Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

.
IMG_20220820_145246.jpg
IMG_20220819_175211.jpg
 
⭕️ اعتماد مردم روسیه به پوتین افزایش یافت

🔰نتایج آخرین نظرسنجی‎ها نشان می‎دهد که ۸۰ درصد از مردم روسیه به ولادیمیر پوتین رهبر این کشور اعتماد دارند.

⭕️ Russian people's trust in Putin increased

🔰The results of the latest polls show that 80% of Russian people trust Vladimir Putin, the leader of this country.

🆔بروکر جهانی ZTE-Forex
Mimi nakuambia ikipigwa kura ya maoni duniani kati ya Putin na Biden,Putin atamgaragaza pakubwa mno Biden
 
Ukizoea udaku, mkichwa unajaa udaku, Kila kitu kinakuwa udaku. Mwambieni Sam Missago size yake ni udaku tu hizi mambo zingine atulize makalio. Aendelee kufatilia Wema kavaa nini, Mond kamla nani, Kiba kagombana na nani.... Period!

Wakati ambao "dashboard" ya mwenzenu mmoja hapa jamvini, Mzee wa matangazo ya vifo Jackal ikisoma 44k+ ya Sam Missago inasoma 86k+ 😂😂😂 almost two times ya Kiev Independent (ambayo of course nayo ni matango pori).

Nyie nao mlivo vimeo as long as inazungumza 'ill' kuhusu Russia hata kufikiria mara 2 hakuna mbio mbio kuipost 😂.

Mwisho wa siku mkiitwa nanhiu mnalalamika. Anyway kazaneni wadau, kikubwa posho kwa sana wawazingatie. Mnajituma mno so kidogo 🤗.
 
SOURCE 1:Tayari huko Himars ishatua tena ndani ya Tusi Belgorod Region ammunition depoti nasema tutaelewana tu ngoma zinapigwa ndani ya Russia ni kipigo kwenda mbele.Nitaleta video source 3 semeni video game.

Ngoja tuone kiporo chetu kama hakijachacha[emoji41][emoji41]
 
SOURCE 1:Tayari huko Himars ishatua tena ndani ya Tusi Belgorod Region ammunition depoti nasema tutaelewana tu ngoma zinapigwa ndani ya Russia ni kipigo kwenda mbele.Nitaleta video source 3 semeni video game.

[emoji41][emoji41][emoji41]
 
Kwa uzoefu wangu, na nilivyo ona milipuko kwenye airbase ni wazi wahusika walitumia mbinu nilizo sema,yaani:wana-park kwa mbali van kama daladala ya kubebea mizigo ya supermarket au kubebea vegetables au mikate, ukikutana nalo wala uwezi kulitilia shaka - roketi launchers wanazipanga kiufundi kwenye van at a shallow angle ili zisiruke sana juu na kushtukiwa, zinawekewa vile vile steerable vanes ambazo ziko programmed kuwa guided na pre-programmed coordinates zinazo ongozwa na GPS, sasa payload utegemea mission yao wanalenga ku-achieve nini - kama target ni highly valued targets kama airbases na ammunition depot mara nyingi roketi payload inawekewa the most powerful high explosives type HMX kwa ajili ya kulenga hasa hasa ammunition depot kwa imani kwamba itasababisha a massive secondary explosion na kuharibu infrastructures na ndege zilizo egeshwa uwanjani, na hicho ndicho kilitokea kwenye airbase ya Crimea.

Narudia kuwakumbusheni kwa mara nyingine tena kwamba. milipuko ya maeneo ya Crimea yanasababishwa na hujuma za makomandoo na sio HIMARS, nikaongezea kwa kusema kwamba hizo ni mbinu za special force ya Uingereza (SAS), kwa sisi tunao wajua - dalili/mbinu za tukio zinaonekana dhaili kwamba operation ni type ya hujuma zenye lengo la kiharibu/hujumu airbase na ammunitions depots za Urusi.
Je FSB inakuwa wapi kwa muda huo?
 
Mambo mengine bwana!! Hivi unajua range za roketi za HIMARS, FYI Crimea is out of range, milipuko inayo tokea huko Crimea ina sababishwa na hujuma, kuna special forces ambazo nafikiri wahusika ni makomando wa Uingereza (SAS) nawajua vizuri mbinu zao - hao ndio wana ongozana na baadhi ya wanajeshi wa Ukraine kwenye vikundi vikundi ambavyo hawazidi watu watano watano, wanabeba vilipuzi au roketi launchers kwenye magari/van zinazo fanana na ambulance au daladala ambazo mapaa yake yamekatwa kwa juu,ukikutana nayo wala uwezi kujua kama paa zake zimeondolewa kwa juuu!!

Sasa nini ufanyika? Wanaendesha magari hayo mpaka karibu na kambi ya jeshi au ghara la silaha - wana-park gari hilo lenye rocketi launchers zilizo fungwa timer na GPS guided rockets ili zijifyatuwe zenyewe at opportune time and hit designate target - Warusi walisha sema kwamba milipuko inatokana na hujuma na wala hazisababishwi na HIMARS systems wala M770 Howitzers.
Kama unaongea haya ina maana hujui Range ya HIMARS au hujui Geographical location of Ukraine na CRIMEA
 
Hata Mimi nashangaa, mashambulizi ya hivi hata TISS wanaweza kuyazuia[emoji848]
Si rahisi kihivyo, kama TISS wanashindwa shauri kuhusu Tozo, usitegemee wakaweza kitu kama hicho.
Chuki iliyopo kati ya Tz na wananchi wake ikitokea Vita watu wanaweza muunga mkono adui
 
Tazama video live Rada ya Russia ikipigwa kombora.Kichapo bado ni heavy usiku na mchana hakuna kupumua.

 
Back
Top Bottom