Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Kiboko ya Warusi🤔
M142 HIMARS and MGM-140 ATACMS missiles.🤔
FB_IMG_1660972749339.jpg
 
Mkuu,Mathanzua unaonekana wazi wazi wewe ni muelewa wa kina wa masuala
Yeah,nimefanyia utafiti wa kina mambo mengi sana.Nimefanya hivyo kwa sababu mimi huwa sichukulii maelezo yeyote at face value,jambo lololote lazima nilihakikishe kwamba kweli ndivyo lilivyo.Kwa njia hiyo nimegundua kwamba tuliyo-aminishwa mengi ni uongo.Nina ujasiri wa kusema kwamba,kama watu wengi wangekuwa kama mimi,NWO wasingetufikisha walipo tufikisha leo,binadamu kwa umoja wetu tunge-kuwa tume shawashuhulikia!Matatizo mengi tuliyo nayo leo duniani,sijui climate change;magonjwa yasiyo-tibika;matatizo ya wakina mama yatanayo na uzazi wa mpango;Corona na chanjo zake,ambazo ni sumu;kuharibiwa kwa mifumo yetu ya Elimu, nk.nk.ni kwa ajili ya ujinga wetu.
 
Tenaa???? hii sasa chiboko !!

US preparing additional $800m in military aid for Ukraine: Report (Tshs 1,864,000,000,000)​

The United States has already sent billions of dollars of military aid to Ukraine, including weapons systems such as HIMARS.
Kwa kawaida na Hali halisi,ukiona mtu anaongeza chakula au hitaji lake ujue hajatosheka.
Ukiongeza kununua nguo ujue ulizonazo hazijakutosha,
Ukiongeza chakula ujue haujashiba.
Kwa maana hiyo ukiona USA anaongeza silaha na fedha kwa Ukraine ujue alizotuma mwanzo hazijatosha kufanya kazi iliyokusudiwa.
Kwa Nini,kwa sababu Urusi wanazinywa.
Nchi nyingine za NATO zimeishiwa pumzi.
 
Zaporozhye Nuclear Power Plant Reports 6-8 Explosions​

WORLD HAL TURNER 19 AUGUST 2022 HITS: 16163
Zaporozhye Nuclear Power Plant Reports 6-8 Explosions

Operators of the Zaporozyhe Nuclear Power plant in Ukraine are reporting six to eight explosions very near the plant as of 6:00 AM eastern US Time Friday, August 19, 2022.
Russia again says Ukraine is shelling the plant and a nuclear disaster could be created by that shelling. Russian air defenses are being used against the incoming attacks, as shown in the video below:

Ukraine has repeatedly denied shelling the plant and claims Russia is shelling themselves at the plant to create a false flag event.
Whomever one believes, there is no doubt that an artillery shell hitting certain areas of a nuclear power plant can result in a radiation disaster for the entire eastern European Region.
The graphic below shows how radiation would travel today and into the weekend if a shell causes a radiation leak:
 
Attachments

  • ZaporozyheNPP-RadiationProjection-08-19-2022.mp4
    587 KB
Unafikiri Putin anaweza mfanyaje USA. Tuache tu unafiki na tuongee ukweli kama rusia ameshindwa kuiteka Ukraine Hadi Leo. Je mziki wa USA atauweza tuseme tu ukweli

Sent from my TECNO KG6 using JamiiForums mobile app

Putin anaweza mfanyaje USA!! Are you serious?? Yaani huna habari kwamba ni taifa la Urusi pekee lenye uwezo mkubwa wa kuichakaza vilivyo USA, kwa bahati nzuri USA inalitambua sana hilo, ndio maana muda wote ukwepa kuingia vitani moja kwa moja na Urusi anawatumia watu wajinga na clowns kama Zelensky - sisemi kwamba USA hana uwezo wa ku-retaliate massively - lakini kumbukeni Urusi ilisha jiwekea kwa miaka mingi tu contingency plans za ku-deal na thermonuclear attacks from the USA, na wao wata athilika kiasi lakini sio to that extent, I presume.
 
Ujerumani naambiwa viwanda vimesimama sababu ya power shortage , hawatakubali na mrusi ndio kafunga koki . Vita itakuwa kubwa sana baada ya gas kukatwa West hawatakubali kuwa kimya . Watatumia all resources available

Sent from my TECNO RC6 using JamiiForums mobile app
Mnafikiri urusi ni sawa na Tanzania wanaopewa mikataba feki ya madini na gesi
 
Hii ilikuwa siku ya kazi, wanaume walifanya kweli.

⚡️Russian Defence Ministry report on the progress of the special military operation in Ukraine

▫️The Armed Forces of the Russian Federation continue the special military operation in Ukraine.

💥High-precision weapons of the Russian Aerospace Forces have hit combat positions of Kraken nationalist formation and a unit of foreign mercenaries near Andreevka, Kharkov Region, killing over 100 militants, including up to 20 US mercenaries.

✈️💥Russian Aerospace Forces operational-tactical aviation near Velikomikhailovka in Dnepropetrovsk Region have almost completely destroyed a battalion of 110th Territorial Defence Brigade of AFU, with losses of at least 200 nationalists killed and over 150 wounded.

💥As a result of strikes on combat positions of a tank battalion of 28th Mechanized Brigade near Kiselevka, Nikolaev Region, and 212th Rifle Battalion of AFU near Apostolovo, Dnepropetrovsk Region, the enemy has suffered over 200 casualties.

💥High-precision ground-based weapons have destroyed up to 130 fighters and 8 units of special vehicles in the area of AFU's manpower and military equipment of 27th Battalion of 127th Territorial Defence Brigade concentration in northern Kharkov.

💥High-precision air-based missiles have destroyed over 200 personnel, two tanks and 7 special vehicles of 3rd and 12th battalions of 25th Airborne Brigade of AFU near Zvanovka and Paraskovievka in Donetsk People's Republic.

💥Operational-tactical and army aviation, missile troops and artillery strikes continue against military facilities in Ukraine.

▫️7 command posts of AFU, including of 53rd Mechanized Brigade near Vodyanoye, 58th Motorized Infantry Brigade in Soledar district in Donetsk People's Republic, as well as 187 areas of manpower and military equipment have been hit.

▫️1 self-propelled Buk-M1 surface-to-air missile launcher near Shevchenko, 4 ammunition depots near Galitsynovka, Konstantinovka, Shabelkovka in Donetsk People's Republic and Belaya Krinitsa in Kherson Region, 3 fuel depots near Slobozhanskaya in Kharkov Region, Konstantinovka and Galitsinovka in Donetsk People's Republic, and 1 US-made ANTPQ-36 counter-battery radio station near Kramatorsk.

💥Russian air defence means have destroyed 6 Ukrainian unmanned aerial vehicles near Vrubovka in Lugansk People's Republic, Novomikhailovka, Staromlynovka in Donetsk People's Republic, Bogoroditskoye in Nikolaev Region, Novozlatopol' in Zaporozhye Region and Fedorovka in Kharkov Region.

▫️In addition, 13 rockets of Olkha multiple-launch rocket system have been shot down in the air near Kakhovskaya hydroelectric power station in Kherson Region and Militopol' in Zaporozhye Region.

📊In total, 267 Ukrainian airplanes and 148 helicopters, 1,776 unmanned aerial vehicles, 367 anti-aircraft missile systems, 4,354 tanks and other armored combat vehicles, 809 multiple launch rocket systems, 3,320 field artillery and mortars, as well as 4,969 units of special military vehicles were destroyed during the operation.

#MoD #Russia #Ukraine #report
@mod_russia_en
 
⭕️ اعتماد مردم روسیه به پوتین افزایش یافت

🔰نتایج آخرین نظرسنجی‎ها نشان می‎دهد که ۸۰ درصد از مردم روسیه به ولادیمیر پوتین رهبر این کشور اعتماد دارند.

⭕️ Russian people's trust in Putin increased

🔰The results of the latest polls show that 80% of Russian people trust Vladimir Putin, the leader of this country.

🆔بروکر جهانی ZTE-Forex
 
Haya tazama video Rusia wameondosha ndege za vita huko Crimea wanahofia panaweza kukucha vibaya kipigo cha mbwa koko wanajua Himars inapiga kuanzia usiku

Mambo mengine bwana!! Hivi unajua range za roketi za HIMARS, FYI Crimea is out of range, milipuko inayo tokea huko Crimea ina sababishwa na hujuma, kuna special forces ambazo nafikiri wahusika ni makomando wa Uingereza (SAS) nawajua vizuri mbinu zao - hao ndio wana ongozana na baadhi ya wanajeshi wa Ukraine kwenye vikundi vikundi ambavyo hawazidi watu watano watano, wanabeba vilipuzi au roketi launchers kwenye magari/van zinazo fanana na ambulance au daladala ambazo mapaa yake yamekatwa kwa juu,ukikutana nayo wala uwezi kujua kama paa zake zimeondolewa kwa juuu!!

Sasa nini ufanyika? Wanaendesha magari hayo mpaka karibu na kambi ya jeshi au ghara la silaha - wana-park gari hilo lenye rocketi launchers zilizo fungwa timer na GPS guided rockets ili zijifyatuwe zenyewe at opportune time and hit designate target - Warusi walisha sema kwamba milipuko inatokana na hujuma na wala hazisababishwi na HIMARS systems wala M770 Howitzers.
 
Hii ilikuwa siku ya kazi, wanaume walifanya kweli.

⚡️Russian Defence Ministry report on the progress of the special military operation in Ukraine

▫️The Armed Forces of the Russian Federation continue the special military operation in Ukraine.

💥High-precision weapons of the Russian Aerospace Forces have hit combat positions of Kraken nationalist formation and a unit of foreign mercenaries near Andreevka, Kharkov Region, killing over 100 militants, including up to 20 US mercenaries.

✈️💥Russian Aerospace Forces operational-tactical aviation near Velikomikhailovka in Dnepropetrovsk Region have almost completely destroyed a battalion of 110th Territorial Defence Brigade of AFU, with losses of at least 200 nationalists killed and over 150 wounded.

💥As a result of strikes on combat positions of a tank battalion of 28th Mechanized Brigade near Kiselevka, Nikolaev Region, and 212th Rifle Battalion of AFU near Apostolovo, Dnepropetrovsk Region, the enemy has suffered over 200 casualties.

💥High-precision ground-based weapons have destroyed up to 130 fighters and 8 units of special vehicles in the area of AFU's manpower and military equipment of 27th Battalion of 127th Territorial Defence Brigade concentration in northern Kharkov.

💥High-precision air-based missiles have destroyed over 200 personnel, two tanks and 7 special vehicles of 3rd and 12th battalions of 25th Airborne Brigade of AFU near Zvanovka and Paraskovievka in Donetsk People's Republic.

💥Operational-tactical and army aviation, missile troops and artillery strikes continue against military facilities in Ukraine.

▫️7 command posts of AFU, including of 53rd Mechanized Brigade near Vodyanoye, 58th Motorized Infantry Brigade in Soledar district in Donetsk People's Republic, as well as 187 areas of manpower and military equipment have been hit.

▫️1 self-propelled Buk-M1 surface-to-air missile launcher near Shevchenko, 4 ammunition depots near Galitsynovka, Konstantinovka, Shabelkovka in Donetsk People's Republic and Belaya Krinitsa in Kherson Region, 3 fuel depots near Slobozhanskaya in Kharkov Region, Konstantinovka and Galitsinovka in Donetsk People's Republic, and 1 US-made ANTPQ-36 counter-battery radio station near Kramatorsk.

💥Russian air defence means have destroyed 6 Ukrainian unmanned aerial vehicles near Vrubovka in Lugansk People's Republic, Novomikhailovka, Staromlynovka in Donetsk People's Republic, Bogoroditskoye in Nikolaev Region, Novozlatopol' in Zaporozhye Region and Fedorovka in Kharkov Region.

▫️In addition, 13 rockets of Olkha multiple-launch rocket system have been shot down in the air near Kakhovskaya hydroelectric power station in Kherson Region and Militopol' in Zaporozhye Region.

📊In total, 267 Ukrainian airplanes and 148 helicopters, 1,776 unmanned aerial vehicles, 367 anti-aircraft missile systems, 4,354 tanks and other armored combat vehicles, 809 multiple launch rocket systems, 3,320 field artillery and mortars, as well as 4,969 units of special military vehicles were destroyed during the operation.

#MoD #Russia #Ukraine #report
@mod_russia_en

Niliwahi kumsikia Zelensky alilalamika kwamba anapoteza wanajeshi 600 -1,000 kila siku kutokana na mashambulizi ya ndege, Helicopters, long range Howitzers, Stalin Organs, multi rocket launchers, high precision cruise missiles etc, amekubali vile kwamba Urusi ina uwezo wa kufyatua/rusha zaidi ya makombora/shells/roketis zaidi ya 3,000 kila siku - hivi huyu mental Zelensky bado ana ndoto za mchana za kujitutumua kwamba anaweza kumtunia misuli Putin na akamshinda kweli?? Kaingizwa mkenge na Biden atakuja kujutia ujinga wake.
 
Mambo mengine bwana!! Hivi unajua range za roketi za HIMARS, FYI Crimea is out of range, milipuko inayo tokea huko Crimea ina sababishwa na hujuma, kuna special forces ambazo nafikiri wahusika ni makomando wa Uingereza (SAS) nawajua vizuri mbinu zao - hao ndio wana ongozana na baadhi ya wanajeshi wa Ukraine kwenye vikundi vikundi ambavyo hawazidi watu watano watano, wanabeba vilipuzi au roketi launchers kwenye magari/van zinazo fanana na ambulance au daladala ambazo mapaa yake yamekatwa kwa juu,ukikutana nayo wala uwezi kujua kama paa zake zimeondolewa kwa juuu!!

Sasa nini ufanyika? Wanaendesha magari hayo mpaka karibu na kambi ya jeshi au ghara la silaha - wana-park gari hilo lenye rocketi launchers zilizo fungwa timer na GPS guided rockets ili zijifyatuwe zenyewe at opportune time and hit designate target - Warusi walisha sema kwamba milipuko inatokana na hujuma na wala hazisababishwi na HIMARS systems wala M770 Howitzers.
Na ile Kambi Kule Crimea iliyoshambuliwa na kupelekea kuharibu vifaa vya kijeshi zikiwemo fighter jets 9 ,kwa uzoefu wako unahisi ilishambuliwa kwa kutumia siraha gani
 
Back
Top Bottom