Jajajrcode3
New Member
- Jul 21, 2022
- 3
- 8
Kwa msojua uhalisia wa hii vita ni kwamba wanaopigana hapa ni Russia vs USA(socialist vs capitalist),yaan kila mmoja anataka kuitawala dunia. Russia yupo na China na nchi nyingi za Asia huku USA akiwa na UK, France na nchi nyingi za Ulaya. Pia kuna mgogoro mpya unaenda kutokea kati China vs Taiwan na nyuma ya Taiwan yupo USA(Marekani),hivyo bas: Ukraine na Taiwan wanatumika kama War group lakin hizi ni vita kati ya USA vs Russia na hizi vita ni vita za kiuchumi wakigombea kuitawala dunia yaan kila mmoja anataka ndo awe na uchumi mkubwa kuliko mwenzie na pia kijeshi na kiushawishi. Nb:ukizungumzia NATO hapo mlengwa mkubwa ni Marekani na wengne kama Uk na France ni washirika tu