kp kipanya44
JF-Expert Member
- Jun 23, 2022
- 13,151
- 15,384
Lakini tukubaliane tu kwamba Kwa nchi kama urusi ni uzembe mkubwa sana kufanyiwa mashambulizi kama hayaSi rahisi kihivyo, kama TISS wanashindwa shauri kuhusu Tozo, usitegemee wakaweza kitu kama hicho.
Chuki iliyopo kati ya Tz na wananchi wake ikitokea Vita watu wanaweza muunga mkono adui
N.B ; haya ni mashambulizi kwa mujibu wa maoni ya bukyanagandi