B have been discovered, the Defense Ministry says
Russian soldiers in Ukraine hospitalized with severe chemical poisoning – Moscow

FILE PHOTO: An open storage for the collection of burnt ammunition containing toxicant agents. © Sputnik / Ilya Pitalev
Several Russian soldiers involved in the military operation in Ukraine have been hospitalized with severe chemical poisoning, the Russian Defense Ministry said on Saturday.
Traces of Botulinum toxin Type B, which is an “organic poison of artificial origin,” have been discovered in samples taken from the servicemen, the ministry said, accusing Kiev of “chemical terrorism.”
The Russian troops were “hospitalized with signs of severe poisoning” after being stationed near the village of Vasilyevka in Zaporozhye Region on July 31, the statement said.
“The Zelensky regime has authorized terrorist attacks with the use of toxic substances against Russian personnel and civilians” following a string of military defeats in Donbass and other areas, the ministry insisted.
Moscow plans to send laboratory tests from the soldiers to the Organization for the Prohibition of Chemical Weapons (OPCW).
Botulinum toxin, often called the “miracle poison,” is one of the most toxic biological substances known to science. Produced by the Clostridium botulinum bacteria, it blocks the release of the acetylcholine neurotransmitter, causing muscle paralysis.
Botulinum toxin Type A has been used in medicine in small doses in recent decades, especially to treat disorders characterized by overactive muscle movement. It’s also well known in cosmetology under its shortened name, Botox.
READ MORE: Russia warns of Ukrainian false-flag chemical attack
However, Botulinum toxin poses a major threat as a bioweapon due its ease of production and distribution, and the high fatality rate resulting from poisoning. Recovery is only possible after a lengthy period of intensive care
 
Tazameni tena milipuko leo jumamosi kwenye Airfield huko Chornobayivka milipuko mitatu ya nguvu vyuma vimetua nimeweka source 3 chini hapo. Operations Sabotage inaendelea kipigo cha mbwa koko[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Screenshot_20220821-012333_Samsung Internet.jpg
 
Tazama warusi walijaribu ku sabotage kambi ya kijeshi ya Ukrane kwa makombora ya Calibr bahati nzuri ulinzi uko imara yamedunguliwa hii ni aibu kwa super power.
Screenshot_20220821-015959_Samsung Internet.jpg
 
WaUkraine wamepanga msafara wa vifaru vya Urusi
Sema Superpower wa mchongo alikurupuka

Makomandoo wa Russia wameziteka Helicopter tatu za Ukraine walizopewa msaada nakuondoka nazo ziende maabara zikafanyiwe utafiti...
Hii Oparation Russia anaitumia vizuri kusoma Screpa za US na NATO....Jeshi la Russia linataka US ampe Ukraine F 35 waiteke nzima nzima iende maabara Kubinka Air Base.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]View attachment 2329594View attachment 2329595View attachment 2329596

[emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]View attachment 2329783
Mimi ni Maimuna....
 
Humu pametulia sana
Naona watu wanaanza kupunguza umuhimu na huu uzi...sababu ya jinsi uchangiaji wake ulivyo...tumehama kutoka professionalism tumeenda kwenye matusi, hisia binafsi, hasira, uongo, ma-video yasiyokuwa verified...yaan watu wanafanya kila hujuma kuonekana upande wao unashinda...kitu ambacho sio lengo halisi
 
Habari za mrusi kwa sasa ni kufunga gesi na kutumia yuan ila vitani nguvu ishaisha hakuna kitu anafanya tena so pro-rusia hakuna habari wanaweza kuleta ya frontline yenye source za kueleweka.
 
Makomandoo wa Russia wameziteka Helicopter tatu za Ukraine walizopewa msaada nakuondoka nazo ziende maabara zikafanyiwe utafiti...
Hii Oparation Russia anaitumia vizuri kusoma Screpa za US na NATO....Jeshi la Russia linataka US ampe Ukraine F 35 waiteke nzima nzima iende maabara Kubinka Air Base.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]View attachment 2329594View attachment 2329595View attachment 2329596

Sio Helicopters tu Russia anashikilia silaha nyingi sana mpak HIMARS. Pia jeshi la Ukraine baadhi sio waaminifu wamekua wanauza silaha kwa Warussi sababu ya kucheleweshewa malipo na morale haipo.

Kuhusu Crimea kuna matukio Russia anafanya hujuma kuonekana yanalipuliwa ili aendelee na moto wa operation maaana anapata faida kubwa sana pale. Uchimbaji wa madini unaendelea pale kwa maeneo anayoshikilia, vita anaendesha kupitia Ukraine wamekuja kushtuka juzi tu.
 
WaUkraine wamepanga msafara wa vifaru vya Urusi
Sema Superpower wa mchongo alikurupuka

Hivi unajua gazeti la Telegram nila Nchi gani - siwasemi vibaya jeshi la Ukraine na Zelensky lakini kwa taarifa yako hata wafadhili wao wamekwisha washutukia kwamba taarifa zao zimesheeni usanii mtupu, mfano:imegudurika kwamba picha na video clip ni za conflicts za 2014/15 kumbukeni zana nyingi za kivita zinozo tumiwa na jeshi la Ukraine niza enzi ya utawala wa Kisoviet ie zimeundwa Urusi - kuanzia: ndege,helicopter,vifaru,magari ya deraya,air defense system nk - kinacho endelea hapa pindi jeshi la Urusi likishambulia na kuharibu baadhi ya zana za jeshi la Ukraine zinazo fanana kwa kila hali MA zana za Urusi, Waukraine wanakimbilia kuweka alama za Urusi kwenye vifaru na zana nyingine wanapiga picha na video ili kuionyesha Dunia jinsi jeshi la Urusi linavyo pigika - kumbe usanii mtupu!! Sisemi jeshi la Urusi halipati hasara lakini incidents nyingi zinatiwa chumvi mno, Zelensky kwa ujeuri wake ameamua kuwatoa kafara Waukraine wenzake kwa maelfu ili kumfurahisha Biden, ukweli wa mambo jeshi la Ukraine linapoteza wanajeshi wengi na zana lukuki.

Sasa tukija kwa Zelensky mwenyewe ni kwamb deep down hana uchungu wa kweli kuhusu Ukraine na raia wake na Biden/Merikani vivyo hivyo - after all Zelensky na familia yake kesha nunua Mansion huko Miami Florida na kukwapua fedha za kutosha kwa maisha yake yaliyo bakia, why bother?
 
Wewe jamaa Huwa unaonekana kuwa msitaharabu sana hapa jukwaani

Nashangaa sana kwa nini ulishawishika kuunga mkono uvamizi wa urusi dhidi ya nchi huru hambayo haikuwai kurusha hata jiwe katika mipaka yake huku ikifanya mauaji ya raia wasio na hatia,na ushaidi kuwekwa wazi ,hata kama ni Kwa masrahi ya usalama

Una uwezo wa kuvumilia matusi,lugha za kejeri,kudhalilishwa,matusi ya nguoni na kila aina ya Tabia walizonazo members hapa jamiiforum

Hapa ndipo ninapozidi kuziona hekima za wahenga waliposema hakuna binadamu aliyekamilika hapa duniani
 
Hivi unajua gazeti la Telegram nila Nchi gani - siwasemi vibaya jeshi la Ukraine na Zelensky lakini kwa taarifa yako hata wafadhili wao wamekwisha washutukia kwamba taarifa zao zimesheeni usanii mtupu, mfano:imegudurika kwamba picha na video clip ni za conflicts za 2014/15 kumbukeni zana nyingi za kivita zinozo tumiwa na jeshi la Ukraine niza enzi ya utawala wa Kisoviet ie zimeundwa Urusi - kuanzia: ndege,helicopter,vifaru,magari ya deraya,air defense system nk - kinacho endelea hapa pindi jeshi la Urusi likishambulia na kuharibu baadhi ya zana za jeshi la Ukraine zinazo fanana kwa kila hali MA zana za Urusi, Waukraine wanakimbilia kuweka alama za Urusi kwenye vifaru na zana nyingine wanapiga picha na video ili kuionyesha Dunia jinsi jeshi la Urusi linavyo pigika - kumbe usanii mtupu!! Sisemi jeshi la Urusi halipati hasara lakini incidents nyingi zinatiwa chumvi mno, Zelensky kwa ujeuri wake ameamua kuwatoa kafara Waukraine wenzake kwa maelfu ili kumfurahisha Biden, ukweli wa mambo jeshi la Ukraine linapoteza wanajeshi wengi na zana lukuki.

Sasa tukija kwa Zelensky mwenyewe ni kwamb deep down hana uchungu wa kweli kuhusu Ukraine na raia wake na Biden/Merikani vivyo hivyo - after all Zelensky na familia yake kesha nunua Mansion huko Miami Florida na kukwapua fedha za kutosha kwa maisha yake yaliyo bakia, why bother?
Kwahyo hyo parade ni uongo na haipo
We unaamini ule msafara wa kilometer 56 kwenda Kiev uliyeyuka ghafla au unaaminije
 
Jeshi la Marekani zaidi ya 40% ni mashoga, homosexual nknk Marekani alipitisha hii sheria. Unabaki unajiuliza shoga ataweza mikiki ya vita? Acha ninyamaze tu[emoji23]
Mashoga hata wanatoa kipigo cha mbwa koko sabotage operation mpaka super power kaishiwa nguvu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Back
Top Bottom