Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Mrusi anapiga chochote, target is zero !! cheki alivyoharibu eneo la station na majumba ya watu juzi !! Putin utakufwaa vibaya weweee !!



View attachment 2335358
View attachment 2335360
Hapo na humo kwenye treni kulikuwa na Wanajeshi wengi mnoo siku ya Independence Day. Mlikuwa mna sifu kuwa ameshindwa kuzuia sherehe. Wanajeshi zaidi ya 200 walikata moto hapo.
 
Hapo na humo kwenye treni kulikuwa na Wanajeshi wengi mnoo siku ya Independence Day. Mlikuwa mna sifu kuwa ameshindwa kuzuia sherehe. Wanajeshi zaidi ya 200 walikata moto hapo.
Kwa hiyo unamsifia Putin kuua Raia wakiwa kwenye sherehe ya uhuru wao ?
 
Kwa hiyo unamsifia Putin kuua Raia wakiwa kwenye sherehe ya uhuru wao ?
Siyo na msifu. Nampongeza kwa ku ua wanajeshi wa Ukraine, (ndio audui, na ndio walengwa wa vita hii) wanao tumia Mabomu na Sumu zilizo zuiwa. Raia wanapewa Humanitarian Aid na Russia. Na Uraia juu. Wana jengewa nyumba na ulinzi bure. Huyo msanii kaona vivu kaanzisha kifungo miaka 15 jela kupokea msaada wa ki binadamu kutoka Urusi.
 
 
Ndo kitu pekee maana hawa jamaa wana matusi
[emoji849]
Screenshot_20220826-192246.jpg
 
In Kiev, the alleged supplier of drugs for Ukrainian politicians Yuriy Chernetsky was detained

During the searches, more than 20 bags of cocaine, money and cartridges were confiscated from him.

Apparently Chernetsky was supplying cocaine to the deputies of the Rada.
 
Back
Top Bottom